
SENETA DAUDI WA KOTA
@DAUDIWAKOTA
Followers
63K
Following
8K
Media
1K
Statuses
62K
MWANAFAMILIA WA #CLOUDS. #SUPERBRANDY3 #BALOZI WA CHAMELEONE TANZANIA.Bonyeza hapa kuisikiliza Clouds Fm https://t.co/u6YdgluXPS
88.5 UBUNGO-DSM- TANZANIA
Joined February 2012
Jana Bungeni Dodoma nilipata nafasi ya kuzungumza na Mheshimiwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) ambaye pia ni Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Dkt. Tulia Ackson (@TuliaAckson). #Asantekwatafuu Mheshimiwa Spika πβ€π.
0
0
0
π Happy birthday Boss @TheRealJongwe
0
0
0
Asante sana mzazi
Happy birthday Gen C wa ukweli @daudiwakota (SENETA WAKOTA). Hongera kwa kazi nzuri ,mola akusimamie mwaka huu uweze kutimiza na kufikia matamanio yako....sema umeupiga mwingi kutoka kuwa kaka mpaka shemejiππ€£ππΏββοΈ Happy birthday Mwamba π
1
1
1
0
0
0
Leo nikiwa na ndugu zangu Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo, Rais wa Yanga, @stevenyerere2, @daudimambya72_ @mbwigambwiguke_tz tumejumuika katika makaburi ya Kisutu, Dar es Salaam kumpumzisha mtangazaji mwenzetu Khadija Shaibu 'Dida'
0
0
3
ππππ
@DAUDIWAKOTA @halimamdee @esteramosbulaya Shukran sana family Kwa kutuwakirisha kwenye Msiba wa mamaetu mama wa mbunge viti maalum halima mdee, Ubarikiwe Sanaa SENETA WAKOTAππ½
0
0
1
Jana nimeshiriki mazishi ya Mama mzazi wa Mheshimiwa @halimamdee) mazishi yaliyofanyika Moshi Vijijini Kilimanjaro. MUNGU azidi kusimama na familia ya Profesa Mdee katika nyakati hizi ngumu wanazopitia, MUNGU ni mwema kila wakati. #TutaonanaBaadae Cc: @esteramosbulaya
1
0
2
Mkurugenzi Mtendaji wa #Cloudsmediagroup, @josephkusaga akiwa ameambatana na mke wake Juhayna Kusaga (Mkurugenzi wa @malkiachoicefm) ametoa pole kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. @halimamdee leo Agosti 3, 2024, na kusaini kitabu cha
1
7
46
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Musa Azzan Zungu (Mb) ametoa pole kwenye msiba wa Theresia Mdee, Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum Mhe. @halimamdee leo Agosti 2, 2024, na kusaini kitabu cha maombolezo Ubungo Kibangu, Dar es Salaam. Mheshimiwa
2
7
99
Leo nilienda kumfariji Mbunge wa Viti maalum, @halimamdee kufuatia kufiwa na Mama yake mzazi Theresia Mdee, msiba huo uliotokea tarehe 30 Julai, 2024 katika hospitali ya Benjamin Mkapa alipokuwa akipatiwa matibabu Dodoma. Pole sana mama yangu kipenzi changu MUNGU azidi kukubariki
1
0
1
ππππ
0
0
1