
Mlozi Kibakuli
@MahmoudALwatan
Followers
6K
Following
207K
Media
942
Statuses
40K
Dear Mama, Rest in Peace..πποΈ// Food & Grains Business @NamokinEnt ||πΎ||π»||π± [email protected]
Kilimanjaro, Tanzania
Joined October 2016
Leo nimempoteza Mama yangu! Allah ampunguzie adhabu ya kaburi. π.
513
144
3K
RT @kibakuli_: @MahmoudALwatan ni rafiki yangu wa hali zote. Jua na Mvua, ni rafiki naejivunia sana. .
0
1
0
RT @AsiahSalum: Unadhani rafiki yako ni rafiki yako? anakutendea sawa na vile wewe unamtendea? ni muaminifu kiasi gani juu yako? anakupendaβ¦.
0
5
0
Tuombee sana kizazi chetu kama wazazi. Tuwaombee vijana wenzetu.
Ana miaka 26 amehukumiwa kwenda jela miaka 30 kwa kumbaka na kumlawiti binti wa miaka 17 mkoani Tanga. Tazama namna alivyomuumiza binti na kukatisha ndoto zake katika umri mdogo kwa kufanya vitendo vya kishenzi, Ifike wakati tufikirie na wengine watajisikiaje hususani wazazi.
1
0
1