BlacDaady Profile Banner
Black Dady Profile
Black Dady

@BlacDaady

Followers
29K
Following
128K
Media
9K
Statuses
197K

Med💉 | Football | Graphics designer |Crypto

Dar es Salaam, Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@BlacDaady
Black Dady
5 months
VODACOM 5G ROUTER BURE KABISA POPOTE ULIPO . - Gharama ya Kifurushi ni sh 120,000 kwa mwezi. - Utapatiwa kifurushi kitakacho kuwezesha ku'download, ku'upload na kupost bila kikomo. -Router ina uwezo wa ku'connect vifaa 64 kwa wakati mmoja. WhatsApp au piga simu☎️: 0743303484
Tweet media one
Tweet media two
16
68
95
@BlacDaady
Black Dady
6 hours
RT @thealpha24_: Not tweeting until Mbeumo signs for Man United.
Tweet media one
0
5
0
@BlacDaady
Black Dady
8 hours
Bado Fab tu ila nasikia Bryan Mbeumo done deal!.
8
3
51
@BlacDaady
Black Dady
9 hours
Kwamba Ashley Young ana upofu au anajiwekea mazingira ya kutaka kuwa hired hapo United?. Dunia nzima inajua tatizo la United kwa sasa sio Amorim, tatizo ni utendaji mbovu wa baadhi ya wachezaji hasa kwenye maneno muhimu (ushambuliaji na kiungo). Ameongea vitu vya kitoto sana.
1
4
34
@BlacDaady
Black Dady
9 hours
Kuna vitu vinashangaza sana ndani ya United. INEOS wamechukua team wakiwa wanajua tuna matatizo ABC na D ila ukimya wao sokoni kwenye nyakati hizi wanatupa maswali mengi mashabiki. State ya team ni mbaya mno walitakiwa kuwa busy na incomings plus outgoings simultaneously.
7
11
65
@BlacDaady
Black Dady
9 hours
RT @capitanpapilon: X accounts for sale with followers. 95k.319k. Instagram accounts for sale with followers. 8k.9k.105k.125k. Tiktok accou….
0
64
0
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
RT @QueenOnlineBiz: Naomba Repost🙏. #QUALITY SHOE🛍️🛍️. ✅Size 40-46. ✅Bei 110,000/=. 📍Kariakoo .
0
95
0
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
RT @MissChelsea1221: Naomba Mshow #Love kwa Repost🙏😍. 👉Size S_______2XL.👉Bei 27,000/=.👉Huduma ya kuprint inapatikana. .
0
156
0
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
RT @JumaAlliMwiguru: Umetulia Zako Uko Na Stress Za PSG Kufungwa,Mara Unamuona Jamaa Yako Amevaa Jeans Ya Pink Na Jezi Ya Chelsea. !😂.
0
30
0
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
RT @miracleboytz: Ni bora kuwa na followers 100 wanaokuamini kuliko 10,000 wanaoku-scroll. Source: Trust me Bro 😂🫵🏾.
0
4
0
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
PSG itabakia kuwa team bora duniani kwa sasa hata kama imepoteza jana against Chelsea. Unaikumbuka ile Barcelona ya moto wa kuotea mbali "2008–2012" ilipoteza baadhi ya mechi ila haikuondoa uhalisia kuwa ni the best. Mnajisahaulisha sana nyie!.
5
15
53
@BlacDaady
Black Dady
17 hours
Kabla ya mechi ya jana hakuna mtu alikuwa anajua Chelsea anaenda kushinda against PSG super team, kwasababu football ni mchezo uliojaa unpredictable things after mechi kila mtu alibaki mdomo wazi. Sitaki niwe muongo ila Chelsea ni tatizo lingine Europe.
28
27
288
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
RT @JackRthythm: Binafsi Cuccurella ndiye mchezaji wangu bora kwa Chelsea msimu wa 2024/25. Sababu ya mwendelezo. Niliwambia hili mashab….
0
12
0
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
RT @Mzungu_pori1: Good morning familia.
Tweet media one
0
25
0
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
RT @Thereal_medd: Shida nyingine ya kuwa na roho nzuri watu wanajuwa wewe mjinga 🧠.
0
46
0
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
RT @_amutiqun: PLEASE RETWEET PLZ. Changamoto zote kwa wanaume Masai ana dawa nzuri sana kwa changamoto za nguvu za kiume. 🫧Dawa ya kupan….
0
39
0
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
RT @ProfesaFootball: Bora Arsenal hatukucheza hiyo Club World Cup kombe kombe lenyewe linafanana na dawa za mbu(mosquito) zile za coils. ht….
0
51
0
@BlacDaady
Black Dady
18 hours
UNLIMITED INTERNET KWA LAKI MOJA TU!!. Yes kwa sasa ukiwa na shilingi 100,000 (Laki Moja) tu, laini yako ya "Yas" itawezeshwa kifurushi cha unlimited mwezi mzima kwa ajili ya kutumia kwenye smartphone au Router yako binafsi kwa speed ya kibunga. WhatsApp/Piga Simu☎️: 0676028686
Tweet media one
Tweet media two
0
20
24
@BlacDaady
Black Dady
1 day
Caicedo has been consistently dropping top notch performances. His offensive and defensive contributions position him as one of the best DMs in the world- arguably the number 1. Top player🫡🫡.
3
0
5
@BlacDaady
Black Dady
1 day
Nina uhakika Enzo Maresca aliangalia mechi ya Madrid vs PSG ni vitu gani Madrid walikuwa hawafanyi effectively then akaja kuvi- apply leo nakupata ushindi . -High press.-Out of possession -compact structure(to limit PSG’s midfielders to influence game). Well done Maresca!!!.
1
2
21
@BlacDaady
Black Dady
1 day
Kwa tunachokiona kwenye hii mechi ya Chelsea vs PSG ni ujumbe tosha Man United tuna safari ndefu mno ndugu zangu. There is no way tutafika kwenye hizi level za Chelsea/PSG by grace, wakuu waweke mzigo mapema watu wa kazi waje nje ya hapo tutachezea sana nafasi ya 15.
6
7
60