
George Sonco🇹🇿
@Geo_sonco
Followers
508
Following
49K
Media
105
Statuses
2K
Virtus vincit omnia — “Virtue (courage) conquers all”🤗📕@YoungAfrican💚&Real Madrid 🤍
Tanzania
Joined June 2022
The Archbishop of Dar es Salaam issues a passionate appeal concerning a troubling rise in unexplained disappearances and kidnappings across the country over the past two years. https://t.co/CtHe4jGOjH
vaticannews.va
In commemorating Nyerere Day—when Tanzanians honour the country’s Founding Father, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere—on 14 October 2025, the Archbishop ...
66
555
1K
Hala Madrid 🤍
"I've watched it four, five, six times… and I've always said: ‘This is football.’ Perfection,” - Zinedine Zidane https://t.co/HX3pR7V2yR
0
0
1
MUNGU WAPONYE WANAO UMWA NA WALIO LAZWA MA HOSPITALINI🙏🏿 PIA UKAWATIE NGUVU WALE WOTE WENYE CHANGAMOTO MBALI MBALI📌
4
10
17
When a man pays his bills it's normal. But when a woman pays her bills she is the queen of the jungle, independent lady, strong woman, terminator, Hustler, wakanda forever, tough woman, self love,single lady, successful woman😂😂 yaan ufalme wote ni wake...!!!
0
1
2
In Africa, laws are like spider 🕷 web 🕸 if some poor pressure comes up against them, they are caught. But big creatures can break through and get away You can never find justice in a country where criminals make the laws.... 🧟♂️
1
0
3
wakuu mimi nalala, sema hawa wadada waliopanga na hujihudumia wenyewe, kazi wanazofanya ni kuuza hand accessories Kuweni makini nao ni matapeli wa mapenzi🙌🏻🙌🏻 good night
3
4
10
Sir GOD tuepushee na wanawake wapumbavu wasiojali na kuheshimu harakati zetu🚮 hususani sisi vijana tunaojitafuta kimaisha 😂🫴.
1
11
13
@JosmanStima
@MsFrancic
@Mwinshehe07
@Mwacha5
@Geo_sonco
@Alex_komba00
@KiandaWa14
@derc2323
@redkipepeo
@rj5124489
@bright_ludwig
@geogre_jr
@Bendone_23 Muda umekaribia wakuu msijisahau 🙏
13
9
24
Which series can you never get tired of watching? 😀For me, *Into the Badlands*🔥
0
1
4
Philosophy is no man land 🤗....kila binadamu kwa kiwango chake na mtazamo wake ni mwanafalsafa
0
2
5
⚠️⚠️ATTENTION #WeProduceAndProvideTheBest
HIII NI KWAAJILI YA KUSAFISHIA CHOONI TUU HARUFU YAKE NI LONG LASTING ,KAMA UNASHARE CHOO NA WATU WENGI (public Toilets), HII NDO KIBOKO YA HARUFU🔥NI NZITO PIA Price: 12000 (12k) 5 Ltrs Location📍:Ubungo Mawasiliano Contact☎️: 0786700273 Delivery 🚚: Tunafanya REPOST🙏🏽
48
84
192
The demise of Raila Odinga has deeply wounded my spirit. May his noble soul rest in eternal peace and serenity 🕊️
10
24
56
Sema huwa tunapangwa sanaa kmk😂😂😂😂
Mwanadada msanii wa muziki wa Bongo fleva na mwigizaji Agness suleiman Kahamba “Aggybaby” amesema kwamba yeye kwasiku anatumia Bando la Milioni 3+ “Mimi kwasiku natumia Bando la shilingi milioni 3 hapo ni Bando tu, sijaesabu kula na mambo mengineyo” Alisema -Aggybaby🤣🎥
1
1
3
Mwanamke Akikukataa... Practice Abundance Tambua Ulimwengu Una Wengi. Usimwangalie Mwanamke Mmoja Kama Ndiyo Mwisho Wa Dunia. Tambua Kuwa Kuna Wanawake Wengi Wenye Haiba, Upendo Na Heshima. Jifunze Kuthamini Uwepo Wako Na Kuwa Wazi Kwa Fursa Mpya.
6
32
56