🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Profile Banner
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 Profile
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿

@EsirEid

Followers
23,479
Following
23,524
Media
1,935
Statuses
32,913

Website n Mobile Apps Developer,Computer Scientist N a PURE #Mathematician ¶© #JKUAT ALUMNI|| #TeamArsenal #HalaMadrid ¶ ¶ #YANGA

BUKOBA TANZANIA
Joined July 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
#KalagePerfumesForEverybody … Hii Post ni Makhsus kwa wanafunzi Mliopo Vyuoni… Leo unaona kabisa unaweza lala Njaa, watu wote uliowapigia wanakuahidi kesho watakutumia hela! Unahitaji walau buku 5 ule usiku wa leo… Weka kwenye Comment namba na Majina yako kamili na Chuo
Tweet media one
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
#KalagePerfumes for Everybody… Perfume wamechukua na Nauli Kila mmoja amepewa CASH 😅 Vijana wame Enjoy…
Tweet media one
19
11
175
269
145
941
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 months
@QudsNen Why go for war, when Yemenite request is very simple: Allow humanitarian aid flow into Gaza and a Ceasefire. They didn't even request it for themselves, even though they have a need for aid. God bless Yemen
21
292
2K
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
5 months
@MOSSADil We’ve got enough evidence to submit to ICC. Keep em coming please
11
49
2K
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 months
@Partisangirl Why go for war, when Yemenite request is very simple: Allow humanitarian aid flow into Gaza and a Ceasefire. They didn't even request it for themselves, even though they have a need for aid. God bless Yemen
71
174
2K
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Hii ndio #YANGA ya ASALI na MAZIWA 🫶🏾 #TajiriLaKihaya
Tweet media one
54
122
1K
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
11 days
#TajiriLaKihaya Taifa stars tukishinda kila mtu atakae Comment hapa atapata elfu 5 ya vocha… #TajiriLaKihaya
474
54
753
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
18 days
#TajiriLaKihaya Ndio tumemaliza kikao wakuu… Wazungu ni watu poa saana kufanya nao Biashara wamenyooka mno sio kama Wahindi Au Wachina aiseee😅 #KaziNaBata Leo nafuraha saana aiseee Maana huu Mkataba nlio sign leo sio wakitoto kabisaaa🙌🏽 Ndio muda wa kusoma DM huu… Kama
Tweet media one
279
69
691
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
12 days
#TajiriLaKihaya Huyu kijana alinifata DM mwezi MAY mwanzoni… Yupo anasoma kua Tour Guide kule Arusha kwenye hicho chuo! Ada ni 3m plus hostel kwa mwaka alikua amepungukiwa 1.7m. Mm nmemchangia 500k. Hope siku moja nkienda arusha ataniguide kule porini 😅 All the best🫶🏾
Tweet media one
71
62
658
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
28 days
Tajiri la kihaya kutoka Muleba Bukoba,Tanzania🇹🇿
Tweet media one
@julip202
Julip20
29 days
Summarize your week in one picture!!
16
3
46
75
43
585
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Wakuu kabla sijalala kuna watu mlikua mnanipambania saana kwenye post za yule dogo au kwa yeyote alienisema vibaya… Nliona kila post na comment ya kila mmoja wenu, nadhani mumeona nlilike,kurepost au kuComment kabisaa! Nmefurahia umoja na upendo mlionionyesha… Kujipongeza,
275
64
573
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
10 days
#TajiriLaKihaya Twitter Madaktari; Kitambi changu kimeshindwa kupungua, nifanyeje???
Tweet media one
253
40
564
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Wakuu kabla hatujaingia msikitini.. Yule mwenye Hana sadaka ya kutoa leo Masjid… hata buku jero😅 Weka namba na jina liwe la kiislamu hapo kwenye Comments! Wakristo tuoanane jumaPili😅
79
48
559
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Leo nipo Mwenyewe Ofisin, secretary wangu anaumwa… Ila niwashauri tu wale wanaopenda Programming; Coding games are the best way to learn coding. From Python, JavaScript, CSS to Blockchain. 2 hard things about coding: • It's difficult to start • It's difficult to stop
Tweet media one
65
73
553
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
14 days
Ukisikia milio mingi jua umewashika sawa sawa😅😅 No one expected #TajiriLaKihaya will last more than a week…. It’s 3 months now…. #TajiriLaKihaya still trending 😅😂😅 Hata ingekuwa mm ningeumia aisee 😅 uzuri nlitarajia haya… Na nmejipanga kisawa sawa 🫶🏾
113
54
512
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 months
@Megatron_ron Why go for war, when Yemenite request is very simple: Allow humanitarian aid flow into Gaza and a Ceasefire. They didn't even request it for themselves, even though they have a need for aid. God bless Yemen
16
118
491
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
18 days
#TajiriLaKihaya Wakuu nafaham leo ni siku ya kusoma DMs… Ila nipo kwenye kikao kizito saana na SECRETARY wangu… Mniwie Radhi- MAOKOTO kwanza😅 #TajiriLaKihaya
Tweet media one
40
37
507
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
17 days
Ila wakuu twende mbele turudi… Madem wakichaga ni warembo saana…Wana Sura nzuri saana! Ila Sio Watamu kabisaaa aiseee! Hawajui mapenzi… Hawana ladha aisee… Am talking out of experience… av dated more than 3 wachagas and u can’t convince me otherwise!
93
28
509
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Hello , Natumai kesho UtaruhusiwA kufanya mtihani… Wewe ni miongoni mwa tuliokutana pale kwa @kalage_jr na ombi lako lilikuwa kulipiwa ada ili uendelee na mitihani na ukubaliwe shuleni. Natumai hii itasaidia… I wish you nothing but the best in your exams… Chukua hio
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
@carryn_marky
doryn
1 month
@EsirEid Nipo bamaga hpa kwa kalage
1
0
13
117
70
503
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
22 days
#TajiriLaKihaya … Mahusiano Yangu ni Ya #Pesa tu😅
Tweet media one
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
22 days
Kwa kutumia picha elezea hali yako ya kimahusiano 😂😂😂
62
17
294
119
44
473
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
14 days
#TajiriLaKihaya Kuna mambo mengi saana tunafanya kule DM- mengine tunayaacha kule Ila hili kaniomba nipost. Dada Anaelekea kujifungua alihitaji msaada…Ila yeye yupo mbeya! Kwa kuogopa ma parody ikabidi nimuagize mtu ahakiki- kweli alifika Na tukajilidhisha na leo nimempa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
133
59
463
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
22 days
Mwezi wa Tano unaisha leo …Ila kuna mtu mwezi mzima hajawahi pata chochote kitu kutoka kwa #TajiriLaKihaya … Hebu weka namba na Jina lako hapo kwenye comment… Ila hakikisha umeanza na HashTag- # #TajiriLaKihaya Ambao ushawahi pata usiweke namba… Comment tu
358
118
452
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Hili ndio TATIZO la WAVUVI KEMPU aiseee… Usipokua makini-JUA linachomoza bado humo ndani😅 nani bado yuko haya maeneo- Tuone Tunafanyeje?
22
33
441
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
23 days
#TajiriLaKihaya Leo nagawa laki laki tu🫶🏾
Tweet media one
135
43
437
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Nmejitahidi ku HIDE ID yako… Ila natumaini huyo mtoto wako utampeleka hospitalini kama ulivyosema DM… Kama unanitapeli basi Mungu ndio Anajua zaidi🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Tweet media one
32
29
432
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Today is Friday, Leo ni siku ya kutoa sadaka kwa Allah🙏🏽 Unapoenda msikitini- Copy namba ya MITA Na Jina paste hapa kwenye comments. Ambao mpo safarini, uliza mtu akutumie namba ya mita ya msikiti wa nyumban kwenu, weka hapo kwenye Comments Luku unapata. Ila hakikisha namba
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
4 months
Dear Allah, I know that I’m nowhere near perfect. But Alhamdulillah for loving me and letting me see another beautiful day🙏🏽
Tweet media one
5
3
42
76
42
429
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
@WestHam Just don’t lose this game… Do everything you can guys! We Arsenal will give you all the money,we just want to have the trophy! All the best…
39
8
412
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
14 days
#ElimikaWikiendi Watu Wanakosea saana kutamka jina langu… Esir linatamkwa ISSA. Eid Linatamkwa IDDI. MTZ Mtanzania 🇹🇿 Esir Eid MTZ ISSA IDDI 🇹🇿 Mtanzania #TajiriLaKihaya
45
47
412
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Humu Twitter kuna vijana wa Ovyo😅😂😂🙌🏽🙌🏽 Nablesiwa pisi kali sio muda😅😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tweet media one
97
26
408
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 days
Dar Ni Makao makuu… dar ndio HQ ya most offices… DAR ni JIKONI! Mkoani ukipata kazi ya 1.2m na Dar mshahara ni 600k ntakushauri Baki DasLam… Kuna posho nyingi saana Tofauti na mishahara kaka! hii hautafundishwa chuoni.
@raphyrodrick
m.s.a.k.i †
6 days
Ukibahatika kupata kazi mkoani na inakulipa vizuri ishikilie. Dar sio sehemu ya kuishi wallahi 😂💔
14
25
295
41
21
403
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
17 days
Bila @Ireneigora kuniletea Senene Leo Asubuhi hapa Ofisin kwangu… Breakfast ilikua inapita aiseeee
Tweet media one
35
35
398
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 months
@jacksonhinklle Why go for war, when Yemenite request is very simple: Allow humanitarian aid flow into Gaza and a Ceasefire. They didn't even request it for themselves, even though they have a need for aid. God bless Yemen
16
71
373
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
29 days
DM za tarehe 17 zinahatarii saana … aiseee😅😂😂😂😂😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tweet media one
88
12
381
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
5 days
#TajiriLaKihaya Huyu Mhaya atanifanya nihamie KINYEREZI aiseee🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tweet media one
20
11
368
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
19 days
Hivi wakuu kwenye hii Picha Hatuwezi fikisha 1000 likes kabla ya saa saba? Hebu nenda kwenye hio Post ufanye ku like kama bado kama tayari REPOST ifike mbaaali 😅😂😅🙌🏽🙌🏽 #TajiriLaKihaya
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Hii ndio #YANGA ya ASALI na MAZIWA 🫶🏾 #TajiriLaKihaya
Tweet media one
54
122
1K
25
32
357
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
#TajiriLaKihaya Kuna wale marafiki zangu ambao kila nkiComment popote pale -wanaonesha uwepo wao kwa kunipa ulinzi na Company kwa pamoja… Kama nmeenda kuvua,wanahakikisha uvuvi umekamilika kwa njia yoyote ile hata kwa uvuvi haraam😅 Kuna wengine wananipa Pasi kwa Kuni Tag
89
41
352
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Post zote za Trojan nmezifuta! Am sorry guys!
51
21
353
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
Hello Kivuyo… Congratulation for your Continued support in Climate change! I know soo many men have qrt this, with the intention of getting your attention. I didn't, because of the attention. I am really interested in knowing how you've been. How are you mentally? what
@KivuyoLaurel
Laurel Kivuyo
16 days
Your grace located me Lord, I’m Grateful💚
Tweet media one
69
88
3K
42
22
350
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
Mm bora hata Lunch nisipige Ila BREAKFAST muhimu saana kwangu😅
Tweet media one
41
18
348
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Mwenye namba za TROJAN anitumie wakuu… Nataka nimpigie simu nimueleweshe kitu hapa…
19
19
347
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
Unakuwa na demu anakunywa pombe,anavuta sigara na bangi na shisha na ana Tattoo. Hivi mnawezaje wanangu? 😃
55
32
340
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
#TajiriLaKihaya Uzuri saa hizi Twitter na namba za simu za karibu 40% Active Tweeps😅😂 Ukipost tu nakufikia 😅😂😅 #TajiriLaKihaya
Tweet media one
@raphyrodrick
m.s.a.k.i †
16 days
Sina hata hela ya kula 💔
5
6
76
68
24
335
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
6 days
The 99 names of Allāh 🧵; 1) الرَّحْمَنُ AR-RAHMÂN The Compassionate 2) الرَّحِيمُ AR-RAHEEM The Most Merciful الْمَلِكُ (3 AL-MALIK The King الْقُدُّوسُ (4 AL-QUDDUS The Most Sacred 5) السَّلاَمُ AS-SALAM The Source of Peace, The Flawless 6) الْمُؤْمِنُ AL-MU’MIN The
15
124
341
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
9 days
One good thing about education is that, inaeza chelewa kukulipa ila siku ikikulipa ni inakulipa mazima mazima na utafanya kila kitu uliwahi tamani smoothly & in a decent manner. Kikubwa tu usiingie kwenye mihadarati. Patience 🫶🏾
@julip202
Julip20
9 days
Pole sana mkuu. Keep on fighting utatoboa tu 🔥🔥🙏
Tweet media one
46
11
431
34
43
333
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
28 days
Wakuu, nmepitia DM zote hadi tarehe 20. Zilikua nyingi saana kwa kweli 500+ sms, lakini Alhamdulillah nmezisoma zote, kuna nlizozijibu,kuna ambazo sijajibu kabisaaa ila nmesoma! Wapo walionipa ushauri,wapo walinipa hongera,wapo walioomba kazi/connection,wapo walioomba
Tweet media one
84
51
329
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
mimi binafsi napenda vijana wanaopambana… Ndio maana mtu yeyote akinionyesha biashara yake lazima nimuungishe hasa humu Twitter. Leo @bonifacejoseph_ kasema Gari langu Jipya nlilolipokea mwezi jana ling’ae saana hata nkienda kuonana na yule muuza Alizeti asipate shida.
Tweet media one
@bonifacejoseph_
Bony 📚
1 month
@EsirEid Tajiri nikuletee Airfresh ya Ikeda Nikuletee na sabuni ya kusafishia masofa ya lether au masofa ya kitambaa. 🙏
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
3
2
11
40
54
326
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
27 days
Kila Post nlioiweka Ulicomment kulike na kuretweet… DM umetuma sms zaidi ya 20 bila kukata tamaa… Natumai hii itakusaidia…pole saana kwa changamoto unayopitia! Ila tuendelee kuwa na subra na kumwamini Mwenyezi Mungu🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
@maverous21
domitra damas
1 month
Me bei za magodor sijawah ulizia sir ila godoro lolote litanifaa
0
0
4
41
45
327
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Najua zimebaki siku 6 mkuu Na ulimuweka @spana_Konki kama shahidi wako😅 Na jana nlikuahidi lazima NKuLombee huyu dem wako KWA GHARAMA YOYOTE ILE… Just an U P D A T E; Within 12hrs I have all the details I needed. Sasa kaaa kwa kutulia mkuu😂😂😅🙌🏽🙌🏽 Time will tell…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
@anon_codex
Trojan Horse🎭
1 month
@EsirEid BADO SIKU 6 BRO 😎
Tweet media one
3
0
14
90
26
322
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Kuna madem wazuri hapa Wavuvi kempu🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Hii ndio mida ya kuingia wavuvi… watu wameshachoka-wamemaliza hela! Mkuu ndio unaingia unaagiza HENESSY madem wote macho kwako😅😂😂 Unawaambia toka saa mbili upo hapo🙌🏽🙌🏽kumbe umeanzia kitambaaa
16
18
325
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
3 months
@millardayo Sukununu muda huu
55
39
312
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
THROW BACK THURSDAY. #Tbt Mwaka #2007 nkiwa nahitimu masomo ya shule ya msingi😅 Quote hii picha na Tbt yako ya mwaka huo… #Tbt bora inajishindia elfu 30 ya Vocha lets gooooo…
Tweet media one
83
20
316
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
27 days
Wakuu angalizo… Ukiweka namba yako kwenye Comment- kuna matapeli watakupigia wakijidai ni mimi au wameagizwa na Tajiri… Hao ni wahuni na ni matapeli! Kata simu mara moja usiendelee kuwasikiza… Kuna watu wengi wametapeliwa kupitia njia hio… Mimi Sipigi simu -mimi kazi
31
36
316
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Watu mnatuma saana sms ya mpate walau chochote kitu usiku wa leo… Muda wa kusoma sms zote hizo changamoto kwa kweli… Weka namba na jina hapo kwenye comments upate buku 5 chap… HashTag usisahau kuandika #TajiriLaKihaya mwisho wa comment yako… Lets goooooooooo
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Leo nipo Mwenyewe Ofisin, secretary wangu anaumwa… Ila niwashauri tu wale wanaopenda Programming; Coding games are the best way to learn coding. From Python, JavaScript, CSS to Blockchain. 2 hard things about coding: • It's difficult to start • It's difficult to stop
Tweet media one
65
73
553
271
39
315
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Mkuu kunizidi kila kitu unamaanisha nini??? Haunizidi kielimu, kifedha,familia, hata kimapenzi pia (ushahidi dem wako alilia hapa twitter anahitaji mapenzi kutoka kwangu-nkakausha). Na hata ukitaka ngumi zipigwe Twende ulingoni! HAUNIZIDI CHOCHOTE KILE. Kama unabisha Leta
@anon_codex
Trojan Horse🎭
1 month
@MwanalizombeTz @bonifacejoseph_ @chriss_papy @EsirEid 😂😂😂 ngoja nicheke niwe na chuki na mtuu niliemzid kila kitu ? Huna akili wewe Katafte wateja wa bima kwanza
9
0
9
92
25
312
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Usiende Riverside mkuu😅
Tweet media one
@savajanjaro
Hassan Mwakinyo
1 month
Brother @EsirEid Nibless Za Kabeji Kaka 😁
1
1
18
29
10
311
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
29 days
“Hide My Id please,Boy wangu asione Naomba Yumo humu X, Maana Ni Wale wanapinga omba omba wakati dem wake hamuhudumii “ 😅😂😂
Tweet media one
32
19
311
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Mkuu Yupo serious saana na kazi😅😂😅😅🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tweet media one
Tweet media two
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Nmemtumia wakuu😅😂😅 Hapa nipo nasubiria anipe location ya pisi kali😅😂😅
Tweet media one
25
9
155
43
16
310
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Natumai kesho utamfanyia mwanao Shopping walau kidogo ya vitu muhim! Nmeona picha plus video ulizonitumia DM nmejiridhisha… pole saana! Wanaume acheni kuwapa mimba hawa mabinti na kuwatelekeza sio vizuri! Kumtunza mtoto ni jukumu la baba mzazi…
Tweet media one
37
22
309
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
15 days
Labda za elfu 50 kuja chini ndio huwa nampa yeyote tu - hela ya vocha… Almuradi umeweka hashtag #TajiriLaKihaya utapokea tu! Sina ubaya mimi😅😂😅
@SharonMontana20
Mishy🇲🇫
15 days
Daah ila @fezoomaster 🙌🙌🙌😂
Tweet media one
5
0
25
72
16
307
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
15 days
@YoungAfricansSC Kama umemuona #TajiriLaKihaya Akiwa kasimama na sweater jeusi Gonga like hapo…
Tweet media one
36
13
306
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
9 months
Na Mtaalam ⁦ @kalage_jr ⁩ Brand Lazima izingatiwe.!!😁
Tweet media one
5
13
302
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Mbunge wa Tarime Vijijini, mheshimiwa WAITARA… Rafiki Yangu saana… Huwa ananishauri vitu vingi saana hasa kwenye mbio zangu za Kuwa Mbunge wa Bukoba Vijijini- Muleba! Ila bado sijachagua niwe chama kipi! hivi katiba hairuhusu INDEPENDENT CANDIDATE? Maana hela za kampeni
Tweet media one
@fumbokhanJr
Fumbo Khan
1 month
Huyu Mbunge kaongea Hoja ya Msingi sana tena kwa hisia kali kabisa..!!🔥 Usipo Retweet hii wewe utakuwa Mchawi.
Tweet media one
12
46
325
44
32
304
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Nyie Ke mnaogopa kuandika namba kwenye comments-mnajazana DM! Alafu matatizo yenu makubwa-serikali tu ndio inaweza kutatua😅 Ila ME, ni elfu 5 au 10 ya vocha au lunch maisha yanaenda!
@EvelynJulius4
Evej
1 month
@EsirEid 😅Mbona mabunda yanaenda tu kwa me🏃‍♀️
0
0
4
60
22
301
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
23 days
May Allah turn your hardships into blessings🙏🏽 GM X Fam🫶🏾
38
56
294
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Ila mm dem akivuta Shisha au kunywa bia ananitoa Stimu kabisaaa! Hata awe mzuri kivipi haiwezi simama…
37
26
293
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
3 months
@Masandawana Ngoja niwawekee ya kizungu kabisaa! Naona dharau zimezidi
25
37
289
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Hii nisipo ificha italeta shida… Ana Followers wengi saana😅😂😅
Tweet media one
44
18
282
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
22 days
Tuombeane Dua inatosha kabisaaa🙏🏽🙏🏽
20
51
278
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Tayari nmeshaamka Na Tayari nipo Ofisin hapa Nyumban kwangu… Hii Tabia ya kukatia Chapati ndani ya Beans nlifundishwa kule Kenya… Huwa ni Unyama saana aiseeee🙌🏽🙌🏽🙌🏽 AnyWay…. GM #TajiriLaKihaya X Fam🫶🏾
Tweet media one
49
28
280
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Mkuuu unachochea moto saana… Labda nichukue fursa hii kuwaomba Radhi wote waliokwazika na hizi Banters, Kiukweli mm hata Huyu Trojan simfaham na wala sijamFOLLOW Ila yeye alianza kunitukana bila sababu kisa nachat na dem wake-HAJIAMIN, So nkawa Namtania tu-Nothing was
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
1 month
Sisi ni kufuatilia tuu hii series. Siku ni 6 tajiri akamilishe kazi ta kula kazi 😂😂
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
35
28
330
86
24
276
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
15 days
#TajiriLaKihaya Duh! DM zimekuwa nyingi … ma Parody ya kina dada ndio usiseme! Genuine wanaonekana waongo… waongo wanaonekana wa kweli…. Nifanyeje??? Nasoma Ushauri wenu kwenye Comments….
98
30
276
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Nmetumiwa hii kutoka #Instagram nmecheka saana😅😂😅😂🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽 Dah!
Tweet media one
Tweet media two
55
28
273
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Tweet media one
@OriginoZee17
Zee La Nyeti
1 month
@EsirEid Mkuu Kuna sms nimekutumia DM 🙏
2
0
5
57
17
271
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Nmependa ulivyoniita😅
Tweet media one
@lizzy_temba
Lizzie 🌸
1 month
@EsirEid Babaa na mimi si unitumie kakitu 🥺🥺 0715 732 292 Jina Vivian
4
1
9
35
11
269
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
21 days
Kidogo Breakfast ipite aiseee…
Tweet media one
41
21
269
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
29 days
Ile wakati nataka kuGive Up… napata DM ya matumaini… Huyu dada ashawahi Comment saana kwenye Post zangu Anaomba msaada nkamuambia aje DM- alituma sms saana zaidi ya 10 Ila hakukata tamaa… Atlast nlimfikia na leo hii kajifungua mtoto wa kike… Anaomba jina zuri la Kiislamu
Tweet media one
Tweet media two
87
23
266
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
21 days
#TajiriLaKihaya Uzuri wa sisi ambao sio walevi… bill huwa ni ya kawaida saana, aiseee😅 Hatuna matumizi mabaya Na kombe tumelichukua 🫶🏾 #HalaMadrid
Tweet media one
48
12
263
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Wakuu au mimi ndio nmedata? Hivi huyu @s1ah_wanja hafanani kabisa na EX wangu??? Ukiangalia hizi picha mbili hawafanani?
Tweet media one
Tweet media two
53
25
262
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
8 days
#TajiriLaKihaya 💯💯💯💯mtu wa maana kabisa
Tweet media one
22
23
262
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
26 days
Hawa ndio ma Wife material sasa😍🥰😋
Tweet media one
14
23
262
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Pole saana kwa changamoto iliokukuta ya kuvunjika mguu kwa ajali ya pikpik na imani msaada wangu mdogo huu utasaidia kulipa bill za hospital… Aisee wakuu tuweni makini hasa madereva Boda boda- ajali za pikpik ni hataree saana!
Tweet media one
30
31
260
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
23 days
Ukiwa na mpenzi ambae hata hafaham kama SOUTH AFRICA kuna uchaguzi unaendelea… Basi amini kwamba una MPENZI MTAZAMAJI😅😂
25
23
255
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
26 days
Kidogo mchana wa leo upite aiseee😥
Tweet media one
32
22
257
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
May Allah remove any arrogance in our hearts, and make us humble and modest people, dealing with everyone with love, care, and respect. GM🫶🏾
37
62
252
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Wakuu DMs ni nyingi saaaana! Kuna nlizozipitia na kuzijibu… ila zinakuwa nyingi saana- haziishi kila muda zinaongezeka😅 Leo nmepanga iwe ni siku ya kujibu DMs tu… Sasa kama umetuma message na tatizo lako linaweza kutatuliwa na chini ya laki moja. Comment hapa Handle yako
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
DM nyingi saana mkuuu… zaidi ya 500+ Secretary wangu Atazipitia moja moja Juma tatu… Leo tunaonana LIVE hapa Kitambaa Cheupe Sinza… unasema tatizo kama ni kodi/karo/Pocket Money unapewa Cash
17
13
192
227
31
251
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
19 days
@Caamil8 Yeeees! We are the Young Africans… CHAAAAMPIIIIOOOONs #TajiriLaKihaya
Tweet media one
17
18
246
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
8 months
Leo wakati natoka ofisin kupata lunch kidogo,Nmepata Bahati ya kumtembelea ndugu yetu @kalage_jr kwenye duka lake jipya… #KalagePerfumes
Tweet media one
10
26
244
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
We waulize hivi… alikufata DM kipindi hajulikani humu anafollowers elfu 2 tu Au amekufata kipindi hiki anajulikana kila sehem twitter ana followers 20k+ na kila siku anaongeza followers wapya sio chini ya 500😅😂😅 Tena waulize… Kwa nini kipindi kile haukusema Mhaya kakufata
@Eric__Bernard
MR BEN
1 month
Kuna tweets unasoma kwamba wamefatwa DM na yule Tajiri wa Kihaya unaona kabisa huyu Muongo anatembelea tu upepo! 😂
20
12
289
33
17
240
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
27 days
Hii noma🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Tweet media one
46
14
239
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Hapa nkipata watu 20 (Me-7, Ke-13) Twende Tukaangalie hii burudan itakuwa unyama saaana!
@YoungAfricansSC
Young Africans SC
1 month
Viingilio vya 𝐏𝐀𝐑𝐓𝐘 𝐋𝐀 𝐌𝐀𝐁𝐈𝐍𝐆𝐖𝐀 ni kwenye mchezo wetu dhidi ya Tabora United kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Jumamosi ya Mei 25, 2024. Mwananchi sasa kukata tiketi yako #GamondiDay #HumuTuuu 🔰💪🏽 #TimuYaWananchi #TheClubAboveAll #DaimaMbeleNyumaMwiko
Tweet media one
35
72
1K
38
15
236
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Leo mm nagawa ten ten tu
Tweet media one
@its_dady_marioo
DADY MARIOO❤️
1 month
@EsirEid Namba ndo hii 0758474414 m pesa jina renald
0
0
7
67
12
235
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
21 days
Kidogo usiku upite hivyo aiseee 😥
Tweet media one
22
12
235
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
8 days
#TajiriLaKihaya Mm kwangu ni Bora Dem anipige mzinga hata wa 5m mara moja alafu akatulia nkawa najipigia tu. Kuliko dem ambae kila siku anaomba hela ya vocha,mara nauli mara hela ya saloon,mara kodi ya nyumba,mara hela ya Nguo mpya… mara alikua ananyoa vuzi akajikata bahati
36
19
236
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
15 days
#TajiriLaKihaya … Aiseee CIA wangu wanafanya kazi kitaalamu saaana😅😅 Kabla sijaelezea hizi picha… Wewe umegundua nini??? Weka kwenye comments😅
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
57
28
233
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Foleni ndio ndefu… Kila mtu atafikiwa kwa wakati wake… Tuwe na subira
Tweet media one
@datius_tz
Homeboy Tz
1 month
2
0
7
63
15
233
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
24 days
Kuna watu Hawaelewi tunachokifanya ni kipi na Athari zake ni zipi! Kwa ufupi tu; Mimi nmejoin Twitter 2012 nlipoingia 1st year Chuo. Toka 2012 hadi mwaka huu Tarehe kama ya leo mwezi jana 29/4/2024. Nilikua na Followers/Followings 11,200. Ndani ya miaka 12. Leo tuna
Tweet media one
40
27
233
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Watu wanapenda vita saana aisee😅
Tweet media one
17
15
232
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
1 month
Ahsante kwa kuweka notification ON… Dm foleni ndefu ila umefikiwa…
Tweet media one
@Khan_Elchapo
El_chapo👽 Ms
1 month
@EsirEid @SkinnyUnie Mkuu mimi uwa napishana na post zako za hela, imenibidi niset notification kwa tweets zako zote😀😀😀
1
0
6
44
22
233
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
16 days
#ThrowBackThursday … Sijui nifanyeje ili mwili wangu urudi kama zamani… Hapa ni 2015 nkiwa nyumbani #Bukoba Nlikua mzee wa Gym…Kukimbia kwa saana kila siku jion… Nafunga kula mara kwa mara… dem akijichanganya bila Round 4 sishuki 😅 Sikuhizi nmejiachia saana! Nmekuwa na
Tweet media one
57
20
231
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
2 months
Game La #YANGA lazima Tuliwahi…🔰💚✅
Tweet media one
14
10
228
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
20 days
Wewe ni Mhaya mwenzangu tatizo ni Mshabiki wa Simba… Nafaham umeumia saana kuzidi hata wana Azam… Chukua hio ya kupoza machungu walau ukeshe😅 #TajiriLaKihaya
Tweet media one
34
12
229