
Matale Msangi
@TaleMsangi
Followers
1K
Following
8K
Media
478
Statuses
15K
|God’s son|Family Man|Romans’ 5:8| Baba Hazel & Harvey| #ArsenalFc #Yanga #Talesmart28 #Cosmetics #scents
Arusha, Tanzania
Joined December 2020
Mchango wako kwa Mama Tanzania ni kuhakikisha kizazi chako kinakua na watu bora ambao watakua na mchango bora katika jamii, kuanzia mienendo bora, ushiriki bora na kusaidia wenzao. Msituzalie na kulea wezi, walafi, wabinafsi na mafisadi, tayari tulionayo wanatosha, watatumaliza.
4
13
81
Sometimes.. all you gotta do is pray, kuna vitu hatuwezi kuvihandle kibinadamu, sio kazi yetu. Basi tu tunajisahaugi, But it's beautiful everytimw you remember
0
11
54
Being rich is no longer the dream, may God just grant us financial freedom. It’s very important.
2
7
8
@TaleMsangi Week hii zamu yangu kupokea mchezo hapa kwenye kijiwe cherry cha boda..! Mhamala utakoma kwenye Airtel yako..!🔥🔥
1
1
1
UWAJIBIKAJI uanzie ngazi ya familia kabla hujaanza kunyoosha mikono kwa serikali kwamba haijafanya mambo kwa wananchi wake. Kama wewe ni baba/mama wajibika ipasavyo kwa watoto wako angalau mahitaji ya msingi yasikosekane. Serikali itakuwekea misingi tu mengine unakomaa mwenyewe.
4
4
20
@TaleMsangi Ebu kunywa mbili ntumie lipa you are going through alot
1
1
1
Utani pembeni Nunueni hizi simu mbili tu😆😆 Frame 1 Iphone 12 plain Gb64 Clean 530,000 Frame 2 Samsung S22 ultra FD Gb256 Duos 950,000 0685292370
5
56
84