
MwanzoTvPlus
@MwanzoTvPlus
Followers
121K
Following
697
Media
24K
Statuses
33K
Independent Online Media serving East Africa with premier news - Uncensored and Undaunted
Nairobi, Kenya
Joined June 2014
Mwandishi wa filamu na mtetezi wa haki za binadamu, Dkt. Vicensia Shule @vicensiashule anajulikana kwa kazi yake katika sekta ya sanaa na haki za kijamii. Jiunge nasi saa 12 (6PM) kwenye #ShangaziPower, wakati Vicensia anashirikisha jinsi anavyotumia sanaa na uanaharakati kuleta
0
0
5
#TANZANIA: CCM BALAA! YAWAONYA WATOA RUSHWA UCHAGUZINI .Chama cha Mapinduzi Mkoa wa Mwanza kimewaonya watia nia wa ubunge na makundi mengine kujitahadharisha na vitendo vya Rushwa kikieleza kuwa atakayebainika atachukuliwa hatua. ZAIDI:
0
0
1
#TANZANIA: UCHAGUZI MKUU WAWATIA TUMBO JOTO POLISI TANZANIA! WAFANYA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MKUU .Mtandao wa Polisi Wanawake Mkoa wa Mbeya (TPF NeT) umetakiwa kujiweka vizuri katika kujifunza na kuelewa sheria mbalimbali ikiwemo za uchaguzi ili kutimiza majukumu yao kwa weledi.
0
0
1
#TANZANIA: TARURA YAKAGUA UJENZI WA BARABARA YA ILEMBO, MBEYA .Wakala wa barabara za mjini na vijijini TARURA wilayani Mbeya umetembelea na kukagua ujenzi wa barabara ya Ilembo Mwala Sapanda yenye urefu wa kilomita 15.8 kwa kiwango cha kifusi ili kujionea ubora wa kifusi hicho.
0
0
4
#TANZANIA: BALAA KIMENUKA! NAIBU WAZIRI MKUU DOTTO BITEKO HANA MPINZANI .Mbunge wa jimbo la Bukombe anayemaliza muda wake na Naibu waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dk Dotto Biteko amejitokeza pekee yake kuchukua fomu ya kutetea nafasi ya ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama cha
8
3
18
#PAKISTAN: ANGALAU WATANO WAMEFARIKI DUNIA KUFUATIA KUPOROMOKA KWA JENGO LA GHOROFA TANO, PAKISTAN.Jengo la ghorofa tano limeporomoka katika mji wa bandari wa Karachi, Pakistan, leo hii Ijumaa saa 10:10 asubuhi (0510 GMT), na kusababisha vifo vya takriban watu watano huku wengine
0
2
12
#TANZANIA:Anaandika Wakili Boniface Mwabukusi, Rais wa TLS kupitia ukurasa wake wa X (Twitter). “2020 niligombea. nililinda kura zangu. nikakusanya matokeo yangu. Returning Officer wa Jimbo hakuhitaji matokeo yangu ili kujumlisha kura za jimbo.Alikuwa na matokeo yake kwenye
12
68
223