Addy_Adams Profile Banner
Adamoo Profile
Adamoo

@Addy_Adams

Followers
12K
Following
3K
Media
2K
Statuses
147K

لا إله إلا الله محمد الرسول الله

Tanzania
Joined November 2011
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Addy_Adams
Adamoo
4 years
Najua Binadam sijakamilika, niliowakosea naomba mnisamehe na Dua njema mniombee. .
6
40
213
@Addy_Adams
Adamoo
51 minutes
Sijafunga DM sasa imekuaje haionekani??.Au Elon kaona sina matumizi nayo nini??.Au wakali wa Doria mitandaoni wako Rada??. Maswali ni mengi nimekosa na Majibu aisee.
0
0
9
@grok
Grok
18 days
Blazing-fast image creation – using just your voice. Try Grok Imagine.
281
554
3K
@Addy_Adams
Adamoo
8 hours
Tweet media one
0
601
0
@Addy_Adams
Adamoo
9 hours
RT @Sadmethod: China is busy investing new things every day while USA is looking for a 3rd world country to start war with😭 .
0
7K
0
@Addy_Adams
Adamoo
9 hours
RT @capoconz: Jezi za simba ukiziona kama mbaya ila ukizivaa sasa 🙌🏾 bonge 1 la jezi.
0
1
0
@Addy_Adams
Adamoo
9 hours
Kwa Plug yeyote,,, Jezi ambazo hazina Kamari au Pombe naweza kupata wapi ziwe rangi hizi tafadhali sana
Tweet media one
5
0
23
@Addy_Adams
Adamoo
10 hours
Au anakuuliza No Reform unaionaje?? 😂
1
0
3
@Addy_Adams
Adamoo
11 hours
Uzi huu Diadora alituliza kichwa,,, Ulaya kabisa
Tweet media one
3
1
27
@Addy_Adams
Adamoo
22 hours
Jezi za Ugenini kwakweli Kesho wana Simba SC tutakua na siku ndefu sana humu TL.
17
13
292
@Addy_Adams
Adamoo
24 hours
RT @Nkulunkulu_God: Visiting my son whose mother has 6 other baby daddies🤷🏽‍♂️😅
Tweet media one
0
3K
0
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Tayari kaumia Arsenal 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
2
0
7
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Offside gani wakubwa…???.
1
0
6
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Watu wana matatizo AFYA ya AKILI ni kuwa Makini nao… Leo ndio nimepata Jibu rasmi.
@Addy_Adams
Adamoo
12 days
@444holywitch Unakuta liDemu lina Matusi hana staha wala haiba ya kike kama alidondoshwa utotoni au alipatikana kwa miti shamba.
1
0
2
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
RT @johns_bobby: 😂😂😂😂.
0
1
0
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
RT @MwanaHabariNews: Hivi sasa ni Saa Tisa Alhasiri hali ilivyo kwenye viwanja vya biafra jijini Dar es Salaam kwenye uzinduzi wa kampeni z….
0
20
0
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Sasa wakubwa hamleti Wasanii, hamtoi Posho na Usafiri mnategemea watu watajaa? 😂😂.
@MwanaHabariNews
MwanaHabari
1 day
Hivi sasa ni Saa Tisa Alhasiri hali ilivyo kwenye viwanja vya biafra jijini Dar es Salaam kwenye uzinduzi wa kampeni za Chama cha Ukombozi wa Umma CHAUMMA.
5
2
18
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Dr Bashiru ameshatema BUNGO 🤣🤣🤣💀.
7
2
49
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
RT @NgowiGold: Mjini mipango 😁😁 na hela ikatoka.
0
1
0
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Sema kuna watu wanatafuna Nchi bana 🙌 . Mv Magogoni ukarabati ulikua tsh 7.5 BIL.Gharama za kununua kivuko kipya ni 8 BIL.
6
4
105
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Aladdin…
0
1
2
@Addy_Adams
Adamoo
1 day
Hee kumbe Kampeni zimeanza tayari? 😳.
4
0
18