BALOZI Profile
BALOZI

@itsankhan

Followers
2K
Following
12K
Media
415
Statuses
8K

No Peace, No respect ๐Ÿคช

Joined July 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
@INFLUENCERjr
WHYMYCATISSAD
7 months
Msaada tutaniโ€ฆmzigo MPYA huu Wakuu hizi Tshirt ni za mtumba grade 1, huyu mzalendo anasukuma hizi Tshirt kwa bei ya kizalendo kabisa, Tshirt 1 ni 10k tu na mkoani anatuma. Mcheki mapema kabla haujakosa ๐Ÿ™Œ Mawasiliano yake: WhatsApp/Call 067 898 0885
3
27
43
@HecheJohn
John Heche
7 months
Wazee wetu walikasirika walipoona mkoloni mzungu na Mwarabu wanatesa na kuua watu wetu. Afrika ikaamka na kupigania Uhuru kukomesha manyanyaso haya. Tanganyika ikapata uhuru wake 1961. Leo miaka 64 baadae watu wanatekwa, wanatolewa macho na kuuwawa kama Mzee Kibao wa chadema.
37
182
564
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
7 months
๐Ÿšจโ€ผ๏ธFLASHBACK ZANZIBAR ELECTION 2020โ€ผ๏ธ Mwaka 2020 Zanzibar uchaguzi Hawa ni wanajeshi wanampiga mwanachama wa @ACTwazalendo bila aibu wala huruma๐Ÿ˜ญ Alafu 2025 Linda Kura???! Au mnafikiri @SuluhuSamia atawaonea huruma mwaka huu awaache mshinde kihalali!? Make it make sense!
44
182
498
@TitoMagoti
Tito Magoti
7 months
Mimi sipigi wala silindi kura. Nataka mabadiliko kwanza. Biashara ya kubeti ktk uhai, au kuwapa watu ulaji, siitaki. Tuheshimiane.
83
292
1K
@rollymsouth
Madenge
7 months
Mimi pia
35
147
992
@TitoMagoti
Tito Magoti
7 months
I repeat, usipige kura ukijua wataiiba. Usihalalishe ubatili. Kataa kuwa ngโ€™ombe. Dai mageuzi kama unaweza.
11
134
705
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
7 months
@PMadeleka Unaogopa kusoma maelezo mengi lakini unaweza kunywa pombe nyingi? Maelezo mengi umepewa ili kuelewa dhana ya "kuzuia uchaguzi".., Uchaguzi huwezi kuzuia kwa kuiba masanduku ya kupigia kura kituoni. Sasa nimeamini, unaweza kuwa na kichwa kikubwa lakini ubongo mdogo.
78
79
725
@IAMartin_
Martin Maranja Masese
7 months
โ€œTutazuia uchaguziโ€ - usiichukue na kujadili kauli mbiu hii ya kisiasa ukiwa kwenye ULEVI. Nitakupa darasa kidogo hapa, ukiwa timamu kichwani, utanielewa. Kwanza lazima uelewe, hatupo katika shindano la kutafuta umashahuri au umaarufu (popularity contenst). Hivyo hatuna tatizo
@PMadeleka
Peter Madeleka
7 months
Martin Maranja Masese nakuomba kwa UNYENYEKEVU, onesha UTIMAMU WAKO WA AKILI kwa kujibu swali hilo ๐Ÿ‘‡; โ€œMTAZUIAJE UCHAGUZI?โ€.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
167
298
1K
@HecheJohn
John Heche
7 months
Wanapanda mbegu ambayo ikiota wote watajuta. Liberia watu waligeuka wanyama, wakawa wanakula nyama ya binadamu. Madhara ya uongozi huu wa hovyo wa ccm sio kwenye rasimali tu, madhara yanaenda kuharibu ubinadamu na utu wetu.#NoReformsNoElection
@fatma_karume
fatma karume aka Shangazi
7 months
Moral Fabric ya Jamii yetu imekwisha kabisa! ๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข๐Ÿ˜ข USHENZI na lawlessness unastawi mpaka UHAI hatuujali. Unamtoa mwenzako ROHO bila ya woga na video unapiga kuweka USHAHIDI. Laana hii.
7
61
377
@imdior01
169๐Ÿ
10 months
Wakina mboneke pia...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
10
37
49
@Makaveli_255
๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ
7 months
Edo Kumwembe anaandika
60
85
633
@mswahili___
Mswahili___๐Ÿ’ก
7 months
Au kesho niamke mapema nifatilie giza pole pole huwa linaenda wapi๐Ÿ˜‚
34
40
181
@spana_Konki
Spana & V.A.R Movement
7 months
Duuh, makafiri huwa tunapitia mengi
@zakfida
๐Ÿ“Œ
7 months
Ni KAFIRI hakuna rangi ataacha kuona huko..!
22
1
93
@TricyDagaa_
TricyDagaa
7 months
Mmekula?
2
8
24
@anuskills3
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข
7 months
Twendeni Mbele turudi Nyuma Maisha Magumu wazee.!!๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
20
6
101
@MarekaMalili
Lubasha Jr
7 months
@zittokabwe
Zitto MwamiRuyagwa Kabwe
7 months
Tukuwekee hadharani? Kwamba unamwambia mshindani wako kuwa nitafanya hivi? Are you serious? Sisi tutalinda kura. Siku ya Uchaguzi Tanzania na Dunia itajua kwa vitendo maana ya Oktoba, #LindaKura
3
2
11
@Eng_Matarra
JAPHET MATARRA
7 months
Mtu anatekwa, anakatwa, anavunjwa au kuuawa. Badala ya kuungana kupinga unyama huu, wewe unashangilia kama mjinga wa system. Unadhani una kinga gani ya kutodhurika? Ubinadamu hauna upande wa chama. Ukiona mabaya ukanyamaza, kesho hayatakusamehe.
3
42
280
@MariaSTsehai
Maria Sarungi Tsehai
7 months
Huyu ni Mchengerwa mkwe wa @SuluhuSamia mwenye kifua kipana na waziri wa TAMISEMI Msikulizeni! Ile โ€œAmaniโ€ ni code word Siku kadhaa baada ya hii @mdudenyagali alitekwa kinyama! Leo mnashangaa viongozi wa kijiji Geita โ€œwanalinda amaniโ€ kwa kumpiga hadi kumwua kijana? Badala ya
14
67
245
@mswahili___
Mswahili___๐Ÿ’ก
7 months
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ila watu
22
30
231
@_bwana_mkubwa_
Bwana Mkubwa
7 months
Hata mwenzako sijawahi kufika Dar Huu ndio mwanzo Vile nakwenda na sijui pa kukaa Wala mavasi, oh oh ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽถ๐ŸŽต๐Ÿ—ฃ๐Ÿ—ฃ
6
15
26