NGOJWIKE SnR
@mzawaMUFC
Followers
1K
Following
28K
Media
1K
Statuses
13K
IT EXPERT π» || Network & System Administrator || Tech Insights || Harvard Alumni || Football Content β½
Old Trafford
Joined February 2023
I am ready to wait, it worth it!! #MUFC
π¨π£οΈ Amorim: "I think everyone knows that we have a goal, not for this season, but within three years: to win the Premier League title. We will follow these steps to achieve that goal, but in this club, you know that every week, the narrative will be different, so we must
1
1
14
Wewe mwenye Gundu la chatu hufanikiwi,mambo hayaendi unaona mazngzong sogea Dm nikuuzie hii Imetengenezwa na kuvundikwa kitaalam sana ππ» Sasa wewe vaa hayo mabangili yako ya kariakooo ubebe minuksiπ«΅
2
5
50
@mzawaMUFC AI ni kama calculator β inarahisisha kazi, lakini lazima ujue hesabu kwanza ili ujue unachokokotoa. Vivyo hivyo, AI inarahisisha coding, lakini bila kuelewa programming logic (kama loops, data structures, APIs, n.k.), bado hutajua unachofanya. Nakasirika sana elimu yangu
1
1
1
@mzawaMUFC Java ni structured vizuri, inasomeka kwa urahisi, na ina documentation nzuri sana. Kwa hivyo ukishaelewa misingi, inakuwa rahisi sana kuendelea nayo.π
1
1
1
Naondoka na Eddy kenzo
2026 #GRAMMYs Nominees for "BEST AFRICAN MUSIC PERFORMANCE" π Love - Burna Boy With You - Davido and Omah Lay Hope & Love - Eddy Kenzo & Mehran Matin Gimme Dat - Ayra Starr and Wizkid PUSH 2 START - Tyla Who gets your vote? π€
0
0
3
@Ndama64 @mzawaMUFC @kishoka_ Kwa haya ni kweli kabisa unalozungumza. Hoja yake si ugumu wa Lugha yenyewe. Ugumu wa JAVA upo kwenye ecosystem yake na kila framework ina syntax, architecture na convention yake. Na kila kitu ni OOP + Convention lazima ufuate kila kanuni inahitaji sana discpline unlike C++
1
1
2
Kuna watu Wana mentality kwamba hutakiwi kujifunza programming Languages kwa sababu saivi Kuna AI. π Nyie content creators wa TikTok wanawaharibu sana.
1
2
6
Sasa kama HUJUI chochote kuhusu programming hapa umekuja kufanya Nini? Ujuaji sio? Sawa. Nilikuuliza swali simple kabissa tuoneshe project yeyote inayohusu programming language uliyofanya kwa kutumia AI bila kuwa na fundamentals za programming, Niko hapa nasubiri.
@mzawaMUFC Sijuhi chochote kuhusu hayo mambo yenu lakini naweza kufanya kama wewe kwa muda mfupi sana na ubora zaidi sababu najua kutumia Akili bandia na wewe hujuhi,kaza ubongo na hizo java miaka miwili ijayo huna chako.
4
0
6
@mzawaMUFC Inatumika kufanya systems programming, kama kutengeneza OS, drivers, nk. Lakini tofauti na C/C++, yenyewe ina type na memory safety. Hivyo kuna errors ambazo haziwezekani, app haikubali kubuild. Mfano null reference/null pointer exceptions. Inalazimisha developer kuwa makini
0
1
3
Bro umekuja kwa dhihaka hapa mjadala ulikuwa mwepesi tu afu kingine punguza ujuaji, nimeanza kujifunza programming language hizo AI hazikuwepo, Aya twende taratibu. Have calculators replaced math teachers?
@mzawaMUFC Ungejibu hivyo,sasa iko Akili Bandia inaweza kuandika hizo java chini ya sekunde 60 na kitu kikawepo tayari kutest,run and ku-release kazi iliyokamilika,wewe hapo unatumia muda mwingi kujifunza programming huu ni mwaka 2025 amka.
1
0
0
@ImStanleee @mzawaMUFC Ilininyoosha San ila now napigia Hela kweny native apps
0
1
1
We jamaa uko serious kweli? Umekuja hapa kubishana au kujenga hoja?
@mzawaMUFC Kwa kutumia hizo Java na mengineyo unaweza kutengeneza nini?
1
0
2
@iam_mulokozi @mzawaMUFC Syntax zake na memory management nu harder anko Debugging yake sio lelemama if youβre new to programming, Java is the better starting point. Kama unataka maximum performance and control (like game development or embedded systems) icheck cpp ndo mamb zake
0
1
1
@iam_mulokozi @mzawaMUFC Mtu unafundishwa kuunda class mara function ndo useme its easy because inafundishwa mwaka wa kwanza Can you teme have you finish middle level ya cpp anko Mark this point "C++ is harder to learn because itβs more complex and closer to the hardware."
0
1
1