Steve
@Stevebrown26
Followers
102
Following
2K
Media
466
Statuses
5K
Simba & Manchester United ๐ด
Tanzania
Joined February 2016
Ukizunguka mjini Dar es salaam usiku wa manane utakutana na vijana mamia (bolt drivers) hawalali wanapiga kazi. Then kuna wasenge wanatukana watu hawafanyi kazi. Hawa wameacha mavyeti ndani kupambania kombe ukiwatusi wanafaa hata kukutia. Mwanangu akiamka nalala mimi anilinde๐
0
0
0
Kaka @rollymsouth upo kwenye Mteremko mkali sana... Kila la heri muda ni Hakimu
30
65
425
@mangileweri Kaka kabla hatujaenda mbali naomba uweke heshima kidogo kwa mke wangu. She's not involved in this discussion
0
0
0
Au ugali huli?
0
0
0
Moyo wangu unahisi uchungu mno. Walaaniwe wote walioshiriki kuua vijana wenzetu
0
0
0
Eeh Bwana Waaibishe, wafedheheshe wanaozitafuta nafsi zetu. Warudishwe nyuma, wafedheheshwe wanaotuzulia mabaya. Wawe kama makapi mbele ya upepo, malaika wa Bwana akiwaangusha chini. Njia yao iwe giza na utelezi, Malaika wa Bwana akiwafuatia. ๐
0
0
0
ACT right now
@Makaveli_255 Sisi tumefanya calculations zote, MaCCM tunayajua vizuri. TUMEJIPANGA
0
0
0
@RKishaija81715 @nistephanos Mzee Kibao hata usimuongelee, alikuwa ana finance ugaidi. Anajua kwanin alidakwa.
0
0
0
Nchi zote zenye akili hupima uwezo wa kifikra wa wagombea urais kupitia midahalo. Hapa kwetu wanakwepa. Ujanjaujanja na ulaghai. Tukatae.
117
478
833
@Kinubi2 Ukinionaa unadhani naweza Kukatwa mara Mbili? Ukinitizama hivi unadhani mimi mjinga?๐คฃ๐คฃ๐คฃ my friend i know wht i am doing and siongei kwa Bahati Mbaya๐
0
0
0