Thommunkondya Profile Banner
Thom Mnkondya Profile
Thom Mnkondya

@Thommunkondya

Followers
4K
Following
1K
Media
618
Statuses
7K

Mpima ardhi,Mtaalamu na Mshauri binafsi wa watu,taasisi na kampuni juu ya masuala ya ardhi. Pia ni wakala wa milki @lapexproperties. Blood donor(O+)

Dar es Salaam, Tanzania
Joined January 2021
Don't wanna be here? Send us removal request.
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 months
Kamwe huwezi kutapeliwa,kubomolewa na kupata migogoro ya ardhi kama utafuata utaratibu huu wakati wa kununua ardhi(kiwanja,shamba na nyumba) nchini Tanzania.
10
76
201
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
2 hours
Hii stori naitafuta siipati,mwenye link tafadhari anitumie. Siamini kama ndiyo iko hivi kiasi cha kutangazwa kwenye media na TASAF. Nahisi ni mwandishi kaandika ili kugrap attention. Kama ni kweli hii ni aibu.
@Sativa255
SATIVA17
2 days
Hapa inamaanisha kwa siku unapata 400/=TSH.
Tweet media one
2
0
6
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
2 hours
Kila la heri Irene.👊🏿👊🏿.
@IshengomaIrene
Ishengoma Irene
13 hours
Namshukuru Mungu nimefanikiwa kuchukua na kurudisha FOMU ya kuwania UBUNGE VITI MAALUM - NGOs. Kazi na uzoefu nilioupata katika sekta ya NGOs ilizidi kuamsha ari, maono, na nia ya dhati ya kuwatumikia na kupaza sauti za wanajamii katika ngazi za maamuzi. #NGOsImaraJamiiEndelevu
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
0
4
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
18 hours
Duuh,pole sana mzee.
@Eng_Matarra
JAPHET MATARRA
1 day
Walinitendea maumivu yasiyosemeka, kisha wakatoweka kana kwamba si kitu. Walikusudia kuniua, lkn Mungu akakataa. Wasiojulikana mliniumiza sana wazee, ndio maana nachukia sana upande ule unaowaajiri kutuumiza hivi.
Tweet media one
0
0
0
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
2 days
Mapema leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea ubunge jimbo la Tunduma kupitia chama cha mapinduzi(CCM),nipo tayari kuwatumikia,kuwaongoza na kujenga kesho bora ya mji wetu wa Tunduma kama nikipata ridha ya chama changu. #Tunduma2025 #JITULAMPAKANI.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
31
24
80
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
3 days
# appreciation post. @BarakaMaviatu ni moja ya vijana conscious sana hapa X. I appreciate mzee. Humu ndani kuna watu ni wajinga mnoo ila wanaheshimika sana😄,sijui hata ilikuwaje.
@BarakaMaviatu
Maviatu 👞👟🥾🛍️🛒
3 days
@HildaNewton21 Unaongea kama vile watu wanaofamlnya mambo ya hovyo wote ni CCM, uchaguzi wenu wa ndani peke yake umeonesha jinsi gani mlifuga wahuni na nyie wenyewe ni watu wa sampuli gani. Hizi lugha za kibabe na kujimilikisha harakati hazina maana kwamba nyie ndio wasafi.
2
0
7
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
3 days
Basi,ukiamini kwenye hili utakuwa huogopi kufanya jambo lolote pia utakuwa huumizwi na matokeo mabaya yakitokeaa. Sisi tufanye juhudi tu matokeo ni ya Mungu.
@TweveDevota
DevotaTweve
3 days
“Fanya juhudi matokeo ni ya Mungu”-@Thommunkondya.
3
1
14
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
3 days
RT @samsonisimiri: NALA CHIGONGWE. ENEO KWA AJILI YA PETROL STATION. HATI IPO NJOO TUKUPE BEI UCHUKUE MALI IMENGATA LAMI😎 .
0
1
0
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
💪🏿💪🏿 kila la heri @TweveDevota sisi tunakuombea ukawe faraja kwa wanambozi.
Tweet media one
1
1
18
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
Mimi nimefanyaje sasa hapo Joy. ? Huyo ni kada wa CCM kitambo mbozi wanamjua kila kijiji. Mbozi amefanya kazi kubwa sana,Mungu ampe kibali awe mbunge wao sasa. Kila la heri @TweveDevota vijana kama wewe mkoa wa songwe ni wachache sana.
@Joy_Mbura
Joy
4 days
Sisi Nyutro umetuachaje Mwenyekiti .Iła hii @Thommunkondya tu . Mie nakuombea heri sana .Mungu akutangulie 🥰.
1
2
16
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
Hongera sana @TweveDevota kila la heri kwenye hatua hii muhimu ya kuleta maendeleo katika jimbo la mbozi na mkoa wa Songwe kwa ujumla💪🏿💪🏿Vijana wa mkoa wa Songwe tumeanza kuamka.
@TweveDevota
DevotaTweve
4 days
Leo nimefanikiwa kuchukua fomu ya kuwania ubunge jimbo la Mbozi mkoani Songwe.
Tweet media one
Tweet media two
0
2
8
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
Kwa muda mrefu sasa halmashauri zetu zimekuwa zikiongozwa na madiwani wasio na elimu,nafurahi kuona mwitikio mkubwa wa vijana wenye elimu kwenye nafasi za uongozi mwaka huu hasa kwenye nafasi za udiwani,ni muda sasa halmashauri zetu zianze kuongozwa na watu wenye uelewa wa mambo.
9
2
22
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
Licha ya jumuiya yetu ya umoja wa afrika (AU) na za kanda(SADC,EAC) kudhalilishwa na DRC na Rwanda juu ya mgogoro wao kutotatuliwa na jumuiya hizi,bado sina imani na suala hili kusimamiwa na USA,naona kama ni suala la maslai ya wakubwa tu ila sio suluhu la kudumu. Nyie mnaonaje.?.
5
2
20
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
4 days
Leo ibadani kanisani kwetu Moravian,ushirika wa Tunduma,tulikuwa tunasherekea sikukuu ya wanawake ambapo kwaya ya wanawake imeimba wimbo wenye funzo kubwa sana. Sehemu ya wimbo huo inasema “watu wamekuwa wakupenda vyeo na sio huduma,hata shetani mbiguni alipenda cheo akatupwa.
3
3
17
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
5 days
Mambo imechemka mbayaaaaaa
Tweet media one
3
1
17
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 days
😂😂 moja ya utani wa vyama huwa unanifurahisha ni huu wa kuhusisha wanachama wa CCM na mambo ya serikali😂🙌🏿. Kwamba suala la TIC jamaa anasema hata nyie ccm hamjui.?😂😂.
@EggleVuvu
Mr Roboto👽👽
6 days
@Thommunkondya Kwaio hata nyie CCM hamjui wachina wameingiaje na wamepataje Vibali vya kuishi Tanzania?.
2
0
11
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 days
Hivi wale wachina wenye vibonanza vya kamari sehemu mbali mbali nchini,nao wana cheti cha uwekezaji kutoka TIC. ?.
4
2
30
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 days
RT @amprincess9: Tubarikiwe tutokapo na tuingiapo🙏
Tweet media one
0
61
0
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 days
Kama una kodi shamba kwaajili ya shughuli za kilimo,hakikisha unakodi kwa muda mrefu(long lease) lakini pia mnaandika mkataba halafu kausajili huo mkataba ofisi za ardhi. Hii itakusaidia akitaka kukutoa ghafla au akitaka kuuza wakati bado mnamkabata. Ni jambo dogo ambalo wengi.
@TichaMandevu
TICHA MANDEVU13
6 days
Ila majitu ya huku ovyo kabisa wameona nimepata mahindi mengi wamenyan'ganya shamba karibu Heka 18. Nguvu ya kulima yenyewe hawana maskini wivu utawauwa Hawa ngoja tuendeleee kununua mashamba YETU. Kiburi kitaisha tu🫵.
2
0
16
@Thommunkondya
Thom Mnkondya
6 days
Kila la heri comrade💪🏿💪🏿.
@KennedyMmari
Kenny Mmari Snr.
6 days
Siasa si uwanja wa vita wa kutafuta madaraka, ni uwanja wa dhamana. Kiongozi si anayesimama mbele ya watu, bali anayesimama kwa ajili yao. Ni Kesho. Ni Siha. Ni Yeyee!🤣.
1
0
1