naytrueboy Profile Banner
Nay Wa Mitego Profile
Nay Wa Mitego

@naytrueboy

Followers
3K
Following
25
Media
89
Statuses
385

CEO at Free Nation | Independent thinker 966 Money Makers ✊

Dar es Salaam, Tanzania
Joined June 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@naytrueboy
Nay Wa Mitego
1 year
The Wait is over #NITASEMA is Out Now
60
365
2K
@godbless_lema
Godbless E.J. Lema
1 month
Thank you and God bless you so much Nay Wa Mitego. Nay Wa Mitego - Tupo Busy (Official Video) https://t.co/Pzz6aTUyQv via @YouTube
25
254
1K
@KumbushoDawson
Kumbusho Dawson Kagine
1 month
"Si mlisema tufanye kazi?.. Tumeamua kufanya kazi"....Kibao Kipya cha familia @naythetrueboy kinakwenda kwa jina la TUPO BUSY. Twendeni zetu mjini Youtube.
10
208
827
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
1 month
Ngoma mpya ya Nay wa Mitego, Tupo busy kuwapigania ndugu zetu waliouwawa.
24
314
1K
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
1 month
"Wasanii wakiimba nyimbo za kuisifia Mbogamboga sawa, Ila wakina Nay na Roma wakiimba nyimbo za kuikosoa Serikali wanafungiwa" Clemence Mwandambo
11
186
757
@Jambotv_
Jambo TV
1 month
Msanii wa muziki wa Hiphop Emmanuel Elibariki(Nay wa Mitego) amesema hali ya kukataliwa kwa wasanii na mashabiki nchini ni jambo ambalo litatoa somo kwa wasanii kuwa wanapaswa kuwa sauti ya mashabiki/wananchi angalau mara chache. Kupitia ukurasa wake wa Instagram Nay amechapisha
30
152
1K
@PatricOleSosopi
Patrick Ole Sosopi
2 months
Msaani wa Nigeria 🇳🇬, Akiendelea na tour yake nchini Marekani, Davido alishangaza wengi baada ya kusimamisha show kwa dakika moja huku akiwaomba mashabiki wake walio jitokeza kuiombea Tanzania kutokana na machafuko yaliyojitokeza siku chache nyuma. Show hiyo iliyoenda Kwa jina la
34
248
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Tumepoteza Ndugu Zetu Wengi Sanaaa🥹 Hakuna Damu Inaendaga Bure Malipo Yapo Na Mungu Ni Mwema Tuta shuhudia Malipo Ya umwagaji Damu Huu. Mungu Awalaze Mahari Ndugu Zetu walio poteza Maisha🙏🙏
26
231
936
@Sativa255
SATIVA
3 months
Wakenya Media zao zipo huru sana, sikiliza hapa wanawashauri WATANZANIA kuelekea maandamano 29.10. Huu ujumbe wa muhimu sana. Kuna watu hawajui kazi ya cologate (DAWA YA MSWAKI) kwenye maandamano. Wanaojua waambieni hapo wenzenu wajifunze maana ni YA MUHIMU SANA. Repost 200
7
159
600
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Stay strong Kamanda✊
9
202
1K
@Twaha_Mwaipaya
Twaha Mwaipaya
3 months
Kitendo cha kumkamata John Heche kimechochea chuki na sababu za maandamano zimeongezeka. #Mo29
36
284
1K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Kuelekea Tar 29. Na leo ikiwa ni #NyerereDay Basi Tuishi Na Hii Ngoma #Alisema
2
109
403
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
3 months
Hii Sio Tanzania yetu ya Kisiwa cha Amani tena. Hatupo salama tena. Kuikomboa Tanzania yetu ikawa ile ya Amani Ya Kweli ni Sisi watanzania wenyewe ambao Ndo Wenye Tanzania wenyewe.
8
102
588
@NamdiAzikiwe
Namdi Azikiwe.🇹🇿🇰🇪
4 months
1
28
268
@HildaNewton21
Hilda Newton
4 months
“Kwenye Maandamano ya Oktoba 29 Wanajeshi wengi wapo upande wa Wananchi”-; Captain Tesha
43
404
2K
@naythetrueboy
#Naythetrueboy
4 months
Kwani Hii Nchi Kuandamana Ni Kosa.?! Mbona Viongozi Wetu wakisikia Maandamano Wanaona Kama Watu wametangaza vita.? Awa police na wana Jeshi walio sambazwa uku mtaani ni kama kuna vita inakuja. Wanauza Uoga Ngoja Tuone Kama kuna mtu wakununua round hii.!!
31
130
743
@DullahTheking2
Dullah_theKing🎧
4 months
Hii sikuwahi kuiona ila kama ulikuwa Serious ulimkosea sana RAIS WA KITAA. Labda kama ulikuwa katika harakati za kujivunia Likes na Comments kaka
@MaxTz255_
Myunani
11 months
Baba Yaga Bila Kuandika Siasa hana Tofauti Na Wakazi 😆
11
9
143
@rose_mayemba
Rose Mayemba
4 months
Madam President @SuluhuSamia pokea ujumbe huu mzito kwa niaba ya CCM halafu ukae chini utafakari kama unastahili kuendelea na hicho unachokiita UCHAGUZI.
8
98
405
@ze_mandevu
The mandevu
4 months
Wanangu tusichoke kupaza sauti dhidi ya wenzetu waliokuwa mstari wa mbele kupigania haki na usawa. Repost ifike mbali. #FREEKIDUKU @TanzaniaOneJezi
24
548
2K
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
4 months
Kimara Kona, Ubungo, Dar es Salaam, asubuhi ya leo. Wananchi wanaimba “tunamtaka Tundu Lissu”. Mbogamboga mchezo wenu wa kuwalazimisha wananchi kuwapenda kwa lazima haujazaa matunda. Pamoja na kumtunza TAL gerezani siku 180 anakumbukwa na wananchi na wanaimba jina lake bila
69
497
2K
@TitoMagoti
Tito Magoti
4 months
Acheni kutumia mapolisi kuwatisha vijana wa hili Taifa. You cannot arrest the revolution. Free Kiduku Now.
18
193
1K