Supervisor
@Supervisor10000
Followers
4
Following
348
Media
0
Statuses
127
Joined October 2022
Kuna matapeli wengi sana kwenye madhabahu ya leo, wengi mno. “Haya ni mambo ya kiimani, usiyaguse😎.”
64
54
208
Freemasonry is a great way to learn more about the world around you.
1
5
23
Waheshimiwa Jamhuri ya twitter salaam nawaandikia✍️ Hizi hapa chini ni namba za simu za wabunge wote wa @BungeTanzania mtumie ujumbe wa kukera mbunge wako mwambie aache kuwa dalali wa kuuza bandari✍️ Ahsanteni
157
365
1K
Just finished listening to the latest CraftCast pod 🔥 #freemasons
The latest episode of #Craftcast launches on Monday 🥳 In this episode, our hosts discuss one of the cornerstones of a #Freemason's experience - visiting another #Lodge! Catch up to Craftcast here👇 https://t.co/thR7iiInms
#Podcast #PodcastUK #PodcastRecommendation
5
3
17
A Masonic Lodge is where men can find support, guidance, and fellowship as they strive to become better versions of themselves.
1
8
49
Dispelling 3 myths about #Freemasonry in a thread 🧵 Here are three common myths about Freemasonry, along with the facts that dispel them:
3
3
3
Mjafari unapatikana maduka ya Dawa za asili ni mchungu una rangi kama njano iliyokolea kuelekea kahawia Nazi inapatikana magengeni au sokoni Unga sembe madukani Kitambaa kwa funding cherehani Kuku wapo mitaani Magadi madukan
1
1
3
Utafanya zoezi hili kwa muda wa wiki nzima utaona ajabu utakumbukwa na walokusahau utathaminiwa utaonekana utavutia na utapendwa(kama unajini mchafu au vifungo itakuwa kinyume chake)
1
1
4
Maisha ni kujitafuta, hili ni somo kubwa ambalo kila mtu hasa vijana wanatakiwa kulitilia maanani. Ni lazima utafute nafasi ya kufanikiwa hadi ujipate. Safari, mapambano na hatua unazopiga @officialmajizzo ni hamasa kubwa
52
374
3K
Kama kweli unahisi umelogwa na waja basi kipindi hiki ni kizuri sana kujikomboa..hata kama hujalogwa ila unahisi kuna nishati mbaya(Negative Energies) zinakutawala zinafanya usifikie malengo yako sasa ndo kipindi cha kuondoa. Njia zipo nyingi ila jaribu hii hapa itakusaidia;
5
35
152
Ndiyo maana KATIBA MPYA ni MUHIMU sana kwa wakati tulionao. KATIBA MPYA itatupatia MAHAKAMA HURU na yenye NGUVU. Itaondoa TABIA MBAYA ya SERIKALI au VIONGOZI wake KUIDHARAU MAHAKAMA. Itatupatia USAWA WA KWELI mbele ya SHERIA. Pole sana Mheshimiwa JAJI.
21
44
225
@MarekaMalili @YusuphMbilinyi8 @BarakaSaimon3 @funjojr nakusanueni pigo za west..! Ukihisi mtego huu chukua sponji/dodoki ya kuoshea vyombo isafishe kwa maji safi kisha iweke kwenye glass tia maji ya kunywa gida hayo maji hakuna kitu wakulu watafanya 😃
8
4
17
#HABARI Wakazi wa Kijiji cha Salong’we wilayani Magu mkoani Mwanza wamekumbwa na taharuki baada ya mtoto aitwaye Mabilika Wilson aliyefariki na kuzikwa tarehe 17 mwezi huu kupatikana akiwa hai katika Kijiji cha Mwangika wilayani Kwimba mkoani humo.
146
77
2K
Tusichoke kamwe kupaza sauti dhidi ya dhulma Siku 946 gerezani bila kutiwa hatiani na mahakama ni dhulma #Tanzania #PoliticalPrisoners Free them all @SuluhuSamia
#FreeGeorgeSanga #FreeGeorgeSanga #FreeGeorgeSanga #FreeGeorgeSanga
7
117
187