
#SAUTIZAO
@SAUTIZAO
Followers
1K
Following
2K
Media
678
Statuses
3K
Jukwaa la kupaza na kulinda sauti za vijana na wanawake mtandaoni #HakiZaKidijitali #DigitalRightsTZ #CivicTech chini ya uongozi wa @lpdigitaltz
Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2023
Katika safari ya kuhakikisha sauti za vijana zinasikika, #VijanaNaUchaguzi Challenge iliwahamasisha vijana kushiriki kikamilifu katika mijadala ya uchaguzi na masuala ya kijamii. Ushiriki wao umeonesha jinsi teknolojia inavyoweza kuwa nyenzo muhimu ya kushiriki katika maamuzi ya
1
6
10
Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai. Tunatoa pole kwa familia, Bunge la Tanzania na Watanzania wote. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. #RIP #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania
0
0
0
RT @LPDigitalTZ: Happy Nan Nane Day!. Celebrating the hands that feed the nation — our farmers. August 8 – a reminder that agriculture is….
0
4
0
RT @ZetuSiasa: Pumzika kwa amani Hayati Job Ndugai. Umeacha alama ya uzalendo, hekima, na utumishi uliotukuka kwa Taifa letu ,Kazi yako ita….
0
6
0
Tumepokea kwa masikitiko taarifa za kifo cha Spika mstaafu wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Job Ndugai. Tunatoa pole kwa familia, Bunge la Tanzania na Watanzania wote. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. #RIP #MitandaoNaSisi #DigitalTanzania
0
1
1
RT @ZetuSiasa: Tujikumbushe episode maalum kuhusu Siasa,Vijana na Maendeleo ,Humu kuna mijadala mbali mbali inayoonesha Siasa ni nyenzo muh….
0
7
0
RT @LPDigitalTZ: Matumizi ya AI yanafungua milango ya elimu bila mipaka, yanawawezesha vijana kujipatia ujuzi wa ajira wa kisasa, na kusaid….
0
3
0
Na wewe je? Unachukua hatua gani kuleta mabadiliko kwenye jamii yako?. 🗣️ Tuambie hatua nyingine unazochukua au unazopendekeza — share nasi kwenye comment. #SautiZao #MitandaoNaSisi #VijanaNaMabadiliko #ChangamkiaJamii #YouthVoices #DigitalCivicEngagement #SautiZetuZinasikika
0
1
1
Mabadiliko yanaanza na Sauti ya ushiriki wako. #HappyNewMonth. #SautiZao #SiasaNaVijana #SiasaNaDwmokrasia #MitandaoNaSisi.
As we begin this new chapter, may it be filled with bold ideas, stronger voices, and limitless possibilities. Here’s to speaking up, leading with purpose, and embracing digital innovation to transform our communities. Let this month remind us of our power — to create, to
0
0
0
Watu milioni 37.6 wamejiandikisha kupiga kura mwaka 2025 — je, utabaki kuwa mtazamaji au mshiriki? . Sauti yako ni muhimu kwenye uamuzi wa kesho ya Tanzania. Jitokeze, shiriki, piga kura! 🗳️🇹🇿. #Uchaguzi2025 #ShirikiMaamuzi #SautiYakoMuhimu #SautiZao #MitandaoNaSisi
0
2
1
RT @mamayukokazini: Mama analinda ajira za wazawa. Serikali imepiga marufuku wageni kufanya shughuli za wazawa, lengo likiwa ni kulinda aj….
0
73
0
RT @LPDigitalTZ: Ni muhimu kuwa makini na namna unavyotumia mitandao ya kijamii — linda taarifa zako binafsi, chagua nani wa kushirikiana n….
0
4
0
Kampeni sahihi huanza na wazo sahihi. Ni jambo gani lingepewa kipaumbele?.#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitali #SiasaNaVijana
1
2
2
RT @ZetuSiasa: Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. January yusuf Makamba. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo .
0
7
0
RT @ZetuSiasa: Nukuu ya Asubuhi kutoka kwa Mhe. Paul Christian Makonda. #SiasaZetu #SiasaNiWananchi #siasanimaendeleo .
0
3
0
Lakini je, wanapoongea wanazungumzia nini?.Ni haki zao? Maendeleo ya kijamii? Teknolojia? Au mustakabali wa taifa?. 💭 Unadhani mijadala ya vijana inaleta mabadiliko gani chanya katika jamii yetu?.Tuambie kwenye comment ⬇️.#SautiZao #MitandaoNaSisi #HakiZaKidijitalu
0
5
3
Vijana tukiamka, jamii inabadilika! Ushiriki wetu kwenye mambo ya kijamii ni nafasi ya kujifunza, kuongoza, na kuleta mabadiliko ya kweli. Na wewe je? Unaona faida gani nyingine za vijana kushiriki kwenye masuala ya kijamii? . Drop idea yako kwenye comment. #SautiZao
0
0
0
Vijana tukiamka, jamii inabadilika! Ushiriki wetu kwenye mambo ya kijamii ni nafasi ya kujifunza, kuongoza, na kuleta mabadiliko ya kweli. Na wewe je? Unaona faida gani nyingine za vijana kushiriki kwenye masuala ya kijamii? . Drop idea yako kwenye comment. #SautiZao
1
2
2
RT @ZetuSiasa: Je, Dira ya Taifa 2050 inalenga kuijenga Tanzania ya aina gani ifikapo mwaka huo, na ni hatua gani tunapaswa kuchukua sasa i….
0
15
0
RT @LPDigitalTZ: New Cohort, New Milestone!. This isn’t just any training — you’re joining the very first cohort under our newly NACTVET-ve….
0
4
0
RT @LPDigitalTZ: On the final day in Mwanza, participants delivered impressive group presentations—confidently pitching their digital solut….
0
6
0