JIWE ❁ Profile Banner
JIWE ❁ Profile
JIWE ❁

@Yassin_Jiwe

Followers
9,013
Following
6,188
Media
7,507
Statuses
79,183

Football Fan ⚽ - @SimbaScTanzania 🇹🇿 - Free Thinking 🧠 - Truth and Honest Are The Basis - Real Recognize Real👊🏽

East Africa, Tanzania 🇹🇿
Joined May 2012
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
ONA HII .. Beer 🍺 - imethibitika ni chanzo kikuu cha kisukari, presha, shinikizo la damu Pombe kali - Ni chanzo cha kuharibu ini, figo, mapafu nk Sigara 🚬 - Ni chanzo cha kifua kikuu, magonjwa ya mapafu nk ambavyo vyote husabisha madhara mengi ukiugua LAKINI Bangi kwa...
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
9
47
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Huyu Hapa Mkurugenzi Mpya wa Halmashauri ya Wilaya MOROGORO Anaitwa Joanfaith John Kataraia 📸 Kama ulikuwa haujui Joan Ndio Mkurugenzi aliesifiwa na Rais Samia Suluhu Hassan Kwa Kukusanya Mapato licha ya Umri wake kuwa Mdogo aliwapita Wakongwe Alipokuwa Mkurugenzi wa....
Tweet media one
86
41
2K
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
TAARIFA MPYA KUTOKA CAF ASUBUHI HII YA LEO TAREHE 1/4 Shirikisho la Mpira barani Afrika CAF limefuta goli walilopata Al Ahly katika mchezo wa kwanza dhidi ya Simba na kuipatia Simba magoli Matatu, kutokana na Ahly kuvunja kanuni za kumchezesha
Tweet media one
179
35
925
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
MAISHA HAYA...!! 😆 Jake Paul amerejea kulipiza kisasi baada ya Mike Tyson kumdhihaki mwaka 1999.
Tweet media one
25
27
725
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Akikuchosha na maudhi yake.... usimpige, usimuumize, usimuuue we mpe surprise tu
50
127
435
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Vijana wa hovyo tuliowatuma ulaya kusaka pesa hawa🚮😄
43
42
430
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
"kwa mwezi serikali inakusanya kodi ya Tsh.Trillion 2 kutoka kwa wananchi wa Tanzania 🇹🇿, serikali inashindwa kutenga 10% tu kutoa huduma ya afya bure kwa hawa waTanzania walipa kodi wenye pesa zao kweli?".- Jumanne Kishimba Good Morning wapwa 🌅
19
105
366
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Saahizi, nimeenda toilet kusafisha mwili narudi ghetto nakuta kuku wa mwenye nyumba kataga kitandani... Nimfanyeje huyu kuku?
Tweet media one
Tweet media two
170
23
369
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
5 months
Hebu tumsikilize huyu 👇🏽Faza, mimi nasadiki hili 100% nayaishi haya.
26
83
335
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
9 months
Mkoleni eeh, tulimwambia CAUSIN aachane na mke wa MPEMBA akatudharau, unaoa sasa. 😃
82
102
296
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
24 days
BREAKING NEWZ .. Afisa Kilimo mkoani Mwanza, Tanzania 🇹🇿 an'gatwa mdomo na mkewe. 🙄
Tweet media one
88
28
235
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Hii haikubaliki... Japo kuwa nao mabinti wa sikuhizi wakipenda hasikii la mdani swala wala sauti za kengele ya kanisa.
54
43
225
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 years
Huyu kijana wa WASAFI Fm, George Job ni mchambuzi wa soka katili sana.😁 @George_Ambangil mwambie Job kidonda chetu asikitie chumvi bana, stars itatuua sisi jmn
15
2
176
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Waarabu wakiwa..... tayati kwa safari lakini wanawashukuru sana simba😵
22
35
169
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
✍🏽 Mwaka 2015 C.Ronaldo alijifinya mtu asie na makazi huko Madrid,akavaa manywele na manguo akawa anacheza mpira watu wakawa wanampita akamuomba dada mmoja namba akakataa,dogo aitwaye Nicolas ndo alikuja kucheza nae ⚽ then akajiweka wazi watu ndo wakajaa na simu zao kuomba picha
Tweet media one
7
17
154
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
JE WAJUA? Pangani Ni Mji Wa Kwanza Wa Kikoloni Kuwekwa Umeme Tanganyika?
Tweet media one
6
12
155
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Kabla ya kujamiiana na mpenzi mkeo anza na "Bismillah" ulinde uzao wako, uepukane na kizazi cha namna hii🥺
132
33
148
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
22 days
Watumwa wakiwa kwenye ujenzi wa Pyramids huko Egypt miaka mingi iliyopita.
Tweet media one
29
11
135
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Huu ndo mkorogo sasa, angalia vimechangwanywa vitu vingapi hapo.... Then dada mzuri unachukua unapaka kwenye ngozi yako... 😔🤨
Tweet media one
13
5
126
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Halmashauri ya Wilaya ya Malinyi (MOROGORO) "Kale Kabinti Kangu kameweza" aliskika akisema Rais Samia 🗣️
2
1
115
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 years
@mackphason @kigogo2014 ilipofika ile sehem anasema "mmekua mkinishauri, na nmekua nikifanyia kazi ushauri wenu," Jk akainua macho akachungulia hv juu ya miwani...😂
10
0
104
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
6 months
Hii vita ya Marekani na China sijui itaisha lini? 😂😂😂😂
8
17
108
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Kimbe hata mwaka jana walipigana Mkaliwenu alimdunda Mlela😃
14
17
106
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
Kama umejiona hapo wave 👋🏽 me pls 🙏🏾
Tweet media one
19
16
98
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
TUJIKUMBUSHE KIDOGO MAPRODUCER WA ENZI HIZO .. Bonnie Luv (Mawingu studio),Amit Mento (Agies records),Akili the brain (Akili records),Miika Mwamba (FM studios),Master Jay (MJ records),P Funk (Bongo records),Roy Bukuku (G records), Said Comorien (Metro studio) #BongoKamaZAMANI
Tweet media one
7
18
95
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Bunifu kama hizi Tanzania zinapewa nafasi?
9
23
93
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
📍Mtwara, Mikindani Tanzania 🇹🇿
Tweet media one
10
13
89
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 years
😀😂😂😂😂 ila much respect mpwa @mpambazi_ kwa uthubutu huu.... Salute
@patricemichaely
Bérnardo Silva dé Michaél🇵🇹
4 years
Ilaaa hii kituu ina povu la lamaan kwenye kunyetukiaa ..kuliko hata . @mpambazi_ Skuping
Tweet media one
3
1
49
1
2
86
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Mtabiri maarufu Kutoka nchini Libya Aboubakar El Han ametabiri mechi za Mwisho za Hatua ya Robo Fainali ya Caf champions league El Han amewashtua watu wengi Hasa Wadau wa Soka na Mashabiki Nchini Misri baada ya kutabiri kuwa Timu ya Al Ahly kutoka Masri itaondolewa na Simba SC
Tweet media one
15
9
79
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Hatimaye nmefanikiwa kuisikiliza CROWN FM leo
3
7
81
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Aisee..... peponi ni mbali sana😄
Tweet media one
17
3
72
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@tutla7 bado mna mawazo hayahya mpaka leo, da....!! 😀😀😀😀🚮
8
18
70
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@nyuki_malkia 😀😀😀 daa...
1
0
66
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
15 days
Kwani MARIOO aliikosea nini hii mama🤔😋
7
5
63
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Aloo.... Huu mtandao ufunguwe tu , 😄
17
12
62
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Wanangu eeh, dada anawapa siri ya mchezo Ishi humo👇 always
7
29
61
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Hii nchi kuna nyakati ngumu sana ilipitia huko nyuma😀
Tweet media one
13
14
59
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Mwalim wa field nimetumiwa picha sasahivi na mwanafunzi wangu, na sijui namba yangu kaipata wapi...!!🙆🏿‍♂️😩😋 🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️🏃🏽‍♂️
Tweet media one
5
3
60
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Kutana na Guadiola wa kisambaa🥴
Tweet media one
1
4
59
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Huyu dada alikufa 1911, tumebaki na video yake tu
4
17
56
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Mshambuliaji wao Antony Modeste aliyekuwa na kadi tatu za njano. Hivyo Simba inaenda Cairo ikiwa inaongoza kwa aggregate ya 3-0.
7
1
55
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Mafundi wa soka family, Gongowazi wachague mmoja hapo ila huyo wa kati waendelee kumuota tu... Ni Mnyama maisha yote😀
Tweet media one
1
11
55
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
6 months
Hii ndo Tanzania 🇹🇿 alioitaka mwendazake??
8
5
56
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@Deo18Tarimo Lakinj stori yake inakinzana, mm nlioiskia akiongea njia panda na hii ya leo mbona hazifanani?? Au mimi ndo mafaili huku kwwnye medula obalangata yamechanganyima na damu? 🏃
3
0
54
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
6 months
Masikini, ila Mungu hakupi mtihani usio na majibu.
8
9
53
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Mwaka 2006 naanza form 1 pale Jitegemee,nikawa nasikia KANUMBA anasoma form six, ndo alikua anagemua mwezi wa 2 Na Ferooz amemaliza mwaka jana, Kanumba kila kikimvizia nimuone simuoni,na alikua haji shule kila siku, Kanumba wamoto... Na shule ilikua na shit,asubuh na jioni
Tweet media one
Tweet media two
3
1
52
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
5 months
John Travolta is such an aviation enthusiast that he has his Private Jet parked at his Doorstep. His Estate in Ocala, Florida is simply Insane!
Tweet media one
3
18
51
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Una mahusiano na binti,anakwambia nina mimba unaikataa, anazaliwa mtoto anafanana na wewe pia humtaki Am telling u,yes utaishi ila dhambi hiyo haiwezi kukuacha salama,watoto wa aina hiyo Mungu huwa anawainua na wakati huo wewe ndo unaanguka kiuchimi,kiafya,ndo utajua Mungu fundi
Tweet media one
3
6
51
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
TITANOBOA ndio aina ya nyoka mkubwa zaidi kuwahi kuishi kwenye historia hapa duniani. Alikuwa anapatikana kwenye msitu wa Amazon, kwa sasa kizazi chake hakipo tena kwani wanasayansi ya wanyama wamesema aliwahi kuishi miaka milioni 58 iliyopita. Nyoka huyo alikuwa ana
Tweet media one
1
2
51
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@SophiaKessy Maskini... Pole sana kwa Tariq Kuna wakati mdada nilizoeana nae huko watsap, mambo ya inbox yale... Akanialaika niende kwake Kigamboni, hapo mitaa ya darajan, nilipokumbuka stori ya Tariq kipemba... Naniliu ikafyata kabsa🏃 Wallah, aah Mungu atulinde sana na watu wabaya
3
1
51
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Mtume Mohammed (s.a.w) anasema "m'bora miongoni mwenu ni yuele anayemcha Mungu" Kwahiyo hakuna mtu bora kuliko mwingine kutokana na rangi, ukoo, kabila wala wingi wa mali nk.
Tweet media one
3
8
52
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
BREAKING:Klabu ya Al Ahly imepanga kuwaachia wachezaji wake wawili Luis Miquissone na Walter Bwalya msimu wa kiangazi na hii ni kutokana na wachezaji hao kukosa namba kwenye kikosi cha kwanza✅ Boss @moodewji tunaomba arudi huyu mtu, alifuata pesa, tulioata pesa, now we need him
Tweet media one
7
0
50
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
7 months
Urafiki wa mwanaume na mwanamke bila kupeana utelezi huisha hv.
1
8
50
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Ninavyomjua MECKY MEXIME hili suala hawezi kulifumbia macho... Atatumbua jipu anytime soon.
6
9
48
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 years
@ManenoIzaak Wakazi ndo nani...!!? Mi namskiliza Roma mwaka wa 10 huu.... Sio tu namskikiza ametoa hit songs zenye content nyingi Sasa umfananishe na wasanii wa Twitter huko ni kukosea watu adabu, sio mpka mtu afe ndo mtambue mchango wake.
5
3
49
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
VPN gani nzuri ambayo naweza kutoboa vema huku Twitter, napata tabu mno..
6
7
49
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@ddiwani_ Kuna wakati acha wengine waongee tu, wanatosha kusemea wengine
2
1
48
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Hv kwanini Muha ukimwambia sema "KAMUSOKO" anasema KAMSOKO ?😃 MUSONDA anamuita MSONDA😃
Tweet media one
9
4
47
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 years
0
0
44
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Hata mwezi huu muwe makini na Kariakoo, kuachwa kwenye mataa iko palepale, 🥴
6
18
46
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
Daaa....!! 🙆🏽‍♂️😭
Tweet media one
3
11
45
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
6 months
Wengi watasema hakuna mwanamke wa hv, ila m nasema wapo hata mm nliwahi kuwa nae... Sasa siko nae tena, alikua na wivu utadhani mimi ndo handsome wa dunia nzima, ikawa sasa ni kero
13
9
46
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
30 days
Tigo, TTCL mtandao uko poa kabisa, ila huku niliko mimi Voda na Airtel hawa tumegundua ndo matapeli wakati ndo wanajisifu wana 5G kunguni hawa.
8
16
45
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Ukikutana nae huyu, we sali sala zako za mwisho tu bro, aah
17
2
43
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Kila nikiimkumbuka ile Tweet ya jana ya MPAMBAZI ya siku ya wanawake nacheka tu hadi saa hizi. 😄😄
5
6
43
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Hiyo kwenye meno ya IBWE ina maana gani wapwa??
Tweet media one
2
4
42
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Usambaani inaitwa GANA, kwa kiluga chetu inaitwaje hii? 👇🏽
Tweet media one
20
11
41
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Tupate wadhamini 😄
8
3
42
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@MangiWakwanza 🚮 sasa hapo yuko uchi?? Na huyo ni kijana, sio mzee kama huyo ulomtaja Na watu hatuwezi kufanana, na haipaswi kulinganisha watu kwa lolote, kila mtu mungu kamuumba kwa namna yake
11
0
41
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Wazee wa fyuuuuuu.... Fyuuuuuuu halafu puuuuuuuu...... Kuleeee.... 😃
Tweet media one
4
3
39
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
Mambo rahisi ILA MUHIMU .. 1. Tabasamu😊 2. Kunukia vizuri🤗 3. Piga mswaki mara 2 kwa sik😁 4. Jumuika kiasi na watu🤝 5. Kunywa lita 3 za maji kwa siku 💦 6. Badilisha boxa yako kila siku😏 7. Usichukulie mambo kibinafsi🥱 8. Fanya mazoezi kila siku, angalau hatua 1000🏃🏽‍♂️
5
12
39
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@Icon__08 Ushawahi kuishi na mwanamke kaka, ushawi kuookea dharau za mwanamke za kiwango cha juu kaka?? Wanawake wengi wa sikuhizi ukiwa mpole na akijua si moenda vurugu wankua wana dharau sana, ss one day unapa picha halisi... Kuwa mama mm undava sio tabia yangu ila nauweza ukiutaka.
6
0
39
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@Bongotech255 Bado mtoto mdogo huyo sijui kama 25 kafka kwanza
12
1
39
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
3 months
Makobe niwaambie kitu... 😃 Hakuna moment tamu kama ukifika muda wa futari, yani ukute vitu draft sasa, unakusa huku unagusa kule, kama kiungo bora la nchi Cletus Chota Chama 😃
Tweet media one
6
8
36
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
X TANESCO hii cable ina kazi ngani kwenye hii nguzo?
Tweet media one
18
6
37
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Winger Roben, winger Ribery ni mashambulizi kama nyuki 😃
Tweet media one
Tweet media two
7
6
36
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Sasa walioandika R.I.P itakuaje?? Get well soon Rainford Kalaba.
Tweet media one
4
4
36
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Achraf Hakimi's (Worldwide Mamas boy representative) Ex wife is happy that he missed the penalty at Morocco 🇲🇦 Vs South Africa 🇿🇦 Match #AFCON2023 😀
Tweet media one
5
3
37
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
Allah akujaalie kijana muadilifu ambaye hujaoa, uoe mke mwema inshallah 🤲 ila usiache ile misingi alotuelekeza Mtume Muhammad (saw) ili uishi nae vema.
1
5
34
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
5 months
Kiukweli jamaa anajituma, anajitoa hadi tone la mwisho la nguvu na uwezo wake RT 👇🏽kama unatamani Msuva apewe KIWENGE (kitambaa cha unahodha)
Tweet media one
4
5
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
Kuna watu wanapitia mitihani sana hapa duniani. Kuna familia mtaani kwangu ina watoto 6, kuna mmoja shoga, mwingine tom boy na mwingine ana matatizo ya akili.
5
11
35
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
9 months
@chapo255 Si walidhani wamemkomoa... ila Harmo mtu na nusu Alisema on interview ya XXL alichangia kununua vifaa vya WASAFI Media lakini alipoletewa niaje naije aliondoka bila kudai chochote, wakamfanyia undava wa kuchukia vifaa vyake vya zoom production ya music videos pia.
Tweet media one
3
0
34
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
🇫🇷 Thierry Henry: "Taribo West was the player I didn't like to play against. He was always man marking, he was following you everywhere, and even into the dressing room." 😂 What a defender West was! 🇳🇬👏 Good morning 🌅🌄
Tweet media one
2
6
34
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
8 months
1 solution 🤲🏽
Tweet media one
3
5
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Huu do usanii sasa, ila hawa wabongo wanadhani usanii ni utapeli Huyu ni Eddy Murphy kazini.😳
Tweet media one
7
5
34
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
11 months
@iamcleopatricia Mwanume ni (mbegu) Mwanamke ni (shamba) Mbegu za mtu mmoja inaweza ikapandwa mashamba hata saba, na ikawa mavuno ni ya mtu mmoja, ila shamba moja haliwezi kulimwa na likapandwa mbegu za watu tofauti tofauti wasiojuana, kabla ya kufika popote lazma kuwe na mgogoro Ni kilimo...
Tweet media one
3
6
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 year
@millardayo Drake haujui tu, asili ya baake ni hapa kwenye milima ya usambaa
Tweet media one
2
0
34
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
29 days
Mapenzi bana, saahizi unachati nae hadi usiku wa manane ila kesho ana appointment na mwamba mwingine akampe utelezi na amepanganae kupitia vocha uliotuma wewe.
2
9
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
4 months
Nasikia wanajua sana kupenda hawa wanawake
Tweet media one
10
7
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
1 month
Ukitumwa tumika
1
7
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
2 months
Nasimama na @azamtvtz walifanya kazi yao bema, wangelaumiwa kama wasinge-balance stori Interview imeruka jana, asubuhi Azam wanashambuliwa hata muda hawakupewa Azam pigeni mzigo, tunataka habari sisi, usiogope watu wasiojitambua. Brother Patoo @PatrickNyembera Good Job.✊🏽
Tweet media one
15
4
33
@Yassin_Jiwe
JIWE ❁
5 months
Mimi na Afande Namtumbo tunawatakia mchana mwema.
Tweet media one
8
3
31