
Blessed Trice✝️🙏
@trice_blessed
Followers
8K
Following
50K
Media
322
Statuses
46K
really eyes realize really lies 📌 without God i’am nothing,God forever grateful for me ,pray each day,let God light,stay positive, stay humble ❤️🙏🤎
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2022
Kuna watu hukupaswa kukutana nao kwenye maisha yako lakn kwa sabb adui alishakusudia ukutane nao ili wawe mlango wakuharibu maisha yako🙏kuwa makini sana Muombe Mungu usiku na mchna akuepushie watu wasiofaa kwenye maisha yako🙏na mabaya yasikupate, Isayah 54:17
17
88
227
@JosmanStima
@MsFrancic
@Alex_komba00
@derc2323
@WiseMtui
@KiandaWa14
@Mwacha5
@Geo_sonco
@Mwinshehe07
@Bendone_23 Nawakumbusha muda wa kusali Rozali Takatifu umekaribia msikose na msiseme sijawakumbusha 🙏
9
16
30
hongera mwaego😒
@msritha_ Ambae nisipo uza hata perfume nikirudi nyumban napokelewa vizuri, ananipa Moyo na ushauri mzuri.. yan ambae langu lake, lake Langu.. apooo apooo? 🤣🤣
0
1
2
Michezo ya wanasiasa/matajiri kutoa sadaka na kutaka kutangazwa hunajisi madhabahu na kuondoa uwepo wa Mungu Kanisani.
1
4
28
Ee Mwenyezi Mungu tunasema asante kwa kutulinda siku nzima ya leo, tunarudi tena kwako usiku huu ukatulinde dhidhi ya pepo wabaya, wachawi na wale wote wenye nia ovu juu yetu tunasema bila wewe sisi si lolote, tunakuomba agiza malaika wako walinzi wakatulinde usiku huu Amina.🙏
0
15
37
Nimempigia simu umara tatu simu inatumika na sasa hapatikani kabisa sijui sumu yake itakuwa imezima chaji🤔
10
12
81
2 Timotheo 2:22 Lakini zikimbie tamaa za ujanani; ukafuate haki, na imani, na upendo, na amani, pamoja na wale wamwitao Bwana kwa moyo safi.
1
3
4
Karibuni unga mzuri wa lishe, una virutubisho na kinga zote mwilini Unga huu anatumia yeyote kwanzia watoto mpaka watu wazima 1kg:9000 Location:Dar Delivery nafanya kwa gharama za mteja Call 📱/ Whatsap: 0744522001
4
50
69
Kwa msaada wa Mungu tutatenda makuu, maana Yeye atawakanyaga watesi wetu. 🙏
2
5
22
Kulikuwa kumepoa leoo.. Ila DAKIKA ZA JIONIIII kumechamgamka 🔥🔥😎
3
5
21
Sema humu Vitu vya kuambiwa na kusikia .. Ukimaliza Kusikiliza changanya na akili na zako 🙏🙏 Ila 🤣🤣🤣
3
5
19
duh hii jpl ya leo imepoa kibiashara vibaya au ni huku kwetu tu 😥aloo kama hali ya biashara ikiendelea hivi tumeisha🤦♀️🙌
11
11
46