ZizzouSule Profile Banner
Zizzou 27🏁 Profile
Zizzou 27🏁

@ZizzouSule

Followers
4K
Following
16K
Media
887
Statuses
18K

Eng | Football | Enterpreneuer | Hip-Hop 🎵

Joined April 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ZizzouSule
Zizzou 27🏁
1 year
Kuna mwanangu baada ya kuchapwa na life, akaamua kujitosa kwenye kazi za saidia fundi. Kazi ya kwanza aliyokutana nayo kwenye ghorofa moja hapo kariakoo ilikua ni kubeba zege. Kwa jinsi alivyofika tu kazini walivyotizama umbo lake mafundi wakamuambia “Dogo utaweza kweli?” 😂👇
120
95
1K
@mzawaMUFC
NGOJWIKE SnR
3 days
Ndugu zangu wa Manchester united mkiongozwa na @ZizzouSule @BlacDaady @_bli4 @Marakiungu @professorIV01 mko salama?
4
4
7
@ZizzouSule
Zizzou 27🏁
10 days
Tupambane sana kwa sababu kuna tofauti kati ya “Karibu sana” na “ni wewe tena?”
1
0
3
@ZizzouSule
Zizzou 27🏁
10 days
Alikiba ft Taqwa - Nichum
@Ninja_Damour
N I N J A
11 days
Kiba ile migoma yake isiyokuaga midomoni mwa watu inakuaga mikali eg Wife wa Dunia, Tile, Maumivu per day, Dodo etc...
0
0
2
@ZizzouSule
Zizzou 27🏁
11 days
Dada hakuna ridhiki inayotoka mapajani.
2
7
29
@BabuBomba4
Babu Bomba
14 days
Black Ninja nae kavu sana mtu kama Unju unamuwekaje afungue verse yani alivyo umiza unashindwa kabisa kusikiliza verse zinazo fata watu kama wale huwa wanawekwa mwishoni. Ngoma kali wote wamefanya vizuri pia https://t.co/9161FTB6QK
2
7
17
@kasesco_tz
kasesco☆
14 days
Ukiachana na Mombasa, korogwe na morocco, ni mji gani mwingine unapatikana jiji la Dar es salaam...?🤔
68
31
296
@kalage_jr
John kalage 🇹🇿
15 days
Basi ninavyonukia kwenye hii daladala wanajua nina heeeelaa😂
0
3
57
@bukujero_1500
ELFUJEROOO…!!!
15 days
Hiyo tarehe 29 ndo ntajua hatma ya mwanangu, aanze kusoma AEIOU au nimfundishe option za kubeti aanze kuwa Mkamaria sugu mapema… 😂
3
9
46
@Neypaul01
Neypaul🤎
15 days
Good morning mchumba😘😘
46
19
153
@GamechangerTz
Calvin
16 days
Unju kipindi anafanya mitindo huru alikua anaifanya kwa umahili mkubwa sana Vijana wa sasa wako sawa ila anaekaribia hivi viwango labda homeboi StanRhymes though kina Cado Na Toxic wazuri pia 🙌🙌🙌🙌🙌 #BadoHipHop Cc @LucasOdero8 @Be_FrankSr @ZizzouSule @BabuBomba4
6
10
33
@pastajoshuatz
PASTA JOSHUA
16 days
Unajitunza usipate mimba za utotoni unakuja kuwa Mama wa kambo😂
4
14
108
@TravisKitengo_
Travis
16 days
Bariki na wengine Baba huu mzigo unanielemea🙏
78
65
308
@kasesco_tz
kasesco☆
16 days
Umeshawahi kupata text mpaka ukae vizuri ndo ujibu..?😅
12
26
118
@bukujero_1500
ELFUJEROOO…!!!
16 days
Yo! Yo! It’s BJ once again motherfvckers.. 🎶🎵Mimi bora nisile ila nibet,kwangu kubet sio starehe ni harakati. Mtaji wa buku tu ntamiliki bugati,na sitovaa mitumba ntavaa suti. Betting inahitaji ujuzi na sio vyeti,na sitoacha kubet mpaka mtakaponikuta maiti. 🎶🎵 Wi ouchaaa
9
9
39
@Neypaul01
Neypaul🤎
16 days
Hello mchumba twende kazini😍 good morning
40
30
302
@kasesco_tz
kasesco☆
16 days
Kuna Mstari Mwembamba sana Unaotenganisha Kati Ya Msaada Na Masimango Jitahidi Usipende Sana Kusaidiwa Jifunze kujitegemea ✍️ Good morning +255🇹🇿
50
62
136
@Paris_Fruition
Paris Fruition
16 days
🥤#ParisFruition Juice za Ukweli Jumatano hii jiachie na glass ya juice baridii yenye mchanganyiko wa matunda halisi 🍍🍉🥭🍊 na ladha ya tangawizi 😋 ✅ Fresh ✅ Natural ✅ Full ya afya 📍Dodoma – Railway Street 📞 0620 574 521 | 0750 823 780 #JuiceBaridi #HealthyLiving
0
2
4
@pastajoshuatz
PASTA JOSHUA
16 days
Nachokaaaaa Babu yenu PJ TombaTomba😖 Operesheni Okoa Bolo🏴‍☠️ Activeted📮
4
11
55
@pastajoshuatz
PASTA JOSHUA
17 days
Eti tulirithi dhambi za Adam na hawa ila utajiri wa Suleiman hapana😖
11
14
119
@BabuBomba4
Babu Bomba
17 days
Kweli kabisa mdogo wangu kaona Ile Hela wanayo pewa wasanii kwenye kampeni ni Hela ya Mchezo. Rapcha anafanya rap kwa ukubwa ukubwa kuliko umri wake. Acha kazi ziongee kama hivi.
0
1
15