Ninja_Damour Profile Banner
N I N J A Profile
N I N J A

@Ninja_Damour

Followers
5K
Following
10K
Media
6K
Statuses
89K

#Arsenal | Mdau Mkubwa wa Soka Wilaya ya Ubungo |Wakazi Hajui kuRap|4:20| IG:@ninjadamour

Manzese Maghorofani
Joined May 2015
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Ninja_Damour
N I N J A
6 years
Kutafuta Ni Juu Yako,Kupata Muachie Mungu..!! Ikawe Wiki Njema kwako hii...!!๐Ÿ™Œ
5
67
199
@Ninja_Damour
N I N J A
5 hours
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@Cowwbama
RaHeeM
5 hours
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ โ€œKama usipo nisikiliza wewe ninja nani atanisikiliza sasaโ€
1
0
7
@Ninja_Damour
N I N J A
5 hours
Mkubwa af anabishana kabisa na Refa ๐Ÿ˜ƒ
@NoodleHairCR7
fan
24 hours
We dont have enough videos but I'm sure 80% of Pele career goals are like this https://t.co/ttcIEuVeT2
3
0
10
@Ninja_Damour
N I N J A
22 hours
si alikua Ambasada wako wa Champ soap !? Pua kama Ng'e
@mpambazi
C H A M P
1 day
Mtu unamuheshimu lakini unakuja kugundua hastahiri hiyo heshima unayo mpa. Mapua kajua kutudharirisha sisi wenye mapua kama yake.๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ
21
5
57
@Ninja_Damour
N I N J A
23 hours
Lil' Rabbit
@SandyCrush912
SandyCrushโค๏ธ
2 days
Give him a RAP name
17
2
51
@LarryMadowo
Larry Madowo
2 years
My job is to cover Africa accurately, not positively
650
12K
31K
@Ninja_Damour
N I N J A
24 hours
Mngeanza kutoa majibu kabla ya CNN, ila kwa sasa hatupokei Maelezo.
@TZMsemajiMkuu
Msemaji Mkuu wa Serikali
1 day
Taarifa muhimu๐Ÿ“Œ
3
1
15
@Agnesskanje
Muuza viatu๐ŸŒน
1 day
85,000
3
14
32
@Ninja_Damour
N I N J A
2 days
Mzee Mbuzi kwanza ameshamsamehe au bado ana miadi nae !? ๐Ÿ˜ƒ
@Cowwbama
RaHeeM
2 days
Bony mwanangu, kuna siku utaharibu
4
4
24
@Ninja_Damour
N I N J A
2 days
Janja wa chelsea unauweka mwandu rehani ๐Ÿ˜ƒ
@caicedo_mussa
MoiCaicedo
2 days
@EsirEid Vita yoyote inayokuhusu kaka nipo upande wako
11
3
26
@Ninja_Damour
N I N J A
2 days
Wanangu wa Football Twitter Hawachekeshi ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ!!
13
23
107
@Ninja_Damour
N I N J A
2 days
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@Maestrowafact
CHURA MKALI PAPPARAZI
3 days
Dj kapiga Nyimbo ya Roma Mr President aisee meneja kamrukia kwa speed ya hatari ngoma imezimwa chap chap๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†๐Ÿ˜†
2
1
15
@Agnesskanje
Muuza viatu๐ŸŒน
2 days
Size 38,39,40,41,42,43,44,45,46 85k 0756020399
0
6
8
@Ninja_Damour
N I N J A
3 days
Process za kuachana huaga ni ngumu sana.
@klaytohn
Money Trees ๐ŸŒด
22 days
7. What's stopping you from getting Married?
1
1
19
@Ninja_Damour
N I N J A
4 days
Marks Loss
@calwizy_
Calwiz
4 days
How will i convince my girlfriend this is number 17 and not 2 ?
2
1
10
@Eric__Bernard
MR BEN
4 days
Hazikuwa Sifa za bure Mlilipwa Kupush ile Hashtag. Acha kuwafanya watu wapuuzi humu ndani. Ndo Tatizo lenu hili miaka yote hashtag mkipewa Mnafanya ikiwapita kushoto inakuwa Nongwa mnaanza tweets za Chuki na Wivu. Acheni hizi Tabia!!
@rollymsouth
Madenge
5 days
Ni mpuuzi tu ambae ataona hizi sifa za mama Kwa 2021 hakustahili,kwamba ukiwa mpinzani unapinga kila kitu? alipongezwa Hadi na wapinzani sababu Kuna mwanga aliuonesha, na mwanga huo haupo tena Kuna Giza watu wanapigania mwanga..Kila raisi mwanzo alipewa sifa sio JK,sio JPM kabla
44
21
152
@Ninja_Damour
N I N J A
4 days
Yule Mr Ben sio mnafki...ye alishachagua kufa na njia yake hao wengine ni kuingia na kutoka inategemea na Dau. Sahihi Ile ni Reli mzee.
@paulambross1
Adviser๐Ÿ’ช
4 days
Waongo makubwa mlilipwa kusukuma # ya Bibi Maggie hamkusifia kutoka mioyoni mwenu na ndio maana ni kikundi kile kile hakuna mpwa msitufanye wapumbavu ๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
3
5
79
@FabrizioRomano
Fabrizio Romano
8 months
๐Ÿšจโš ๏ธ BREAKING: Gabriel Magalhรฃes will be out until the end of the season. Gabriel requires surgery on his hamstring injury and will be out until the start next season.
2K
4K
48K
@Ninja_Damour
N I N J A
4 days
kusifia kwa tweets inaeleweka au sio Pamoja na Hashtag ilikuwepo dah๐Ÿ˜‚... Nakubali.
@iboysean
Sean ๐Ÿ”ฐ
5 days
@rollymsouth Kusifia kwa tweets hizi inaeleweka, nilidhani kulikuwa na mpaka interviews
2
0
7
@Ninja_Damour
N I N J A
4 days
Ni Kweli walimpenda au kilitoka kibunda wamsifie !? kuna vitu viwili hapo.
@AM_NIC3
NICE๐ŸŽธ๐ŸŽน
4 days
I may sound Dumb but alot of people mwaka 2021-2022 they loved that mubibi sanaa hata women were really proud of her ,but boom Zuwena akabadilika sanaa ๐Ÿ’€
12
4
39
@Ninja_Damour
N I N J A
4 days
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
@mfinanga_rm
๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ๐Ÿ•ฏ๏ธ
4 days
Elimu za kuunga unga na degree za kikuda.
0
0
1