
BROTHER
@Brother_0101
Followers
19K
Following
101K
Media
10K
Statuses
110K
Mindset Architect| Strategist (BSc)| PhD in psychology 🧠| Storyteller| Save brothers| For latest Movies and tv show recommendations🍿 follow @aesthetics_onX
Turn on notifications 🔉
Joined January 2022
Kama mwanamke mwenyewe hajui anachotaka, basi wewe utampa nini mpaka abakie kwako? Jali maisha na malengo yako kwanza kaka.✍🏽
3
10
34
Utampa kila kitu anachokitaka kwenye maisha yake lakini bado atakusaliti. Usishangae sana maana hujakamilika kwenye Kila kitu.✍🏽
3
4
15
Kuna umri ukifika mwanamke unatakiwa kuacha kabisa tabia ya kujipost hovyo mtandaoni, labda tu kama umepotea.
2
3
16
•Unafanya biashara gani? •Bidhaa au huduma gani unauza? •Tuambie jina la biashara yako, mahali ilipo na mawasiliano yako. Kuna mteja wako hapa kati ya followers wangu. — tumia hii nafasi kutangaza na kuuza biashara yako. #TangazaBiasharaYako 🚀 follow me, I'll follow back.
0
0
8
Ulijuaje kuwa Kuna wanaume wanakusaidia majukumu kwa mpenzi wapo?
3
3
18
Wakati mwingine wanawake hawajui wanachotaka kweli. Mwanamke anaweza kusema anataka mwanaume mwenye pesa na gari. Wakati huo huo, anasema anataka mwanaume mwenye muda wa kuwa naye. Lakini ukweli ni huu — mwanaume hawezi kuwa na kila kitu kwa wakati mmoja: pesa, gari, na
2
7
26
Nisikilize kaka, ipo siku mafanikio yako yatakuwa makubwa kuliko vile umewahi kufikiri. Kitu cha msingi ni hiki: Muombe Mungu kila siku, fanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu. Amini kwamba juhudi zako na mipango ya Mungu vitatimia kwa wakati wake. Usitafute njia za mkato ili
1
14
73
Usimuamini mwanamke aliyemuacha mwanaume mwingine ili awe na wewe. Muda. ✍🏽
10
15
74
Jifunze kukaa kimya, hasa hasa unapokuwa na mengi ya kuzungumza.
1
4
17
Ni sifa zipi 3 unazoziangalia sana kwa mwanamke unayemuhitaji kwenye maisha yako?
7
7
22
Mfano hili daraja likijengwa na serikali unahisi linaweza kugharimu kiasi gani cha pesa taslim?😀
41
31
100
Mmeamkaje....Siku nyingine Tena ya kupambana na Changamoto Zetu Tunaomba Mungu atuvushe katika Yote Tunayopitia 🙏
15
29
75
WATANZANIA wengi wanaogopa KUANZISHA Biashara wakihofia kufilisika. Ukweli ni Kuwa tutazidi kuwa maskini Kama tutazidi kuziogopa Biashara kisa wengine walifeli au ulianzisha Mara ya Kwanza ukafeli. Kama Unataka Kuwa na pesa lazima Ujifunze Kutake Risk Kwenye Biashara.
17
12
31
Sio jambo Dogo kulala usiku na kuamka ukiwa mzima.. Sifa na heshima kwa Mungu. Good morning. 🌥️
17
21
105
Nisikilize kaka, ipo siku mafanikio yako yatakuwa makubwa kuliko vile umewahi kufikiri. Kitu cha msingi ni hiki: Muombe Mungu kila siku, fanya kazi kwa bidii na kuwa na nidhamu. Amini kwamba juhudi zako na mipango ya Mungu vitatimia kwa wakati wake. Usitafute njia za mkato ili
1
14
73
Huwezi ukawa mtu wa kumuomba Mungu na wakati huo huo ukawa mtu wa kutazama Porno, kaka heshima ipo wapi?? Chagua moja, baridi au moto.
0
2
18
Hawa viumbe wakisha kuzoea ndo utaamini wanapenda ule mchezo kuliko sisi
57
51
817
Kaka, usichoke kumuomba Mungu akusaidie katika unachokitaka. Mungu husikia na hujibu kwa wakati wake kulingana na mapenzi yake. Endelea kumuweka mbele kila siku unapoomba. Siku moja, bila kutarajia, mambo yatakaa sawa. Amini hilo kaka — nimepitia hilo mwenyewe, na Mungu
3
10
51