Dullah_theKing🎧
@DullahTheking2
Followers
113K
Following
754K
Media
8K
Statuses
467K
There's no one who can stop you except yourself... I refuse to stop🙌🏽.. https://t.co/lCJQZQ0Mcn
theKing_street
Joined May 2022
👉🏽Founder wa "Coca-Cola" ndoto yake ilikuwa ni kuhakikisha kila Nyumba haikosekani chupa ya "Coca-Cola"...... Na alifanikiwa katika hilo 🙌🏽 👉🏽Kwa upande wa mzee wetu wa "Microsoft" lengo lake lilikuwa ni kuhakikisha anakuwepo katika kila Ofisi aisee.....na alilifanikisha hilo 🙌🏽
171
616
2K
Kuna Chopa La Kijeshi limepita hapa Rombo muda so mrefu wanajaribu kutuuzia Uoga aise.😂😂😂😂😂😂🚮💔🚮🚮
2
4
13
Zamani ilikua kukuta mtu ana Kitambi basi ni millionaire au mzee Siku hizi kijana akiwa na 1️⃣Winga Kariakoo 2️⃣Online trader 3️⃣Muuza gege 4️⃣Bodaboda 5️⃣Mangi Anakitambi, Maziwa na Hips age ya 20s 30s anatumia mkongo Unamwmbia acha chips, soda,wali na ugali anafoka..🤔
12
21
65
Me nae sijui nikoje,ukija ku engage kwenye post yangu nikikuona lazima niku follow kama bado hatujafoliana😂
3
3
9
Wakuu kuna haya Mashamba yanauzwa, Kama una mzigo we ruka na mojawapo: Iringa, Wilaya ya Mafinga, Kata ya Mdabulo, Isipii. Ekari 10: Shamba na Miti Pine (miaka 8) -> 13.5M - Ekari 20: Shamba na Miti Pine (miaka 7) -> 21M
10
89
220
Hakuna Mtu aliyekufa kwa kuchelewa kuowa, lakini kuna Wanaume wamekufa kwa kukosea kuowa.
5
41
346
Ilikuchukua Miaka Mingapi Kutengeneza 10M yako ya Kwanza Toka Umalize Chuo? Mimi Mwaka Wa 5 huu sijaweza 🙌🙌
6
8
89
Hapa mabibo sokoni leo humjui mwenye genge nani na anayenunua kwa ajili ya nyumbani nani watu wanafungasha ajabu 🙌🏿
8
21
97
Dar City wameibuka mabingwa wa NBL 2025 baada ya kuichakaza Kisasa Heroes 80-51 jijini Dodoma. Wachezaji na makocha wamesherehekea Locker Room Bonus ya Sh20.1M pamoja na Sh2.5M bonus ya jumla kutoka @betPawaTZ, ikithibitisha motisha na mshikamano wa timu #betPawaLockerRoomBonus
1
10
19
@DullahTheking2 My Playlist 👉Tanzania ~ @Roma_Mkatoliki 👉Mr President ~ 👉 Mathematics ~ 👉Viva roma viva ~ 👉Mkombozi ~ 👉Paka na panya ~ ft @MauaSama 👉Nipeni maua yangu ~ ft Abiudi 👉Parapanda 👉 Abdul ft stamina 👉wapo ~ Ney wamitego 👉Nipe namba ~ Baghdad #megamx
0
1
2
Hawa watu wote hawakishushwa bali walizaliwa 👉🏽Wana Familia Hawakuwa wakiishi Jangwani 👉🏽 Wana Marafiki, Ndugu na Jamaa Kuna Vidonda visivyotegemewa kupona huku Mtaani, Ila bado Mama Sykes halioni hili, inaumiza kwakweli 💔
Free Fortunatus Buyobe. Free Tundu Lissu. Free Deus Soka. Free Jacob Mlay. Free Dioniz Kipanya. Free Mdude Nyagali. Free Frank Mbise. Free Amani Manengelo. Free Daniel Chonchorio. Free Shadrack Chaula. Free Humphrey Polepole. Free all political prisoners & detainees.
2
6
26

393
1K
FOX DIVAS MABINGWA WA NBL 2025 BACK TO BACK Timu ya mpira wa kikapu ya wanawake Fox Divas wameandika historia baada ya kutwaa ushindi muhimu wa 65–57 dhidi ya Vijana Queens katika mchezo uliokuwa mkali, wenye ushindani wa hali ya juu, na ukionyesha ubora wa wanawake katika
12
22
41
Wenzenu tulisha move on kwenye maswala ya Simba na Yanga yaani kwenye Mpira na Muziki wa Bongo hatu-entatain kitu chochote.
30
153
1K
Man to Man: • Oa Usimwambie mtu. • Fungua biashara yako Usimwambie mtu. • Anza mazoezi ya mwili Usimwambie mtu. • Nunua nyumba Usimwambie mtu. • Nenda likizo Usimwambie mtu. • Jifunze ujuzi mpya Usimwambie mtu. • Tafuta marafiki wapya Usimwambie mtu. • Panga
12
41
144
Me as Mhaini: 😂👇 “Afande chukua cashout, hiyo mechi haina magoli…”
8
12
73