Babu Bomba Profile
Babu Bomba

@BabuBomba4

Followers
4K
Following
89K
Media
879
Statuses
29K

Tanzania
Joined July 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@BabuBomba4
Babu Bomba
15 hours
Nacho sema hapa kama Rafiki yenu Ma afisa wanalinda wanalinda usalama wa CCM. Tukisimama ni vitisho nimikwara ila tapigana paka mwisho nikilala . Si mnafufua viji verse haya hili ndiyo Verse la Adam shule kongwe. Nimemtumia Mwanangu mmoja akanambia Oya Ngoma mpya hii ya nani?
0
1
5
@BabuBomba4
Babu Bomba
15 hours
Siwezi kukimbia nikahama Chocho eti kisa Wazee wanazana za moto ,nawaliambiwa tukifika watupige wakati nacho jua wanacho hitajika watulinde. Si mnafufua ma verse hili balaaa la kongwe kitambo hiyo ila kama jana
0
0
3
@HamisiMoha80100
hamisi jabrane
2 days
Nilikuwepo wakati wanashoot hizo project ndo maana nakuambia hamna kitu pale
@BabuBomba4
Babu Bomba
2 days
1
1
2
@krazydrazy100
dirty11
2 days
@BabuBomba4 Watapotea zaidi kwanza wamejichanganya sana kua "MACHAWA WA CCM" Raia hawawezi kuwapa nafasi ya kuwasikiliza Lord Eyez kashuka sana kiwango Fido Vato hamna kitu hawezi kurap Bou Nako yupo kwenye Bajaji zaidi ya miaka 6 hajawahi kutoa nyimbo Ibra yuo Zanzibar mziki umemshinda
1
1
2
@krazydrazy100
dirty11
2 days
@BabuBomba4 Walitakiwa warudi miaka 15 iliyopita ila kumbuka 2017 walirudi ila ikashindikana leo hii 2025 wanataka kurudi na wote wamechoka uwezo umeshuka sana sioni wakiweza kufanya vyema MUDA WAO USHAPITA
1
1
0
@RealLoisMo
OleMooshe Ngobei
2 days
@BabuBomba4 Moto ikiendele vile,vibe lile itakua poa sana. Lengo lipo,mradi/miradi imefanyika,katika kuendeleza sasa ndio kipengele. Mainstream game kwa sasa ni speed kwere,kwenda nayo ni ujipange kweli kweli. “Ukishindwa KUPANGA umepanga KUSHINDWA”
1
1
1
@Mujwahuzi2
🕊🕊🕊💔
1 day
@BabuBomba4 Sio kundi tu hata msanii mwenyewe akipotea kuja kufanya comeback waga ni kipengele, namjua mmoja tu aliyepotea akarudi kwa speed kali ( Nyanshiski)
1
1
0
@BabuBomba4
Babu Bomba
16 hours
Uzalendo umebaki kwa karatasi chunguza magendo upewe Makala safi. Simama kijana nchi isianguke tunarudi utumwa kwanini? tusiamke.
0
0
0
@BabuBomba4
Babu Bomba
2 days
Wanangu link hiyo hapa kwa Magokoro.
@fivara_
Magokoro
3 days
Shamba la Bibi (Lyric Video) out now! https://t.co/Nli9zO5X0Y
1
2
7
@BabuBomba4
Babu Bomba
2 days
Wanangu ujio wa Nako 2 Nako ,mnauonaje maana naona mnako Eyez ana push zaidi Makundi mengi Kibongo ambayo yalifanya vizuri badae yakatengena kwenye kufanya come back huwa inakuwa ya kawaida na wengine ndiyo upotea zaidi Uamini kaangalie Mexcana walivyo tengana na kurudi ikawaje
6
2
13
@BabuBomba4
Babu Bomba
2 days
Mulla alifanya uchambuzi wa Da Vinci code part2 ila akasema hajui kama Kuna Da Vinci code one. Nikawa nasema ila hizo podcast nazo sometimes miyeyusho tuu. Imagine Mulla ni m'bongo na ukumbuke Ile Da Vinci code ya Kwanza iliibua mjadala frani mala Joh akaipost Ig, gafra akaifuta
1
0
9
@BabuBomba4
Babu Bomba
9 days
Kijiko kimoja, moja ni full dose tunakaba paka tunawatoa makohozi na Walicho kingoja madoja na matozi tunabana paka wao wana jiita Wakufunzi.
0
0
5
@BabuBomba4
Babu Bomba
11 days
Siku hizi 40 sio siku za mwizi sijui mnaishi vipi? Na majitu ya hivi yanaiba kila kitu kuwapiku machizi hawana beef ila nahisi wana inshu na sisi na system.
0
0
5
@BabuBomba4
Babu Bomba
11 days
Hata tokea tena kama Unju. Kuwapa neno mshike akiongea kama Mungu, huku ridhiki zenu hakiwapea kwa mafungu dume la mbegu haliwezi kuelemewa na mapumb.
0
0
6
@BabuBomba4
Babu Bomba
12 days
Muulize Chege kama Juhudi ni Ushamba. @Blue Nawapiga bao wakijirudi kama Chege @Blue Wa bongo bhana huwezi kukuta magaidi jela baadhi wezi wa kuku kama Chege wa said fella @Unju jivike vyeo watu wenye vyeo wakuone bwege nacho kula sio kimeo kama Rasta za Chege. @Young killer
1
0
9
@BabuBomba4
Babu Bomba
12 days
Yule Marehemu John mjema alikuwa kichwa sana,Mwana hana ngoma mbovu ni vile tuu Kifo ila mwana kwenye wasanii wangu bora yule yupo. Kifupi kundi lao wote Rest in peace kwa Members wao.
1
0
8
@BabuBomba4
Babu Bomba
12 days
Imagine???
1
1
22
@BabuBomba4
Babu Bomba
15 days
One time for Andre K , Elimu ya juu . Ngoma Nne za Ep ziko full kuliko Miradi yao yenye Ngoma ishirini kwenda juu. Kwa ambao amkuwayi kusikiliza Ep hiyo nendeni mkaisikilize ndiyo mtaelewa maana ya hiyo bars.
1
1
10
@bwanabora
Don Dee Dion
15 days
@BabuBomba4 Album ya Gk ni NIKUPE NINI
1
1
0
@BabuBomba4
Babu Bomba
15 days
Mwenye kiti anajitahidi kuongea na vijana wake nakuwasihii,likalia la machozi gafra mwenye kiti chini bullet ya shingo huku na jesi yake Mama.Hapo mko mtaani ndani ndani kabisa paka Wana wanajiuliza wanazipiga kwa juu maana sio poa . Tukamkusanya nakumuweka pembeni so sad.
1
2
12