Onesmo Alimara Alistides
@Onesmo_260
Followers
763
Following
17K
Media
70
Statuses
18K
Activist/psychologist/ influencer/motivational speaker/ student NO @udomtheofficial
Tanzania
Joined May 2023
Aibu tupu ๐ฎ๐ฎ Pesa hizi hawazitoi mfukoni bali ni pesa zetu za kodi ambazo zilitakiwa zitumike kwa manufaa ya umma wanahonga maskini wa DC kumsifia Mama yao! Shame!
0
12
48
Hidaya Mahita leo umejiaibisha huko DC ๐๐๐ umelipa Mexicans kwa lisaa limoja waende ku protest kumsifia @SuluhuSamia - hata Kiswahili hawajui na after an hour wameondoka haraka! ๐๐ Mmeumbuka vibaya sana ๐๐ Tulieni! Mwaka huu ni mwaka wa kuelewana mbona? ๐ฅ @Liberatus80 โ๐ฝ
21
103
487
UPO CHINI YA 10K FOLLOWERS?? ๐like ๐retweet ๐ Follow me @Paullyker ๐chapa handle ๐๐ช
11
7
13
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 121 Tunaendelea na kutolewa kwa ushahidi. Muda huu saa tisa mchana Mhe. Lissu tayari ameingia Inapigwa high Court waheshimiwa majaji wanaingia watu wote wanasimama. Ukimya umetawala hata nzi akipita unasikia sauti yake.๐ Anasimama wakili wa
21
355
897
Hivi ni kweli kwamba kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria??
1
1
1
Hivi ni kweli kwamba kuhamasisha maandamano ni kosa kisheria??
1
1
1
Jana Askofu Shoo @Glojos88 aliongea hekima tupu na busara! Mwenye akili amsikilize! Kwa nini #OktobaTunatoka ? Inatuhusu wote! Unaweza kusiklliza mjadala mzima ๐๐พ https://t.co/SJWCs7p3Nb
7
67
201
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 119 Shahidi sasa anaulizwa baada ya kuchunguza vielelezo hivyo viwili kwa maana ya flash disk na memory card alifanya nini? Anayemuuliza ni Wakili wa Serikali Thawabu Issa. Shahidi anajibu kuwa waheshimiwa majaji nilianza kuandaa taarifa ya
2
30
140
Rafiki yangu eeeh! Wasipokutafuta maana yake jitafute mwenyewe, Usilazimishe kuwa sehemu ya watu, jitafute ujipate watakutafuta tu.๐
0
1
1
Rafiki yangu eeeh! Wasipokutafuta maana yake jitafute mwenyewe, Usilazimishe kuwa sehemu ya watu, jitafute ujipate watakutafuta tu.๐
0
1
1
Ukiwa na mwanao anayekuchana ukizingua ni greatness isiyoelezeka pia utaenjoy sana.
3
3
11
Mithali 16:8 (Biblia Takatifu) Afadhali mali kidogo pamoja na haki, Kuliko mapato mengi pamoja na udhalimu. Muwe na usiku mwema๐
5
18
62
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 115 Anaendelea Shahidi namba 3 wa Jamhuri Samuel Elibariki Kaaya Baada ya hilo kutokea nilienda maabara kwa ajili ya kuandaa vifaa vya uchunguzi. Barua zote mbili tukianza na ile ya FB/PH/LAB/106/2025 Ilikuwa inahusu jalada la kuchunguza
30
368
944
Katika Hii Dunia Ukipata Mwanamke ambae Maumivu Yako Ni Maumivu Yake Pia. Basi Tambua Kuwa Umepata Mama Bora Wa Familia Yako...โ๏ธ

4
45
179
Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino cha Tanzania (SAUT) โ Mwanza, kimeeleza kupokea kwa mshtuko mkubwa taarifa za kutoonekana kwa Padre Camilus Nikata, Mhadhiri wa Idara ya Mawasiliano ya Umma, ambaye pia ni Padre wa Jimbo Kuu Katoliki la Songea. Taarifa za kutoweka kwa Padre
5
70
395
โผ๏ธ๐จVOTES FOR SAMIA ALLEGEDLY PREPARED AHEAD OF OCT 29 ELECTIONS๐จโผ๏ธ One key issue that Polepole raised was how CCM had access to the national ID system and the votersโ database and manufactured votes - more and more civil servants are confirming they have been told to go and
20
166
500