AppVerseTech
@FixItWithTech
Followers
48
Following
8K
Media
1
Statuses
249
Computer Science Engineer| Studied At SJCET| Web & App Developer | Turning Ideas into Code| @SimbaSCTanzania, @ChelseaFC & @FCBarcelona.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2021
#TajiriLaKihaya Ukweli mchungu ni kwamba TEAM FAM, imejipanga vilivyo… wamegundua kura hazipigiwa mitandaoni- wapo wanakimbiza saana vikao kwa wajumbe! Msiwaone wapo kimya hawapost mkafikiri wametulia… wanazunguka saaana hawa jamaaa! TEAM TAL, ni ukweli usiopingika kwamba
49
42
217
#TajiriLaKihaya Sema huku Afrika TAMAA Na UBINAFSI vinatutesa saaana aiseee💔💔 Haiwezekani nchi ambayo AJIRA ni tatizo - vijana wengi 25-35yrs HAWANA AJIRA. Lakini kuna watu wanamiliki Kazi zaidi ya moja tena wameajiriwa serikalini… Unapata mtu mmoja ni mjumbe wa body
136
174
590
"Hili baya na hatulisemi! Sasahivi Mashekhe, Viongozi wa Dini tumeanza Kukusanywa na kukusanyika kuomba amani. Lakini Hatukusanyiki kuomba Haki katika Nchi." Mhe. Othman Masoud;- Makamu wa Kwanza wa Rais ZNZ na M/Kiti wa Chama Cha ACT Wazalendo.
10
137
495
. @naythetrueboy ft. Raydiance - Nitasema Verse mbili hazitoshi kabisa Emmanuel, tungepata hata verse nane hivi kwenye hii hotuba kwa Taifa. Anyways, mpo wachache sana wasanii wenye uwezo wa kusema mambo yanayoigusa jamii bila woga. Kuna gharama za kulipa lakini wewe ni MSHINDI
164
1K
5K
Rais wa Kitaa @naytrueboy Ahsante Sana Umekuwa Msaani Bora Katika Nchi Yetu, Umekuwa Shupavu na Jasiri Wewe na @Roma_Mkatoliki Mmekuwa Wasanii Bora Kabisa wa Kikazi hiki🙏🏽
11
188
625
Mazoezi mepesi. Jiunge na Simba Bando kwa kupiga *149*01# > 8> 1 ili upate dakika za kupiga, sms na data. #WenyeNchi #NguvuMoja
30
34
690
Mkundu wako
@Thereal_taivina Nafanya kazi na kampuni inaitwa BoniYai Sifanyi kazi na BONIFACE JACOBO Natangaza mayai kwenye bango hayajakamatwa mayai na polisi hadi niandike unavotaka
313
146
2K
‼️ALERT‼️ Watu mnaojiandaa na safari ya kuja Dar es salaam kwa ajili ya maandamano msivae sare za Chama safarin Kwenye mabegi yenu msibebe nguo yoyote ya Chama wala kitu chochote ambacho kina nembo ya Chadema Mkiwa ndani ya Bus jitaidini msipige story za Siasa wala Maandamano.
68
366
2K
Shekh Ponda kaongea point kubwa sana kuhusu ugumu wa kuwatenganisha viongozi wa dini na siasa, nchi yetu ina dini kubwa mbili na hao wananchi ndio wanaunda serikali kupitia siasa so kuwadharau viongozi wao wa dini ni sawa na kuwadharau wananchi wanaowaamini viongozi wao wa dini
34
264
2K
UPDATE 15: 00 : KUTOKA OSTERBAY POLISI ALIPO BONIFACE JACOB. Mpaka muda huu majira ya saa tisa kamili alasiri, ndugu yetu @ExMayorUbungo bado hajapelekwa Mahakamana wala kupatiwa mdhamana kwa mujibu wa Sheria za nchi yetu. Tumefika hapa toka majira ya saa tatu kamili asubuhi,
63
180
1K
Wao wanatuona sisi kama Wanyama tunaopaswa KUTEKWA, KUUWAWA na KUUMIZWA. Lakini, sisi tunahitaji wao watekeleze wajibu wao kwa weledi. #FreeDeusdetithSoka
6
96
679
#TANZANIA: VIONGOZI WENGI WALIOCHAGULIWA SIO TAKWA LA WANANCHI - WARIOBA "Katiba imeweka utaratibu kwa kuwa siyo wote wanaoweza kushiriki katika uendeshaji wa nchi, Katiba imeweka utaratibu kuwawezesha wachague wawakilishi wao. Tujiulize tunapofanya tathmini, wananchi wana haki
11
60
283
Warioba: Tulipohoji mihimili kuingiliana tulijibiwa 'tunawashwa washwa'
mwananchi.co.tz
Jaji mstaafu Joseph Warioba amekumbuka kipindi ambacho alihoji muingiliano wa mihimili ya Bunge, Mahakama na Serikali jambo ambalo amesema halipo sawa kiutendaji, walijibiwa kuwa wanawashwa.
21
132
741
Kuna hatua yoyote ya maana ambayo Rais Samia na serikali yake wamechukua kudhibiti utekaji na mauaji ya wapinzani wa CCM na serikali? Kitu cha kushangaza, Rais anaonesha kukerwa sana na wanaotaka kuandamana kupinga utekaji na mauaji kuliko anavyokerwa na watekaji na wauaji.
53
104
456
"Pamoja na kuwa tumezoea kufuzu makundi ya michuano ya CAF lakini hii ni tofauti kwanza hatujawahi kukutana na mwarabu katika hatua hii, mara nyingi tunakutana na timu kutoka Kusini mwa Afrika lakini safari hii tumepata mpinzani kutoka Kaskazini tena Libya."- Ahmed Ally.
14
17
273
Balaa la uzinduzi wa hamasa limeanzia Tawi la Mpira Pesa Magomeni tukianza safari kuelekea Kibaha ambapo zitafanyika sherehe za kuiendea siku ya #Kuwakaanga wapinzani wetu Al Ahli Tripoli. #WenyeNchi #NguvuMoja
26
54
919
Hearing: Al Ahli Tripoli have decided that they will prepare their own food at the Libyan Embassy in Tanzania. So, they’ll only sleep at the hotel whiles the food they’ll eat will be brought to them directly from the Libyan Embassy including water, juice and fruits. Also:
223
63
1K