Dira Ya Samia
@DiraYaSamia
Followers
64K
Following
76K
Media
2K
Statuses
77K
Ukurasa Rasmi unaonyesha Dira ya Maendeleo Inayojumuisha Mikakati na Mafanikio ya Serikali ya Awamu ya Sita.
Tanzania
Joined February 2022
MARIDHIANO - Dira ya Maendeleo na Amani kwa Kila Mtanzania. @SuluhuSamia @ikulumawasliano @HusseinBashe @AbdallahKUlega
#DiraYaSamia
55
129
1K
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @Samia akiendelea na mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi – Zanzibar, tarehe 24 Oktoba 2025, amewahakikishia wananchi
25
25
27
Hello! Very happy to introduce to you some of the less-known and yet interesting animals that shared my childhood!
0
0
9
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, akiendelea na mkutano wa kampeni katika viwanja vya Mnazi Mmoja, Mkoa wa Mjini Magharibi – Zanzibar, tarehe 24 Oktoba 2025, amewataka Watanzania wote
25
24
23
Safari ya ushindi wa kishindo ya Mhe. Dkt. @SuluhuSamia inaendelea kutikisa Visiwani Zanzibar! Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) Taifa, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, anaendelea na mikutano ya kampeni
28
27
24
ASANTE SANA TEMEKE! Tunawashukuru wananchi wa Temeke kwa mapokezi makubwa, hamasa, na kujitokeza kwa wingi kuonesha imani yenu thabiti kwa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) na Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt.
24
31
32
Akizungumza na maelfu ya wananchi waliojitokeza katika mkutano wa hadhara uliofanyika Uwanja wa TANESCO, Buza Wilaya ya Temeke, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia amewataka Watanzania
23
27
24
Leo, Alhamisi Oktoba 23, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia , ameendelea na kampeni zake jijini Dar es Salaam kwa kufanya mkutano wa hadhara katika Uwanja wa TANESCO, Buza Wilaya ya
26
31
27
Bado tupo jijini Dar es Salaam! Leo, Alhamisi Oktoba 23, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia anatarajiwa kuendelea na kampeni zake za Uchaguzi Mkuu kwa kufanya mkutano mkubwa wa hadhara katika eneo
25
27
27
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia ameedelea na mkutano wa kampeni leo tarehe 22 Oktoba 2025 katika viwanja vya Kesha, Ilala – jijini Dar es Salaam. Akiwahutubia maelfu ya wananchi, Dkt. Samia amesema
20
30
28
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia , ameendelea na mkutano wa kampeni leo tarehe 22 Oktoba 2025 katika viwanja vya Kesha, Ilala – jijini Dar es Salaam. Akiwahutubia wananchi wa Ilala, Dkt. Samia amesema
19
26
24
Tupo Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam! Leo, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia anaendelea kunadi Ilani ya Uchaguzi ya CCM (2025–2030) mbele ya maelfu ya wananchi waliofurika katika Uwanja
20
24
26
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia ameendelea na kampeni za uchaguzi leo tarehe 21 Oktoba 2025 katika Wilaya ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Mhe. Samia amewahakikishia wananchi
27
25
24
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, ameendelea na kampeni za uchaguzi leo tarehe 21 Oktoba 2025 Kinondoni, jijini Dar es Salaam. Katika hotuba yake, Mhe. Samia amewahakikishia wananchi kuwa Serikali
21
26
27
Safari ya ushindi wa kishindo inaendelea kutikisa mkoa wa Dar es Salaam! Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia, leo amewafikia wananchi wa Kinondoni, akiendelea na mikutano ya kampeni huku
20
24
26
ASANTE SANA PWANI Tunawashukuru Wana Pwani kwa mapokezi makubwa, hamasa na kujitokeza kwa wingi kuonesha imani yenu thabiti kwa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania) na Mgombea wetu wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwenyekiti wa CCM Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia.
17
23
26
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) Taifa, Ndugu Dkt. @SuluhuSamia akiendelea na kampeni za CCM tarehe 20 Oktoba 2025, amezungumza na wananchi wa Kibiti mkoani Pwani na kuwahakikishia kuwa Serikali imesikia
15
24
26
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) Taifa, Ndugu Dkt. @SuluhuSamia akiendelea na kampeni za uchaguzi mkuu leo tarehe 20 Oktoba 2025, amezungumza na wananchi wa Kibiti mkoani Pwani akieleza mpango wa Serikali
17
24
26
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) Taifa, Ndugu Dkt. @SuluhuSamia , akiendelea na kampeni za CCM katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba 2025, amezungumza na wananchi wa Ikwiriri akisisitiza
17
23
27
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (@ccm_tanzania ) Taifa, Ndugu Dkt. @SuluhuSamia , akiendelea na kampeni za CCM katika Wilaya ya Rufiji, mkoani Pwani tarehe 20 Oktoba 2025, amezungumza na wananchi wa Ikwiriri akisisitiza
15
23
24
Safari ya ushindi wa kishindo yaendelea kutikisa mkoani Pwani! Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Mhe. Dkt. @SuluhuSamia siku ya leo anaendelea na mikutano ya kampeni akiwahutubia wananchi wa Pwani smbamba na
29
23
26
Nimefurahi kufika tena Sumbawanga na kuona namna panavyoendelea kupiga hatua kubwa za kimaendeleo. Nimekuwa na mazungumzo mazuri na wananchi wakati tukihitimisha kampeni zetu katika Mkoa wa Rukwa. Wananchi kwa umoja wao wanaridhishwa na kazi inayofanywa na Chama Cha Mapinduzi
459
140
415