ManLikeFrey Profile Banner
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู… Profile
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…

@ManLikeFrey

Followers
4K
Following
161K
Media
6K
Statuses
62K

Geopolitics nerd & @Arsenal fan with a lil banter.

Dar es Salaam, Tanzania
Joined October 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
55 minutes
Gabriel my boy, thats twice being clumsy
0
0
1
@TheChanzo
The Chanzo
3 hours
Bwege aomba Watanzania wasiandamane Oktoba 29, 'Hakuna anayeweza kuzuia mabadiliko'.
24
4
42
@anuskills3
๏ฃฟ ๐Š๐ข๐๐ฎ๐๐ฎ ๐Œ๐ญ๐ฎ ๐‰๐‘โ„ข
3 hours
Nandhani tutaelewana tuu ni suala la mudaa.!!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿค
11
7
108
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
3 hours
Duh chappp
@NFFC
Nottingham Forest
4 hours
Nottingham Forest Football Club can confirm that after a series of disappointing results and performances, Ange Postecoglou has been relieved of his duties as head coach with immediate effect. The Club will make no further comment at this time.
0
0
1
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
3 hours
Savinho is terrible at end product
0
0
2
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
3 hours
Ndio mfanye mpango muwe na akili ya kushika madaraka lasivo hilo ni dua la kuku.
@mackphason
Mackphason ืžืงืคืกื•ืŸโšฝ ๐Ÿ‡ฏ๐Ÿ‡ฒ
4 hours
Nyie mnachezea IPO siku yetu mtajibu kama sio ww vizazi vyenu ogopa Mungu na technology
1
2
3
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
6 hours
Chelsea anapelekewa moto huku ๐Ÿ˜น
1
0
0
@Mwitah_tz
Mwita C. Mwita
1 day
Data za 2023 zinaonesha kuna watanzania 40,420 waishio Marekani huku wengi wakiwa maeneo ya Maryland , NYC na Washngton DC. Leo yakifanyika maandamano ya watanzania waishio Marekani kwenda IMF kuishitaki Tanzania. Nimekuwekea picha za umati uliojitokeza. Asante
17
50
43
@Gogoryoking
Gogoryo King, NDC
11 hours
Mtu mmoja wa upinzani mwenye akili timamu anieleze sasa; 1. Mlipoandamana kwenda IMF jana mlikua mnataka AIEMUEFU wawasaidiajs yaani !? 2. Na mlipofika pale mlipokelewa na Afisa gani wa IMF yaani ? 3. Unajua kwanni hata nafasi ya kukutana na Afisa yeyote mlikosa ? Hamna akili
0
18
23
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
6 hours
Mwenyekiti wangu, Dr Samia alituambia hata mwiba sio wa kudharau. Ndio kama unavoona my sister, tunaishughulikia ipasavyo.
@icedcowffee
koffeekahawaaa
6 hours
Sawa, imebaki NGO tu sooo..
0
0
0
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
6 hours
Hainiumi, nafurahia sana anguko lao. Wamebaki NGO sababu ndio ambazo hazishiriki uchaguzi na kubaki kuwa wanaharakati tu.
@icedcowffee
koffeekahawaaa
6 hours
Hii NGO inakuuma sana naona point ni hio hio tu
0
5
9
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
6 hours
โ€œTumuombe Elon Musk afungulie Starlink nchi nzimaโ€ Hizi ndo akili za wapinzani ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… zilivo, naona kabisa CCM tukifikisha 100 years anniversary.
@TzAstra2014
ASTRA
11 hours
Nimeona watu wanajiandaa sana na Oktoba 29, lakini hatufanyi maandalizi muhimu,so, nilimwambia mkubwa wa kazi ambaye yuko upande wangu kimawazo kuhusu wasiwasi wa Internet kuzimwa, itakapotokea hivyo tungeomba Elon musk kufungulia Starlink bure kwa kila mtanzania mwenye simu
5
2
5
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
6 hours
Nottingham havenโ€™t won in 7 games, they play Chelsea in the next 10 minutes. I just know what will happen ๐Ÿ˜…
0
6
6
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
8 hours
Sawa chief, yaishe basi. Nimekosa mimi ๐Ÿ™๐Ÿฝ
@MunishiRenald
Munishi Renald
8 hours
Kwani unaongea na nani apa? Mwenyekiti wa chama? Kada ? Maana sikuelewi. Yani mimi mtanzania nalalamika kuna vijana wenzangu wanatekwa na kupotezwa unaniambia nije na seraa? Uyu mtu ana funza kichwani?? Nakusanya kodi? Ninapitisha bajeti? Mimi ndo TAKUKURU nizuie rushwa na
2
0
0
@FarajaNyalandu
Faraja Kotta
11 hours
Narudia tena siasa ziko mtaani. Haina shortcut. #ElimikaWikiendi
131
19
131
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
9 hours
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
@Jambotv_
Jambo TV
9 hours
VIDEO: Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mkoani Morogoro leo Oktoba 18, 2025, yamefanya mazoezi ya pamoja yenye lengo la kuimarisha mshikamano, ushirikiano na utayari wa kulinda usalama wa wananchi na mali zao. Akizungumza wakati wa mazoezi hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro,
1
0
0
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
9 hours
Whenever Wenje gets on the mic ๐ŸŽค
0
0
0
@ManLikeFrey
๐Ÿ–Œ๏ธ ุฅุจุฑุงู‡ูŠู…
9 hours
Endeleeni kujificha kwenye haki ila bila alternative sera za maendeleo kuwa communicated vyema, mnabaki kuwa NGO.
@MunishiRenald
Munishi Renald
16 hours
Ujenzi upi wa Taifa ambao haujali haki za binadamu tena basic za kuuliza kwanini hapa hakujafanyika hvi??? Hawa watu wanafunza kichwani, being chawa imekua ugonjwa ndugu zanguni.
1
1
5
@salim_alkhasas
Salim Alkhasas
9 hours
Wao wameandamana watatuโ€ฆ akina roma mkatoliki hatujawaona.. watanzania wengi waliosupport mama Samia wanawaita wamexicoโ€ฆ akili itawakaa sawa tu mpo kwenye denial
7
19
45