Loy Jaffu
@Loyjaffu
Followers
217
Following
4K
Media
25
Statuses
726
Project coordinator and helpline Manager Co-Founder @lisheorganics |
Dar es Salaam, Tanzania
Joined July 2013
Endelea kufuatilia Mubashara, kupitia ๐ https://t.co/HDjgwYbfEL Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (@ccm_tanzania), Ndugu Dkt @SuluhuSamia akizindua rasmi kampeni kuelekea uchaguzi mkuu mida hii katika viwanja vya Tanganyika Packers, Kawe. #SamiaHadi2030 #DiraYaSamia
25
33
37
RAIS MSTAรFU KIKWETE AMSIFU RAIS SAMIA KWA UONGOZI WAKE WA BUSARA NA UZALENDO Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti Mstaafu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete, amesema kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mgombea
10
26
25
Je,vijana walio kwenye ngome za vyama wanakutana na changamoto gani katika kutekeleza majukumu yao wakati wa uchaguzi? Jiunge nasi jumamosi hii katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu https://t.co/UrPRHVk1BS kusikiliza mjadala huu. ๐[28/6/2025]Jumamosi โฐ[4:00-6:00]
2
11
10
Kutoka kwa Mhe.Joseph Msukuma tulishuhudia siasa zenye ladha ya kijijini lakini zenye ujumbe mzitoโBunge la Awamu ya Tano lilibeba sauti halisi ya wananchi na msingi wa uwajibikaji wa kweli ๐น๐ฟ. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
6
11
Day One | Regional Workshop to Combat Gendered Hate Speech Kicks Off in Nairobi! Our Helpline Manager,@Loyjaffu is representing our office at the Regional Technical Workshop on Compiling Lexicons for Detection, Monitoring, and Mitigation of Gendered Hate Speech in the Great
0
5
7
I was honoured to represent my organization at the workshop to share my ideas,knowledge, and experience .
From May 26โ28, 2025, experts from across the Great Lakes Region gathered in Nairobi to develop a multilingual lexicon for detecting and addressing gendered hate speech online. Hosted by ICGLR and GIZ under the iWPS initiative, the workshop is a key step toward creating safer
0
0
0
Umewahi kujizuia kuandika mtandaoni kwa sababu ya kuogopa kutukanwa? #MitandaoNaSisi #OnlineSafety #CyberSecurity
0
3
2
Join us, tupe maoni kama mwananchi .
Je, Kwa nini vyama vya kisiasa ni muhimu kushiriki katika uchaguzi? Jiunge nasi Leo katika kurasa zetu za twitter (X) @ siasa zetu kwa mjadala kuhusu NINI HATMA YA UCHAGUZI MKUU 2025 BILA USHIRIKI WA CHADEMA? https://t.co/0BmoypxIzL ๐[3/5/2025]Jumamosi โฐ[12:00-14:00] Mchana
0
1
1
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
3
10
0
5
5
0
6
14
Nishati mbadala ni muhimu kwa kupunguza utegemezi wa mafuta ya nje, kukuza uchumi kupitia upatikanaji wa umeme vijijini na ajira mpya, kulinda mazingira dhidi ya uchafuzi, na kuhimiza maendeleo endelevu ya taifa. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo
0
5
16
Kilimo ni maisha, na sasa wakulima wana benki yao Benki ya Ushirika @coopbanktz inakuja kuimarisha upatikanaji wa mikopo rafiki, huduma za malipo, na uwezeshaji wa kilimo kupitia mifumo ya AMCOS na SACCOS. Uzinduzi utafanyika 28 Aprili #UstawiKwaWote
9
21
23
RT @CarolNdosi: Dodoma ๐ Uzinduzi wa Benk ya Ushirika Tanzania #UstawiKwaWote #UzinduziBenkiYaUshirika
0
3
0
In todayโs world, digital skills are no longer optional for entrepreneurs โ they are essential. Whether you run a small startup or an established business, digital skills help you work smarter, reach more customers, and grow faster. ๐จKey digital skills entrepreneurs need
0
5
20
Demokrasia ina maana zaidi ya kupiga kura kwenye siku ya uchaguzi. Ni mchakato wa kila siku unaohitaji ushiriki wa watu wote โ hasa vijana โ katika maisha ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa. Vijana wanahitajika kushiriki kwa njia mbalimbali ili kuimarisha demokrasia, kama vile:
0
2
4
Just two days left until we spotlight the power of young women in tech! We're setting the pace for a smarter, more inclusive digital world. The future is female โ and it's digital. #GirlsInICTDay #ICTLeadership #CountdownToChange #TechForGirls #TechWomenTZ #WanawakeNaDijitali
0
12
14
Ni taasisi au makundi ya watu wenye itikadi au mitazamo inayofanana kuhusu masuala ya kijamii, kiuchumi, na kisiasa, na hulenga kushika dola au kushawishi maamuzi ya serikali kwa njia ya kidemokrasia. Kwa mtazamo wako VYAMA VYA SIASA NI NINI? #SautiZao #MitandaoNaSisi
0
4
4
Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Joseph Sinde Warioba. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #SiasaNiMaendeleo
1
18
69