Ishengoma Irene Profile Banner
Ishengoma Irene Profile
Ishengoma Irene

@IshengomaIrene

Followers
18,453
Following
2,111
Media
1,672
Statuses
48,855

I am a solution|Women Football Welfare #sokalawanawaketz 🇹🇿| #AmaniHuanziaNyumbani |Online Safe Space| I work @globalpeacetz | Maisha Plus 2nd runner 2016.

Tanzania
Joined August 2017
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
Pinned Tweet
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Amini kwamba “SENENE ni tamu kuliko Nyama”😋😍…Unabisha?🤪 ☎️ 0679064914 Karibu tukuhudumie 👉🏾Kwa pakti ya Elfu 5 (cha 1 kutokea juu), pakti inayofuatia ni Elfu 10, 20, 35, 50 bila kusahau Afu 3😁 🛵Gharama ya Delivery itategemea na umbali wa eneo 📦Mikoani pia tunatuma #senene
Tweet media one
235
192
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Kwaheri Katerero😍, atakaye na aje😅 #Katerero #Bukoba #Tanzania
Tweet media one
301
68
2K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
JIKO LA GESI LILIVYOONDOA UHAI WA FAMILIA YA ABEID FALHUM😭💔🙏🏽 ‘Abeid alipokuwa kitandani NENO ambalo alisisitiza tuwe makini na Gesi, tufanye namna Gesi hata ikivuja na kulipuka isiweze kuleta madhara kiasi kilichoitokea familia yake.’ Enzi za uhai Abeid alisimulia…..👇🏽
Tweet media one
406
415
2K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Happy birthday to me 😍🎂🌹 #MayQueen
Tweet media one
343
113
2K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
8 months
Kutana na mwanadada wa kuitwa Loveness Tarimo ☺️. 🏋🏽‍♀️ Anasema tangu utotoni alipenda michezo, ukubwani akaamua kujikita katika mazoezi ya ujenzi wa misuli (bodybuilding) na imempa fursa nyingi. 📍Kwa sasa kaajiriwa kama mkufunzi wa mazoezi yaani Gym trainer pale Serena Hotel….👇🏽
Tweet media one
170
87
2K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
#NewProfilePic Lady in Black 🖤
Tweet media one
188
83
2K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Happy Birthday to Me 🎂🍾❤️ #26thMay #MayQueen
Tweet media one
161
61
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Hatimaye nikamuona @kalage_jr 😁Ila itabidi nianze kumuambukiza kutabasamu au sio jamani?!😜😂🙌🏽
Tweet media one
105
43
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Just Relax and be Thankful.❤️
Tweet media one
109
34
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Hivi haiwezekani mwanamke akawa vizuri kifedha binafsi/kifamilia akaamua kuwekeza kwa mpenzi wake ambaye hayupo vizuri kiuchumi ili mwanaume huyo asimame imara, kutimiza wajibu ndani kama ambavyo wanaume wenye kipato wanavyoweza kuwekeza kwa wapenzi wao ili wajitegemee kiuchumi?
291
113
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Ahsante Mungu. 🎂🥂+1
Tweet media one
79
43
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
“SENENE ni tamu kuliko Nyama”…😍 kama huamini nipo hapa nikuthibitishie hilo 😋; Kwa pakti ya afutatu (3,000/=), afutano (5,000/=), na afukumi (10,000/=) wanapatikana wenye pilipili na wasio na pilipili ushindwe wewe tu. NB: Gharama ya Delivery itategemea na umbali wa eneo 🙏🏽.
Tweet media one
159
149
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Happy Boyfriends day ❤️ #boyfriendsday
Tweet media one
52
25
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Tafuta muda wa kutafakari baraka za Mungu maishani mwako.💐 #WCW #Tanzania #wednesdaythought
Tweet media one
80
45
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Kati ya vitu nilichagua kwa dhati ya moyo bila shuruti ni kusomea Ualimu pale UDSM. Najivunia kuwa Madam Ishengoma, na nimekuwa nikiyatumia maarifa/ujuzi niliopata katika ufundishaji, upimaji, ushirikishaji wa watu kwenye kila sekta nnayokuwepo haijalishi ni wapi na kundi lipi.🫶🏾
Tweet media one
107
58
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Because it is Furahi Day ❤️🙏🏽 #Queen #Tanzania
Tweet media one
81
46
1K
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Usiku wa #TOTBONANZA 😍❤️‍🔥🎉
Tweet media one
65
45
997
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Mwanaume akilia hivyo; ni furaha inakuwa imezidi AU? 🥹😅
Tweet media one
256
48
970
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Leo nimekutana na kabinti ka takriban miaka 3-4 kanatembea kwenda shule, kakanambia “shikamoo” nikaitikia kakaendelea “we mzuri” nilijikuta nashangaa like unasema?! Nikamwambia ahsante huku natabasamu na kucheka🙈…..watoto wanabariki, she made my day ❤️🙌🏽🙏🏽 #Furahiday
128
38
947
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 months
+1 🎂Happy birthday to me.
Tweet media one
212
71
965
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
8 months
Peace is Beautiful 🤍.
Tweet media one
101
54
943
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Msusi: Nikusuke nini? Mimi: Kilimanjaro 🥰
Tweet media one
Tweet media two
90
32
910
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
One day YES 😍. I will make it happen 💪🏽🙏🏽. #WCW #Tanzania #sokalawanawaketz
Tweet media one
72
50
933
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Tweet media one
67
30
916
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Ikawe wiki yenye kustawi kwako kuliko huo mti na maua nyuma yangu. Ukapokee taarifa njema kuhusu Lile dili ulilokuwa unasikilizia. #mondaythoughts #Tanzania
Tweet media one
87
22
907
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Eeh Mungu Ahsante kwa maisha ya @maxmillianway naumia natetemeka kwa uchungu, Maximilian umeenda😭🙌🏽🙏🏽 Tutaonana baadaye😭. #ChanzochaKifo ni ajali aliyoipata siku mbili zilizopita. #RIPMaximilian 😭🙌🏽
Tweet media one
Tweet media two
167
59
900
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Twende mbele za Mungu kwa moyo wa Shukrani. Ikawe jumapili njema kwetu sote wapendwa ♥️🙏🏽.
Tweet media one
73
38
909
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
#TBT 2017 🫶🏾 Le Madam Ishengoma, enzi hizo nilikuwa kadogo na nilikuwa nafundisha vijana wa kidato cha 5&6🥰. Imagine ungekuwa mwanafunzi wangu, ingekuwaje?😂🙌🏽
Tweet media one
179
25
894
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Masikio hayajawahi kutuingiza matatani kwasababu yalisikia bali mdomo.
Tweet media one
140
24
887
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Usiidharau leo ya mtu maana huijui kesho yake.
Tweet media one
Tweet media two
64
41
855
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Hello #September2021 Please be good to us.🤝🏽🥰
Tweet media one
68
27
844
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Kama Dhahabu ingekuwa mtu basi angekuwa #ClaraLuvanga Si kila mtu anaweza kupitia #ukatili zaidi ya mara 1 wa kukaguliwa jinsi yake na bado akaendelea kucheza kwa morali hata kufunga magoli kuuthibitishia ulimwengu “Ushupavu wake wa ndani na nje ya uwanja”💪🏽🙌🏽 #sokalawanawaketz
Tweet media one
82
62
846
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 months
🎶Tunatabiri inapata uhai🎶….Mungu ni mwema sana, namshukuru kwa zawadi ya uhai na afya njema 🙏🏽.
Tweet media one
82
60
809
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Lady in Red ❤️‍🩹. Happy Valentine’s Day from Me to You 😍😘🌹 . #ValentinesDay #ValentinesDay2023
Tweet media one
83
39
781
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Ms. Tabasamu 🥰.
Tweet media one
72
38
761
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Habari Septemba 😎💃🏽
Tweet media one
94
35
729
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
5 months
Le madam katika 1 na 2 ☺️. Twitter location hapa ni wapi?😅💃🏽 #Tanzania
Tweet media one
161
45
742
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
5 months
N.A.K.U.P.E.N.D.A Happy Valentine Day Fam ❤️.
Tweet media one
54
39
699
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Usijifananishe; Wewe sio Wao😉😍.
Tweet media one
53
27
685
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Happy MARCH ♥️. Make - it - happen #March 👊🏽.
Tweet media one
57
32
683
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
In love with #Cocoa from Mbeya City. #Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
66
38
663
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
4 months
Kuna zile ahadi/viapo huwa tunamuahidi Mungu tukiwa na machungu na kumuomba/kumsihi kuwa akitupitisha salama katika kipindi hicho cha mateso tutazitimiza; leo jiulize umewahi kuzitimiza? Kama bado hujachelewa una nafasi ya kuzitimiza.
Tweet media one
70
65
668
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Heri ya sikukuu ya Wanawake duniani. Zawadi napokea 😍😜😁 #InternationalWomenDay
Tweet media one
59
44
651
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Part 4 📌
45
122
653
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
10 months
Usisahau KUTABASAMU. Happy #NewWeek Fam ❤️.
Tweet media one
65
47
656
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
She is the Executive Committee Member - Tanzania Women Football Association (TWFA). #sokalawanawaketz
Tweet media one
50
48
647
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Le madamee ❤️ #WCW
Tweet media one
60
33
630
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Nature is Beautiful. 🇹🇿❤️
Tweet media one
21
15
615
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Happy Easter fam ❤️ #Easter2023 #Tanzania
Tweet media one
63
40
638
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Akanana kaile kona ……😜🥰.
Tweet media one
92
31
630
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Hello saturday 🥰. Wataalamu wa location hapo ni wapi?😅
Tweet media one
125
29
632
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
7 months
That rejection; May be it was your release.. be thankful 🙏🏽.
Tweet media one
Tweet media two
63
47
633
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
USIJICHUKULIE POA, wewe ni wa Thamani.🥰🙏🏽👊🏽
Tweet media one
50
18
620
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Tabasamu hili liwafikie wote wanaopambana kulisaka tonge bila kukata tamaa. Nawapenda ♥️🙏🏽. #Furahiday 😍
Tweet media one
62
36
625
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Wanaume wengi waliofanikiwa kwenye mahusiano ni wale waliokuwa na ujasiri wa kuzungumza UKWELI ilihali wanawake wengi waliofanikiwa ni wale waliokubali KUUSIKILIZA ukweli huo.
Tweet media one
40
57
605
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Happy Birthday Ms. IRENE ISHENGOMA. I wish ME more life, Wisdom, Blessings, Success so that i can share what i have with others. #HappyBirthday #birthdaygirl
Tweet media one
Tweet media two
120
31
600
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Weekend vibes ❤️, Ikawe wikendi ya kuzaa matunda 😍. #KilahatuaDua #PositiveVibes #Tanzania
Tweet media one
78
35
614
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
5 months
Nature is always Beautiful 💝🇹🇿✨. #Mbinga #Nyasa #Ruvuma #Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
65
46
616
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Sometimes it is NOW or NEVER.
Tweet media one
60
20
589
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa zawadi ya Uhai na Afya njema.🙏🏽❤🙌
Tweet media one
Tweet media two
33
21
583
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
🖤❤️‍🔥🖤
Tweet media one
@Maryftaddoh
Mariam
1 year
Let me see you in black outfit 🖤
Tweet media one
Tweet media two
131
116
1K
38
15
596
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
September to Remember. #TBT #TBThursday
Tweet media one
88
24
578
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Blessed be the Most High God who makes all the things beautiful in his time. #MunguniMwema #WCWednesday
Tweet media one
66
40
579
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Ikawe wiki njema kwako yenye kuzaa matunda kama ya mzabibu. #mondaythoughts #Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
35
21
579
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Cheers to life. 🥂🎉❤
Tweet media one
57
11
563
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Otea Aliniuliza maswali gani yakanifanya hivyo?!🙌🏽 #sensabika Fremu 1.😂 Fremu 2.😒
Tweet media one
Tweet media two
150
15
567
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
5 months
Usiusemee Moyo.
Tweet media one
57
36
569
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Kukosa usingizi ni ugonjwa au tatizo la kisaikolojia? Nini kifanyike kwa mtu anayekosa usingizi takribani mwezi 1 na kuendelea?
Tweet media one
136
24
536
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
9 months
Hali ya hewa inaruhusu 😉❤️‍🔥….. Mungu akakufanyie kicheko 🙌🏽😁🙏🏽. ____________________________________ #Mpepo #Nyasa #Ruvuma #Tanzania
Tweet media one
60
36
555
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Being a Lady is a matter of choice 🖤
Tweet media one
37
14
534
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
8 months
Hawawezi kuelewa inakugharimu nini kuwa huyo wanayemuona, KAZA.
Tweet media one
30
38
550
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Usiposhukuru na kustaajabishwa kwa vidogo usitegemee kufanya hivyo kwa vikubwa. #Tanzania
Tweet media one
76
22
518
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Don’t underestimate your Inner Power 👊🏽🔥🫶🏾.
Tweet media one
45
20
535
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
9 months
Tabasamu langu kwa udhamini wa wadada wenye mpira wao ⚽️❤️‍🔥🇹🇿 FT: @twigastars 2-0 Botswana 🎉🔥 #sokalawanawaketz #Tanzania
Tweet media one
24
44
535
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Dear Men, Women are meant to be loved not to be understood. . Usijihangaishe kumuelewa mwanamke, jikite #kumpenda tu mengineyo yatakaa sawa. #loveyourwoman #love #understanding #loved
Tweet media one
78
28
520
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Hello Peace, Hello Love, Hello Joy, Hello Strength, Hello Success, Hello Monday 😉. Ikawe wiki njema kwetu sote 🙏🏽.
Tweet media one
68
61
527
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
7 months
✨1/1/2024 ✨ Ukawe mwaka wa kula mema ya nchi kwetu sote 🫶🏽. Happy #NewYear2024
Tweet media one
52
32
529
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Nyie.....🔥🔥
Tweet media one
14
19
510
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Kwangu mimi "Ualimu ni Wito". Nafurahia nnavyotumia taaluma hii katika kazi mbalimbali za kijamii, nafurahi zaidi nnapokutana na wanafunzi niliowafundisha wakifanikiwa, kukumbuka na kuyaishi mengi niliyowahusia. . Heri ya #SikuyaWalimuDuniani Happy #worldteachersday #Tanzania
Tweet media one
Tweet media two
32
37
491
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
10 months
✨Never say Never ✨
Tweet media one
51
37
512
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
It’s CHOOSE DAY 🥰. Choose to be YOU. Happy tuesday fam ❤️. #tuesdayvibe
Tweet media one
40
33
508
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
#10Kfollowers Ahsanteni kwa kunifuatilia, Nawapenda ❤️🙏🏽.
Tweet media one
33
32
504
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
8 months
God! I just wanna say THANK YOU. #MunguniMwema
Tweet media one
44
34
511
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
God when my lips no longer know what to ask for in prayer, please hear my heart.
Tweet media one
48
46
509
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
6 months
Usisahau kutabasamu. #IjumaaKarim
Tweet media one
68
44
508
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
9 months
N.A.M.P.E.N.D.A ✨🤍✨
Tweet media one
61
31
498
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
11 months
Ukawe na wiki njema yenye bashasha, amshaamsha, masapraizi mazuri ya kutosha kama ‘Penzi Jipya’. 😉😁😍. #NewWeek
Tweet media one
68
31
501
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Mungu ni mwema sana ❤️🙏🏽
Tweet media one
Tweet media two
48
28
482
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Ukipata fursa ya kufurahia, FURAHI. Ikawe wiki njema ♥️.
Tweet media one
49
19
489
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Jaza nafasi ya kiti iliyobaki wazi na useme unatamani uwe na cheo gani kwangu 😊 (Tafadhali andika kiustaarabu🙏) #niponasomacomment #vigezonamashartikuzingatiwa
Tweet media one
164
17
463
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
1. Je wajua kuwa saizi ya unyayo wako inalingana na saizi ya mkono wako kuanzia mkunjo wa mbele wa sehemu ya kiwiko hadi kukaribia kiganja chako?! Pichani ni mimi nikijipima 😅🙌🏽 Hebu jaribu kujipima leo ujionee 😉 #ElimikaWikiendi
Tweet media one
Tweet media two
211
58
483
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Go go go until you score😉🔥⚽️❤️. #ThursdayThought #sokalawanawaketz
Tweet media one
48
31
483
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
Ikawe jumapili ya kufanikisha kila dili ulilokuwa unalisikilizia. Amani, upendo, furaha viitawale siku yako na wakuzungukao. #sundayvibes
Tweet media one
49
19
456
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
3 years
If it doesn't not OPEN it's not your DOOR. #Tanzania
Tweet media one
51
14
442
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
#TBT 2016 😍🙌🏽🌹 Unywele enzi hizo naulambisha dawa 😃…aka kamwili sijui nikarudishe 🤒 #JuneWish
Tweet media one
67
24
458
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
#TBT 2018 ❤️
Tweet media one
47
13
460
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
1 year
Kwa nnachokisikia hapa kkoo kupitia TV nmegundua kuwa Watanzania tuna kitu tukiamua tutafika mbali 📌😂🙌🏽
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
40
39
458
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
2 years
Riziki anatoa Mungu ila hutumia binadamu kuifikisha kwa Mhusika. Wiki hii Mwenyezi Mungu atukutanishe na watu aliowapa kibali cha kutupitishia riziki yetu ya kila siku. Ikawe wiki njema kwetu sote❤️🙏🏽.
Tweet media one
47
33
451
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
11 months
Hatimaye Taifa Stars imenipa raha ⚽️😅 #AFCON2023Q #Tanzania
Tweet media one
33
51
454
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
8 months
Happy new week fam 🖤.
Tweet media one
31
23
446