
Msigwa Mpenda.
@MsigwaMpenda
Followers
5K
Following
49K
Media
1K
Statuses
9K
Education | Leadership | Democracy | Social Justice | Policies | Ex- @Chaso Iringa Regional Coordinator 2020/2021. I' am @Rickwarren and @HecheJohn Student.
Joined February 2019
KUTEKA na KUTISHA - sio njia sahihi ya kuzuia au kuzima sauti za vijana wasio kubaliana na sera za CHAMA CHAKAVU. Vijana wanapaswa kujibiwa kwa hoja. Na kama wanamakosaa wafikishwe kwenye Vyombo husika na sio KUTEKWA.
8
145
623
Waandamanaji sasa wanaelekea Ubalozi wa Tanzania 🇹🇿. Watakaa nje na Kuchoma mishumaa kuwakumbuka waliopotea na kutekwa. Kama upo njiani, tukutane ubalozini: 1232 22nd St NW, Washington, DC
20
147
635
RT @TanganyikaLaw: UKAMATWAJI WA RAIA KWA MASUALA YA KISIASA AU MAONI YANAYOHUSIANA NA SIASA Nimepokea taarifa za kukamatwa na kushikiliwa…
0
9
0
Kuna ulazima gani watu wanaowakosoa kuwaua? kwanini muwapoteze?, Si bora muwape kesi za kubambikiza kama murder au uhaini wakaa ndani bila dhamana? Mbona wengi mnawabambia kesi? Kwanini watu wauawe wakati lengo lenu linaweza kutimia bila kuua? Kuteka na kuua ni ushamba!!
10
105
479
ARRESTS OF CITIZENS OVER POLITICAL OPINIONS OR AFFILIATIONS I have received reports of the arrest and continued detention of lawyers, citizens, and several leaders of the CHADEMA political party in Kagera Region, contrary to the procedures and safeguards provided under the law.
6
116
408
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 111 Wakipokea kielelezo cha picha mjongeo au video utaratibu unakuwa hivi-; 1. Programu endeshi "operating system" 2. Programu Chunguzi "Forensic Software" 3. Programu Linzi "Security Software" Hizo ndio njia zinazotumika kufanya uhakiki wa
33
428
1K
Kuteka, kupoteza, kuua na kuficha watu .. Ni kujaribu kuwauzia Watanzania uoga na hofu. Nchi haiwezi kuongozwa kwa kujaza watu hofu, Nchi inaongozwa kwa ushawishi wa Kiongozi. Vijana msikubali kuuziwa uoga.. Destiny yetu iko mikononi mwetu.
25
316
1K
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 110 Thawabu: Baada ya kuwa Police Constable nini kilifuata? Samwel: Nilipangiwa kitengo cha picha yani sayansi jinai. Mwaka 2014 nilianza mafunzo yanayohusu upigaji wa picha zote yaani video na picha mnato. Nilijifunza pia SOP for Photography
35
454
1K
*MAANDAMANO* * Friday, October 17, 2025 Washington, DC. 10:00AM Location: IMF HQ2 1900 Pennsylvania Avenue NW, Washington, DC 20006 1. #FreeTunduLissu 2. #NoReformsNoElection 3. StopUtekaji 4. Free Polepole 5. Uvunjwaji wa haki za binadamu na Demokrasia
8
94
297
Feeling profound sadness for those dying of natural causes but nothing for the young Tanzanians and East Africans you’re killing is wild! Release Polepole and all the hundreds you have disappeared and we will believe you have a heart to feel sadness for anyone. #EndAbductionsEA
Nimepokea kwa masikitiko makubwa taarifa ya kifo cha Mheshimiwa Raila Amolo Odinga. Tumempoteza kiongozi mahiri, Mwanamajumui wa Afrika, mpenda amani na mtafuta suluhu, ambaye ushawishi na upendo wake haukuwa tu ndani ya Kenya, bali Afrika Mashariki na Afrika kwa ujumla. Msiba
55
354
2K
Hii ilikuwa siku ya Uchaguzi ndani ya Chama January 21, 2026 Madalali wakaja na hoja za kijinga jinga Mhe. Lissu akawapa za uso.
38
225
980
tanzania, sadly, hakuna nafasi ya kutofautiana na mtu kimawazo. unapingana na gwajima leo kwa hoja, kesho kanisa lake linafungwa. unajitokeza hadharani kutofautiana na polepole, before you know it, kapotea. kutofautiana mawazo na mkosoaji wa serikali, ni kama kumchimbia kaburi!
3
44
184
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 99 Mhe. Lissu: Waeleleze majaji kama kwenye hiyo kesi ya Kisutu umeandika maelezo ya shahidi na waeleze kama ni kweli au si kweli ulikwisha ma kutoa ushahidi tarehe 16/06/2025. Anasimama Job Mrema anasema Mh. Jaji hili jambo lilishakatazwa
37
557
1K
Unajiona salama Msigwa! Save this - ipo siku utahitaji tukupazie sauti kana hawa wenzako mliokuwa nao wakati wa Jiwe Mark this post! Hauko salama kama unavyofikiri #TutaelewanaTu
67
193
1K
Leo #MariaSpaces tunajadili: Kuelekea Oktoba 29 - Tanzania tunayoitaka Pamoja na hasira ya kutekwa, kuonewa, kuporwa haki, sisi ni wazalendo tunayotaka Tanzania mpya baada ya Oktoba 29 na si mambo yaleyale ya dhulma Leo tujadili vision yetu na tunachodai! Saa 2 uck leo!
0
13
38
Mhe. Lissu: ulisema umesoma chuo cha Unique Academy? Kaaya: Ni kweli. Mhe. Lissu: Hiki ni chuo gani hivi? Kaaya: sio chuo kikuu, sio chuo kinachotoa advanced diploma, hiki chuo tulipelekwa maafisa wa polisi. Huwa tunapelekwa maeneo mbalimbali ikiwemo UDOM tunaendaga. 😂
5
29
192