Muly Profile
Muly

@Muly_jr

Followers
384
Following
7K
Media
116
Statuses
5K

Dış ticaretçi

Turkey
Joined December 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Muly_jr
Muly
21 hours
Polisi nao wakipiga watu waseme “watu wamepiga waandamanaji (mfano)”.
@k_mjege
Mjege Kinyota, PhD 🇹🇿
1 day
Kama hii habari ni ya kweli, Hivi kulikuwa na ulazima wa kuwataja Walimu kwa kazi yao? Si wangesema watu wameiba tu basi?
Tweet media one
0
0
0
@Muly_jr
Muly
2 days
RT @SizweLo: If you want to understand why South Africa was always going to stagnate, you should pay attention to what Singapore’s founding….
0
665
0
@Muly_jr
Muly
2 days
Should’ve remained BLUE.
@Adventure_36
Adventure-360
2 days
Apo Mbagala kaeni mkao wa kula,.Mwendokasi zenu hizi apa zinakuja
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
0
@Muly_jr
Muly
4 days
Hii ndio thinking inatakiwa. Nchi nyingi kila biashara inaeneo lake zimegawanywa ki zone mfano, zone 1 ni watengenezaji na/wauzaji wa spea za magari tu, zone 2 viatu tu nk. Mkuu wa mkoa 👏.
@millardayo
millardayo
5 days
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amesema Mkoa unapaswa kuanza kutekeleza mpango wa kutenga maeneo tofauti ya biashara hususani nje ya mji ili kuepusha kuchanganya biashara nyingi kwenye eneo moja katikatika ya mji. Akiongea Jijini Dar es salaam leo Julai 11, 2025,
0
0
0
@Muly_jr
Muly
6 days
Ukiwa your biggest note ndio inatumika kwa wingi hali yako ni mbaya sana. Sidhani kama hata sarafu ya Sh. 100 inanua kitu chochote wakati mfano, nchi nyingine mpaka senti 10 unanua kitu.
@ManLikeFrey
🖌️ إبراهيم
6 days
Inflation inakuwaga managed tu, money anywhere looses value overtime .Hata $25000 ilitosha kununua family home USA some few years back.
0
0
1
@Muly_jr
Muly
6 days
Well, I’m not well acquainted with fiscal policies ila tunawezaje kusema inflation ipo in check wakati shillingi ina depreciate kwa kasi na thamani ya fedha kwenye mzunguko wa kawaida imeshuka sana (unaweza kutazama Ripoti yao kuwa 10k ndio ipo kwenye mzunguko zaidi)?.
@ManLikeFrey
🖌️ إبراهيم
6 days
Management yao ya Fiscal policy ni top notch, na pia inflation wanai keep in check.
0
0
1
@Muly_jr
Muly
6 days
Naomba kueleweshwa tangible impact yao.
@ManLikeFrey
🖌️ إبراهيم
6 days
Katika taasisi ambayo ina watu vichwa ni pamoja na benki kuu Tz….
1
0
1
@Muly_jr
Muly
7 days
Viongozi pia kutibiwa nje ya nchi haija kaa sawa. Huduma za ndani zitaboresheka pale tu viongozi na familia zao zitakua ni sehemu ya huduma hizo.
@Muly_jr
Muly
7 days
Mtoto wa waziri wa fedha kusoma Feza, Waziri sijui wa nini kusoma Marians nk. haija kaa sawa.
0
0
0
@Muly_jr
Muly
7 days
Mtoto wa waziri wa fedha kusoma Feza, Waziri sijui wa nini kusoma Marians nk. haija kaa sawa.
@Muly_jr
Muly
7 days
Kwa nini tusianzishe mkakati wa kisera au kimapambano ya kimtandao kushinikiza watoto wa viongozi kusoma shule za umma?.
0
1
1
@Muly_jr
Muly
7 days
Kwa nini tusianzishe mkakati wa kisera au kimapambano ya kimtandao kushinikiza watoto wa viongozi kusoma shule za umma?.
0
2
1
@Muly_jr
Muly
9 days
Public space! could be useful kujenga park watu na familia zikapumzika na kufurahika kama jenzi nyingine za maana zimeshindikana, unaenda kuitoa kujenga miundombinu itakayotumika ku scam na kupumbaza watu. How pathetic.
@swahilitimes
Swahili Times
11 days
Mpaka kukamilika kwa ujenzi wa awamu ya pili wa Kanisa la Arise and Shine, zaidi ya TZS bilioni 15 zinatarajiwa kutumika. Taarifa ya kanisa hilo imeeleza kuwa fedha hizo ni sadaka pamoja na shughuli mbalimbali za kanisa. Kanisa hilo linakadiriwa kuwa na uwezo wa kuchukua
Tweet media one
0
0
0
@Muly_jr
Muly
9 days
RT @JamiiForums: JF KUMBUKIZI: Video hii inamuonesha Msanii wa Bongo Fleva ambaye pia ni Mtangazaji wa Wasafi FM, Clayton Revocatus Chipand….
0
36
0
@Muly_jr
Muly
9 days
Kwa jinsi kiwango cha ujinga (illiteracy level) kilivyokua kikubwa nchini I won’t be surprised watu wa Kigoma wakimpigia kura huyu jamaa lakini huyu mtu hastahili kwenda Bungeni na nitashangaa hata chama alicho chukulia fomu kikimpitisha.
@Makaveli_255
𝑴𝒂𝒌𝒂𝒗𝒆𝒍𝒊 
9 days
Mtia nia wa ubunge Kigoma Mh. Baba Levo, anareflect wabunge wote wa CCM
0
0
0
@Muly_jr
Muly
9 days
RT @beyond_capital: “I ain’t draft dodging. I ain’t burning no flag. I ain’t running to Canada. I’m staying right here. You want to send me….
0
6K
0
@Muly_jr
Muly
11 days
Hii nchi inatia aibu kila kona, ndio mana kila sehemu tunaonekana tunaishi miaka 50 nyuma. This is disgusting wallah.
@ayubu_madenge
Ayubu Madenge
12 days
Wagombea wote sita waliochukua fomu ya kuwania nafasi ya Urais wa TFF wamekosa sifa au hawakutokea kwenye Usaili isipokuwa Wallace Karia peke yake. Kwa mantiki hiyo Karia amepita bila kupingwa au atapigiwa kura ya ndiyo au Hapana? Taarifa hii imetolewa na TFF.
Tweet media one
1
0
1
@Muly_jr
Muly
13 days
R. I. P Jota💔.
@LFC
Liverpool FC
13 days
Liverpool Football Club are devastated by the tragic passing of Diogo Jota.
0
0
0
@Muly_jr
Muly
13 days
RT @BBCWorld: Inquiry finds British committed genocide on Indigenous Australians
0
3K
0
@Muly_jr
Muly
13 days
15 years bungeni inatosha, ungekaa pembeni tu ukasubiri nafasi za teuzi kama zipo.
@ummymwalimu
Ummy Mwalimu
13 days
Alhamdulillah! Leo nimerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya Chama changu @ccm_tanzania kuwatumikia watu wa Tanga Mjini kwa nafasi ya Ubunge kwa kipindi cha pili kuanzia 2025 - 2030. #Mchetungwa #TangaMjini
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
0
0
0
@Muly_jr
Muly
14 days
RT @the_andrey_x: 🚨 URGENT: Escalation of settler terror in Umm Al Khair, West Bank. June 29th, Shimon Atia, a known settler, arrived with….
0
8K
0
@Muly_jr
Muly
14 days
Mfano hii ni public beach ila ukiwaambia watu wa utalii itengenezeni Koko beach wanakuambia “tunataka kubakisha uasilia wake” 😹😹😹
@JoelNtile
Joel Ntile
15 days
Kwa vikwazo wamepigwa hawa watu, lakini bado wanayo miradi kama hii ambayo inajengwa na watu wao wenyewe sio makampuni ya nje 🙌🏿🙌🏿
Tweet media one
0
0
0