
MagerezaTanzania
@MagerezaT
Followers
10K
Following
565
Media
878
Statuses
1K
📍 Official 'X' Account of Tanzania Prisons Service | Est. 1931 | P. O. BOX. 1176 Prisons HQ-Dodoma.
Dodoma, Tanzania
Joined December 2018
Mkuu wa Sehemu ya Sheria na Usalama wa Magereza (SLM), DCP. Janeth Keha, akitoa wasilisho kuhusu Huduma za Wafungwa na Makundi Maalum kwa Maafisa Sheria na Maafisa Urekebu wa Magereza, Juni 09, 2025 Mkoani Morogoro. @katibanasheria_
1
0
4
#magerezaupdates🇹🇿 . Ziara ya Mhe. Innocent Lugha Bashungwa, Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Msalato jijini Dodoma, Februari 14, 2025. @wizaramnn .@innocentbash
1
4
44
#magerezaupdates🇹🇿 .Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, Oktoba 24, 2024 anatarajiwa kuwa Mgeni Rasmi katika Mkutano Mkuu wa Maafisa Waandamizi wa Jeshi la Magereza, utakaofanyika Makao Makuu ya Magereza, Msalato jijini Dodoma.
2
2
31