halimamdee Profile Banner
Halima James Mdee Profile
Halima James Mdee

@halimamdee

Followers
1M
Following
7K
Media
2K
Statuses
21K

....................

Dar es Salaam,Tanzania
Joined May 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@halimamdee
Halima James Mdee
5 years
Hatimaye LEO NIMEKAMILISHA safari nyingine ya MIAKA 5 ya UTUMISHI, nikiwakilisha JIMBO la KAWE kwenye BUNGE la J/ Muungano wa Tanzania. Asante sana WANANCHI wa KAWE kwa HESHIMA hii KUBWA, ASANTE sana CHADEMA kwa kuniamini, Asanteni sana WATANZANIA wenzangu!! Tunasonga 😍😍✊🏿✊🏿.
2K
703
12K
@halimamdee
Halima James Mdee
8 days
πŸ€£πŸ“Œ!
5
0
39
@halimamdee
Halima James Mdee
8 days
πŸ“Œ!
16
21
486
@halimamdee
Halima James Mdee
1 month
πŸ˜‚πŸ˜‚ utakuwa SBS ? Kumalizia MACHUNGU πŸ˜ŠπŸ“Œβ€οΈ!.
@TonnyAdamms
Tonny
1 month
@halimamdee Tusubiri YANGA vs SBS. sijui fainali ni timu zipi.
1
0
20
@halimamdee
Halima James Mdee
1 month
Naona MMEAMUA kutukimbia TENA WANANCHI πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ₯‘!
Tweet media one
19
6
350
@halimamdee
Halima James Mdee
1 month
Mhe. NAONA Timu yako pendwa … imeamua KUTUKIMBIA tena !! πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! Hiki sio kiwango cha FINALIST wa KOMBE la SHIRIKISHO!!
Tweet media one
40
24
715
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Na mimi Nakubaliana nawe 100%. Unajua heshima ilishaondoka 5years ago. sasa nashangaa kwa nini sipotei kwenye VIDOLE πŸ«†πŸ«†vyenu mkiwa MNACHAPA spana ! πŸ˜„! Ni wazi tu MNANICHUKIA mpaka MNANIPENDA. .
@JumaAbdukarim
Abdulkarim Juma
2 months
@halimamdee Halima kukijenga chawa Kwa nguvu kubwa hakukupi mamlaka ya kusaliti. Hatujawah kuwa na mjadala wenye kupuuza harakati zako katika ujenzi wa Chadema ila usaliti ndio kinachoondoa heshima yako .
75
7
186
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Nami napenda iwe hivyo . Tena ndio SAFI. πŸ˜‚ ! Yaaani HAKUNA hata kaushahidi. huoni kanafanya maisha yanakuwa simple sana .
@CruzScope
Cruz Scope
2 months
@halimamdee Dada Halima kujenga taasisi sio tatizo ishu ni ur EXIT' imefanya hata hakuna finger prints mlizoacha ambazo zinakumbukwa au kiwa acknowledge.
29
1
67
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Tumejenga taasisi HATUA kwa HATUA wakati wao wananyonya au hata hawajazaliwa πŸ˜‚πŸ˜‚β€¦ Leo wanamiliki SMARTPHONE wanatuvimbia humu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚! KWa BΔ°TΔ° NZITO NZITO . nikitaka punguza stress natembelea’ga’ hii DUNIA. Ni ya kipekee sana ! πŸ˜‚.
@john30747384125
john
2 months
@halimamdee Nakumbuka kile kikao cha mtu kwa mtu ukwamani ndugu ulikijenga chama. Acha hawa watoto wakudharau.
220
24
414
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Umesema VYEMA … you will NEVER know. MIE NILIAMUA Kunyamaza KIMYA . RAIA MKAMEZA takataka ZOTE mlizomezeshwa. 5 years on… sijajutia UKIMYA wangu. MAANA naendelea KUJIFUNZA kumbe SIO KILA MTU anaweza vumilia πŸ₯‚πŸ˜ƒ! Cheers najiandaa na MECHI ya WATANΔ° sasa πŸ˜‚!.
@Kaizersossa
Yours truly
2 months
@halimamdee Mwanetu naona unajibu comments leo! Anyways! I don’t know what happened to you and probably we will never know! But damn! You are such a good politician! It’s a shame you chose what you decided to choose! Goodluck kwenye mishe zako.
89
11
230
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Leo ni HAMU ya kurelax πŸ˜‚!.
@safarimlevi
SafariMlevi
2 months
@halimamdee Leo naona una muda dada πŸ˜‚πŸ˜‚.
24
1
69
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ !! Wanaharakati wa Twitter! Field 0%!.
@KassimSaad26545
KASSIM SAAD DAUDI
2 months
@halimamdee Aanze kulima na Twitter amuachie nani🀣🀣🀣.
24
1
73
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Na ya kwako iko wapi?.
@Homelunduno
slim~shady
2 months
@halimamdee Mashost wa Mbowe na kigaila Ubunge mtausikia tu😁😁😁😁 legacy Yako imezima haraka sana.
16
1
31
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Mashamba yapo. kama unaweza KAZI NGUMU karibu INBOX.
@mangileweri
Tom Lyimo
2 months
@halimamdee Nianze kutafuta mashamba penseni ikitoka tukalime Mh.Halima?.
25
1
136
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Pole sana kwa KUPONDA PONDA ❀️ wako. πŸ“Œ! Una fursa ya kuwashawishi wasome kitu kingine.
@emndewa
nore
2 months
@halimamdee Yani we dada nilikupenda sana kwenyw siasa hata watoto wangu kulwa na doto nilipenda wakasome political science ila sasa sijui ikawaje ukashindwa kukataa .Yani naunganisha na kule bustani ya Eden huwa hamkatai mabaya basi acha niumie tu.
9
0
47
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Sasa NITAKAPOELEKEA si utashi wangu BINAFSI . πŸ˜‚! Au mnataka NIPANGIA tena ?.
@Henrydan25
Henry Dan
2 months
@halimamdee Kwaio sister tukutegemee CHAUMA au?.
109
5
273
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
πŸ˜‚πŸ˜‚! Tutalima WOTE TIKITI.
@mangileweri
Tom Lyimo
2 months
@halimamdee Halima na wewe Chauma moja,bora ukajilimie zako matikiti tu hakuna ubunge wa kuhongwa tena.
22
2
119
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Kweli ni DUDE KUBWA sana .
@Jolebatawi_Tz
Jolebatawi_Tz
2 months
@CarolNdosi Hata akina @halimamdee walikuwa wanakipenda sana chama Chao. Ndiyo hivyo chadema ni dude kubwa sana kwa sasa. Anashuka mtu, anapanda mtu. .
65
21
392
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Haka KAJITU kamenikumbusha WASIMAMIZI wa Uchaguzi ,Jimbo la KAWE 2020.
Tweet media one
484
151
3K
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
42
46
417
@halimamdee
Halima James Mdee
2 months
Kinega !! Nakutakia MAISHA MAREFU ndugu yangu.
Tweet media one
39
60
2K