Bendone_23 Profile Banner
B Profile
B

@Bendone_23

Followers
5K
Following
90K
Media
2K
Statuses
54K

Bro Ushauri peleka kwa ukoo Yako.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Bendone_23
B
2 months
Hii ni maana ya Upendo โค๏ธ๐Ÿฅฐ๐Ÿ˜‚sana ningeeka na surprise zingine sema wachawiii๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚๐Ÿ’”
Tweet media one
@Bendone_23
B
2 months
Muniombee nioe huyu โค๏ธ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…
Tweet media one
2
7
16
@Bendone_23
B
7 hours
Video call nikuoneshe Dar yenyewe๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜.
0
0
3
@Bendone_23
B
9 hours
Tembere.
@ItsMrHealth
Mr Health๐Ÿ’Š๐Ÿ’‰
11 hours
Mboga ipi hapa Kwako Nzuri SANA? Msusa au Chainizi. ?. Nasoma Comments. ๐Ÿ‘‡
Tweet media one
Tweet media two
0
0
1
@Bendone_23
B
9 hours
Uliahidiwa majibu leo nn.
@shaks_prince
Shakur Faith
4 days
Twitter IT, nna wiki sasa siwezi kusoma DMs kabisa. Ni mimi tu au huko kote? . Msinitajie VPN(wasije wakazifungia). Au mpaka nirudi Nairobi?
Tweet media one
1
0
3
@Bendone_23
B
9 hours
Sasa wewe utakuwa mfano.
@mshishi00
Central Cee๐ŸŒ
9 hours
nani yupo chamazi aje tuzinese.
1
1
1
@Bendone_23
B
10 hours
Umepata.
@Nurjan_seyd
Ms konpa๐Ÿ’ƒ
1 day
Kwahali niliyofikia itabidi nitafute hata mahusiano yasiku mbili tatu upweke utaniuwa walai ๐Ÿซฉ๐Ÿซฉ.
0
0
0
@Bendone_23
B
10 hours
Nimemuona Yule Janja Wa Kusinzia hovyo๐Ÿ˜‚ hapa k4 ngoja apite tenah.
3
4
17
@Bendone_23
B
13 hours
Hata nikimtumia 5k ๐Ÿ˜.
@EsirEid
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
17 hours
#TajiriLaKihaya . โ€œMimi ni Handsome, japo sio kihivyo sana ila Najitahidiโ€. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…. Acheni hizi wakuu- tumeni salamu alafu omba namba inayopokea pesa hawawezi tuma muamala humu๐Ÿ˜…๐Ÿ˜‚.
1
1
4
@Bendone_23
B
13 hours
Humi ndo kuna Mahendisamu na Mabiutifu.
1
1
2
@Bendone_23
B
14 hours
18M kiufupi siuzi linabaki kama ukumbusho.
@EsirEid
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
17 hours
#TajiriLaKihaya . Hii ni OFFER kwa Wana X tu!. Mwisho wa OFFER ni KESHO KUTWA.
0
0
1
@Bendone_23
B
14 hours
Kuwa wale wadada walikuwa wanafanya kazi Ofsin Sijui walikuwa wanajionaje kudadeki ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜€.
1
5
24
@Bendone_23
B
16 hours
Kumbe kunawatu wanawapenda masingo Maza Humu ๐Ÿ˜๐Ÿ˜‚au mnataka mkawachezee tu.
2
2
10
@Bendone_23
B
16 hours
Baadae Mnakuja kuziweka Public ๐Ÿคจ๐Ÿ’”.
@BabyG536
Baby G
1 day
Mungu awabariki wanaume wote wanaokujaga straight dm wana full introduce themselves utaskia."Hello mambo jina lang flani natokea sehm flan nafanya kaz sehm flani " na kapicha kake .Alaf kuna vivulana wazee wa Hi, hello ๐Ÿ’”.
1
0
0
@Bendone_23
B
16 hours
Sio kweli ๐Ÿ™„.
@dsm_wa
KING WA DSM ๐Ÿ‘‘
2 days
KAMA NOMA NA IWE NOMA, WAMEMFUKUZA MPAKA MWENYE CHAMA ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
Tweet media one
0
0
0
@Bendone_23
B
17 hours
Afadhari ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜.
@liciousThecute
mimilicious
1 day
Watu wa Arusha nawaza kuanzisha Group,Lengo ni kufahamiana,kupeana connection za kazi,Kuungishana kwenye biashara zetu,kusaidiana kama ikibidi .Je mpo Tayari ??.
1
0
0
@Bendone_23
B
17 hours
Huu ndo uwalisia โœŠ๐Ÿพ๐ŸŽ“.
@EsirEid
๐Ÿ‡ช ๐Ÿ‡ธ ๐Ÿ‡ฎ ๐Ÿ‡ท ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฒ ๐Ÿ‡น ๐Ÿ‡ฟ
17 hours
#TajiriLaKihaya . Sema kitu ambacho manzi za humu huwa hazifahamโ€ฆ. Ni kwamba- sisi Wanaume tukishaamua Kuzama DM, . Tunakua tupo Tayari kwa lolote Lile- Kukubaliwa,kukataliwa na hata ikiwezekana Dm kuvuja tupo tayari!. Hakuna Dhambi katika kutongoza, hata vitabu vitakatifu.
0
0
0
@Bendone_23
B
17 hours
Tuendelee kupambana bila kuwadharau wengine.Hakika Muda umewanyamazisha watu wengi sana. Mungu alikuwa na Maana kuifanya kesho kuw siri โœŠ๐Ÿพ๐Ÿ™.
0
2
4
@Bendone_23
B
17 hours
Hawezi Kuwa Mchaga Bro!.
@ShirimaYvonne
LizyRomanio๐Ÿคช
18 hours
Mwanamke anaekupenda kweli. -Atakuheshimu.-Atakupenda.-Atakujali.-kila mda atatamani kuwa na wewe.-atakua na wivu na wewe.Na la mwisho kabisa.-Anaependa kweli ana aibu ya kuomba pesa.
1
1
4
@Bendone_23
B
17 hours
Mungu Ni mwema Aisee๐Ÿพ๐ŸŽ“.
0
0
5
@Bendone_23
B
1 day
Leo kunafoleni kisengee.
1
0
2
@Bendone_23
B
1 day
RT @GustavoElVunga: Dala dala za mawasiliano ni wahuni wanachukua hela mapema mno
Tweet media one
0
8
0