
Cantarian mc
@CantarianM
Followers
949
Following
17K
Media
748
Statuses
9K
| Legal counsel |conveyancing | chugamaican carribean , Taurus ♉️.
Arusha, Tanzania
Joined August 2021
Ningesema nitoke leo lakini hapana wacha nitulie na hii TV yangu mpya LG inch 55 ultra 4k niliyonunua kwa hela yangu mwenyewe kwa @ReganTesla_.
1
1
5
Ngoja nile winga mbili tatu nakucheki 😂.
@emmamatondo itabidi Father kwa heshima ila nataka atangulie kwanza chalii @CantarianM akakimbize akitoka ndo nifuate mimi kichwa kikiwa kimetulia.
1
0
2
We jamaaa😂😂😂 nakumbuka kipindi hiyo dsm kabla sijadedi walikuwa wanakuita tolu sijui nini saa hivi kimekusibu😂.
@CantarianM Offcourse kaka. Tetesi nyingi zinasema ukifa mlevi dar ndo unazaliwa lawyer dodoma😂😂.
1
0
3
Bango ni kubwa asubuhi unakunywa kahawa mchana astaghafirulahi usiku unalamba nyagi … nyote mnakaribishwa🔥🙌😂.
Ukifika hapa ChugaTronixdom kwa chalii angu @CantarianM hatupigi mteja, tunakupa bia kwanza au kahawa! Unanunua duka zima na delivery juu 😀. SIMU ZIPO, ORIGINAL CHARGER, FRIDGE, TV, FENI, NA VIFAA VYOTE VYA UMEME. Kwa uaminifu mkubwa mno!.Kwasasa WE ARE OPEN!.
2
4
6
RT @LoemaMassey: Jaman Zigo la moto kutoka jikon Ndio nafunga wateja karibun sana Naomben na rt zenu
0
26
0
Hii ni kweli kabisa kuna jamaa ashanishauri kwamba kama huna pulling factors zakukufanya upambane hata ujue kuitunza hela vipi utakuja kufanya matumizi ambayo sio sahihi ila ukiwa na familia lazima hata iweje udamke ukawapambanie tungoje na sisi 2035 inshalh.
Ningelala tu nakujilemaza. Mwanaume ili ukamilike jitahidi uwe na familia hata kama hujaona lakini hata watoto ambao unaishi nao wewe ni furaha tosha sana . Nafurahi sana kuiona familia ikiwa na furaha hata kama mimi sina @ReganTesla_ @adelardbabu @CantarianM.
1
1
1
RT @Deo_Salekio: Habari wana X,Nina rafiki yangu mchina anataka kufungua garage anatafuta kijana mwenye ujuzi vizuri wa magari ambae ni fun….
0
4
0