CloudsMediaLive Profile Banner
Clouds Media Profile
Clouds Media

@CloudsMediaLive

Followers
2M
Following
9K
Media
40K
Statuses
81K

A multi-national company that is one of East & Central Africa’s most respected media houses and has been recognized as one of the country's premier.

88.5 FM Dar es salaam
Joined June 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@CloudsMediaLive
Clouds Media
13 days
Shirikisho la Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) limemtangaza Deogratias Massawe kuwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Shirikisho hilo. Taarifa kutoka kwa Rais wa TPSF, Angeina Ngalula imesema uteuzi huo wa Masssawe unaanza rasmi leo Oktoba 3 akichukua nafasi ya Raphael Maganga ambaye
6
10
270
@CloudsMediaLive
Clouds Media
14 days
Dereva la Lori ambaye hajafahamika kwa jina, amejeruhiwa baada ya gari alilokuwa anaendesha kugongana na Lori lingine katika eneo la Mapumbani- Nanenae Manispaa ya Morogoro barabara ya Morogoro-Dar es salaam Jackson Simon ni shuhuda wa tukio hilo, amesema chanzo cha ajali
1
2
25
@Snowflake
Snowflake
16 days
CEO @RamaswmySridhar discusses the role of the ecosystem in accelerating AI: “Snowflake is at the center of today’s AI revolution. We’re working together with industry leaders, founders, and a strong ecosystem to accelerate AI adoption and build what's next."
8
48
850
@CloudsMediaLive
Clouds Media
14 days
Huduma mpya ya mabasi yaendayo haraka imeanza rasmi jijini Dar es Salaam leo, ambapo kampuni ya MOFAT kwa kushirikiana na UDART imeanza kutoa huduma hiyo ya mabasi mapya yatakayohudumia abiria kuanzia Kimara Mwisho kuelekea Gerezani, Kivukoni na Morocco. #CloudsDigitalUpdates
11
3
141
@CloudsMediaLive
Clouds Media
15 days
Mgombea wa Urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameahidi kuimarisha miundombinu ya barabara na sekta ya elimu ili kuleta maendeleo makubwa Unguja na Pemba. Akizungumza na wananchi wa Jimbo la Pangawe, Mkoa wa Mjini Magharibi, Dk.
0
1
9
@CloudsMediaLive
Clouds Media
15 days
Kumbuka wakati tukielekea Oktoba 29 kwenye Uchaguzi Mkuu, fyucha ya Tanzania iko mikononi mwako kwa kuhakikisha unashiriki kwa kujitokeza kupiga kura #FyuchaMkononi #PigaKuraIjengeKeshoYako
0
1
8
@CloudsMediaLive
Clouds Media
15 days
Serikali ya Awamu ya Sita imeendelea kuonyesha kwa vitendo dira ya maendeleo kupitia mageuzi makubwa katika sekta ya nishati safi. Kuanzia mwaka 2021, kwa Mikoa ya Kaskazini hatua kadhaa zimechukuliwa ili kupunguza utegemezi wa mkaa na kuni, kulinda afya za wananchi na mazingira,
0
3
10
@CloudsMediaLive
Clouds Media
17 days
Sehemu gani ya Kaskazini unapendelea kutembelea zaidi? #FyuchaMkononi
2
2
14
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
Mzee Kamwe ambaye ni Baba Mzazi wa Meneja Habari na Mawasiliano wa Yanga Ally Kamwe amesema leo yupo Benjamin Mkapa kwa mambo mawili tu kumpa sapoti kijana wake lakini pia kuwazomea Yanga SC
3
17
362
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
Mapema tu, wananchi wameipendezesha Benjamin Mkapa #YangaDay2025
1
2
48
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
Najua washkaji zetu @kevbi_official na @frank_kachelewa wanatamani kumuona @geahhabib akipiga Supu ya vyura 😂😂, rafiki yenu mjanja sana, ameanza kupata mafunzo ya namna bora ya kutumia vijiti vya Kichana kwa ufanisi. Hizi ndio asubuhi za #MalkiaExposure China. #Asantekwatafuu
0
1
21
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
China sasa na viunga vyake Foshan, Guangzhou sasa imehisi uwepo #MalkiaExposure kutoka Afrika Mashariki Mkurugenzi wa Biashara na Maendeleo #CloudsMedia, Sheba Kussaga, Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian Masuka na Mratibu wa safari ya #MalkiaExposure
1
0
13
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
Mkurugenzi wa Maendeleo ya Biashara Clouds Media Group, Malkia wa Nguvu Sheba Kussaga akitoa salamu za shukrani kwa niaba ya CMG kwa wote waliotenga muda wao na kusafiri katika Malkia Exposure yenye lengo la kuwapeleka duniani Watanzania kujifunza, kuziona fursa na kutengeneza
3
1
33
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
#MalkiaWanguvuExposure tunaendelea Kujifunza mbinu bora za kuendesha na kukuza biashara. Kutafuta masoko mapya na bidhaa zenye ubora wa juu na gharama nafuu. Kujenga mitandao ya kibiashara na ushirikiano wa kimataifa. Katika pitapita zake kunako Soko la Urembo Guangzhou
3
1
43
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
📷 Team Malkia Exposure / Wafanyabiashara wakiongozwa na Mkurugenzi Wa Biashara na Maendeleo #CloudsMedia, Sheba Kussaga pamoja Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian Masuka (@lilianemasuka ) wametembelea ofisi ya Konseli Kuu ya Tanzania jijini Guangzhou
0
0
13
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
#Asantekwatafuu Wenyeji wetu @silent_ocean_ltd kwa kusimamia mpango mzima wa mapokezi na wao ndio watahusika kuipitisha team nzima ya MalkiaWanguvu Exposure Katika ile Miji mitatu ya KIMKAKATI hapa chini wakiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian
0
0
9
@CloudsMediaLive
Clouds Media
1 month
Mwenyekiti wa Kamati ya Malkia wa Nguvu kwa mwaka 2025, Lilian Masuka (@lilianemasuka ) Leo ameongoza mapokezi ya #MalkiaExposure wakiwa wameambata na Wafanyabiashara zaidi ya 50 ambao Leo wamesili katika Jiji la Guangzhou nchini China. Malkia wa Nguvu Exposure ina lengo la
0
1
6
@CloudsMediaLive
Clouds Media
2 months
Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu ambaye pia ni mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda akijibu na kutolea ufafanuzi tuhuma za baadhi ya watu wanaosema anafanya harakati kwa maslahi yake binafsi na si kwa ajili ya Waislam
1
1
61
@CloudsMediaLive
Clouds Media
2 months
Mgombea ubunge jimbo la Temeke kupitia chama cha ACT Wazalendo, Sheikh Ponda Issa Ponda akieleza historia ya tukio lililopelekea kufahamika nchi nzima alipopigwa risasi mkoani Morogoro #MtaaWaPonda #PBCloudsFM
1
0
37
@CloudsMediaLive
Clouds Media
2 months
Kumekuwa na utani wa jadi unaoendelea kati ya mashabiki wa Tanzania na Kenya kwenye michuano ya CHAN inayoendelea, @FKihamu ametaka kujua kama Tanzania imeamua kukubali unyonge. Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma anasema Harambee Stars
6
2
73
@CloudsMediaLive
Clouds Media
2 months
Changamoto mojawapo ambayo imewakumba mashabiki ni upatikanaji wa tiketi za michuano ya CHAN ambapo Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Hamis Mwinjuma @MwanaFA anaeleza namna gani wanaishughulikia #PBCloudsFM
5
0
85