Jambo TV
@Jambotv_
Followers
959K
Following
375
Media
29K
Statuses
32K
Independent News Source | WhatsApp+255767252999
Tanzania
Joined May 2012
Serikali ya Tanzania imeelekeza watumishi wote wa umma nchini kufanya kazi wakiwa nyumbani siku ya Alhamisi, Oktoba 30, 2025, kufuatia angalizo la kiusalama lililotolewa na Jeshi la Polisi kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Kiongozi,
19
6
99
HABARI PICHA: Chama cha ACT Wazalendo kimeilalamikia Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kuhusu kudaiwa kuzuia mawakala wake kushiriki katika uchaguzi katika baadhi ya Kata za Pongwe, Maweni, Mabawa na Mnyanjani za Jimbo la Tanga Mjini mkoani Tanga. Akizungumza na Jambo TV,
16
0
24
VIDEO: Hali ilivyo katika maeneo ya Kimara Baruti, Jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 29, 2025
13
27
157
HABARI PICHA: Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mstari wa foleni ya kupiga kura kwenye kituo cha kupiga kura cha Kijiji cha Chamwino mkoani Dodoma wakati wa Uchaguzi Mkuu
9
0
9
HABARI PICHA: Wananchi wakiwa wamepanga foleni tayari kwa kushiriki kutimiza haki yao ya kikatiba ya kupiga kura ya kumchagua Rais, Mbunge na Diwani katika Kituo cha Stendi ya Zamani, Jimbo la Kondoa Vijijini, mkoani Dodoma leo Oktoba 29, 2025.
16
0
22
VIDEO: Polisi nchini Tanzania wamekabiliana na kundi la Wananchi katika eneo la Ubungo, jijini Dar es Salaam, leo Oktoba 29, 2025 Taarifa zimeeleza magari ya doria na askari wa kutuliza ghasia yameonekana katika barabara kuu ya Morogoro Road wakidhibiti hali ya usalama. Hata
17
37
206
VIDEO. Leo Tanzania inaandika ukurasa mwingine muhimu katika historia yake tangu kupata uhuru mwaka 1961, baada ya wananchi wake kujitokeza kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa kumchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wabunge, pamoja na madiwani. Katika mji mkuu wa
12
3
67
VIDEO: Ikiwa zoezi la upigaji kura linaendelea kote nchini, Jambo TV imefika katika Ofisi ya Mtendaji wa Kata ya Mazimbu, Manispaa ya Morogoro, ili kujionea mwenendo wa zoezi hilo muhimu la kidemokrasia. Wananchi waliohojiwa na Jambo TV wameeleza kuwa zoezi linaendelea kwa
7
2
21
VIDEO: Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yusuph Juma Mwenda ameshiriki zoezi la kupiga kura leo tarehe 29.10.2025 jijini Dar es Salaam. Baada ya kumaliza zoezi hilo amesema "Nimefurahi kutimiza wajibu na haki yangu ya kikatiba ya kuchagua viongozi
8
0
18
HABARI PICHA: Mgombea wa nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Hussein Ali Mwinyi akishiriki katika zoezi la upigaji wa kura katika kituo cha kupigia Kura cha Kariakoo kilichopo Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi leo Jumatano Oktoba
2
0
23
VIDEO: Mapema leo ikiwa ni siku ya uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani, tumetembelea baadhi ya maeneo ya Jiji la Dar es Salaam ikiwemo Kimara, Ubungo, Barabara ya Shekilango hadi Sinza Makaburini, na kujionea hali ya usalama ilivyo. Kuna utulivu mkubwa mitaani, huku magari ya
7
0
43
VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, ametekeleza haki yake ya kikatiba kwa kupiga kura katika Uchaguzi Mkuu wa 2025, huku akiwahimiza wananchi kujitokeza kwa wingi kushiriki zoezi hilo kwa amani na utulivu. Akizungumza mara baada ya kupiga kura, Babu amewataka
0
0
5
Spika wa Bunge Mstaafu ambaye pia ni mgombea wa Jimbo la Uyole, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kupiga kura kwa amani na utulivu, akisisitiza umuhimu wa kutumia haki yao ya kidomokrasia kuchagua viongozi wanaowataka. Dkt. Tulia ametoa wito huo mara
7
0
51
VIDEO: Zoezi la kupiga kura linaendelea kwa utulivu katika kituo cha Buyuni, kilichopo Changanyikeni, Wilaya ya Ubungo, jijini Dar es Salaam, likianza mapema saa 1.00 asubuhi, huku wananchi wakiendelea kujitokeza kwa utaratibu kutekeleza haki yao ya kikatiba. Maafisa wa tume ya
4
0
21
VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Arusha, CPA Amos Gabriel Makalla mapema asubuhi ya leo Oktoba 29, 2025 amewaongoza wananchi wa mkoa wa Arusha katika zoezi la upigaji kura "Mimi mwenyewe nimeshatimiza wajibu wangu, vituo tayari viko wazii, kuanzia saa 01:00 asubuhi mpaka saa 10:00
5
0
19
Leo, Oktoba 29, ni siku muhimu kwa Watanzania wote nchini, kwani wanatimiza haki yao ya msingi ya kikatiba haki ya kupiga kura na kupigiwa kura, zoezi linalofanyika katika maeneo mbalimbali nchini. Na hii ndio hali halisi katika Mkoa wa Kigoma asubuhi hii
2
3
45
VIDEO: Tofauti na ilivyozoelekeka jijini Mwanza nyakati za asubuhi kuwa na idadi kubwa ya watu na vyombo vya moto barabarani wakielekeza kwenye shughuli mbalimbali, leo hali inaonekana kuwa ya tofauti kwani Jiji linaonekana kuwa tulivu huku kukiwa na idadi ndogo ya watu na
3
6
78
VIDEO: Hali ya baadhi ya maeneo jijini Dar es Salaam leo imeonekana kuwa kimya tofauti na kawaida. Barabara kadhaa kubwa zimekosa shughuli nyingi za asubuhi ambazo kwa kawaida huonekana, ikiwemo biashara ndogondogo na harakati za abiria. Aidha, magari ya abiria maarufu kama
22
6
89
VIDEO: Ikiwa leo tarehe 29 Oktoba 2025 ni siku ya Uchaguzi Mkuu nchini, hali ya utulivu imetawala katika maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma. Mitaa ambayo kwa kawaida hujaa shughuli za watu na misongamano, leo imeonekana kuwa tulivu, huku idadi kubwa ya biashara zikiwa
4
4
60