Mohammed Dewji MO
4 years
Siku moja Mtume Muhammad (S.A.W) alimuona Mwarabu jangwani akiacha ngamia wake bila ya kumfunga. Akamuuliza, "Kwanini haumfungi ngamia wako?" Naye akajibu, “Nimeweka imani yangu kwa Mungu." Aliposikia hivo, Mtume akajibu, "Mfunge ngamia wako kwanza, kisha uweke imani kwa Mungu."