Biko Scanda Profile Banner
Biko Scanda Profile
Biko Scanda

@scanda24

Followers
3,096
Following
1,072
Media
145
Statuses
901

Mwananchi Wa Taifa Huru la Tanganyika. Former C.E.O Of IHEFU SPORTS CLUB.

Joined November 2019
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@scanda24
Biko Scanda
5 months
TAARIFA Nimeachana rasmi Kiutendaji na klabu ya Soka ya Ihefu, Nawashukuru sana kwa kunipa nafasi na nawashukuru saana kwa kuniruhusu kuondoka Mpira wa Tanzania una eneo kubwa la kuusadia na hivyo ni furaha kwangu kuwa Mwanafamilia wa Soka la Tanzania Ahsante @Ihefusportclub1
Tweet media one
120
35
729
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Emotional Intelligence🎯 . Hakuna mtu anamchukia Eng Hersi, Hakuna mtu anaichukia Yanga na Hakuna mtu anachukia mafanikio ya Yanga bali watu wanachukia namna namna za mambo yanavyofanywa. Tunaongea kwa Heshima na mustakabali mkubwa wa kiwanda na adabu ya
Tweet media one
165
33
586
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Sponsors . Wadhamini wanapokuja kufanya udhamini kupitia Brands zao kwenye vilabu na mchezo wa Soka wanafuata CONSUMERS (Wateja) kupitia Klabu ambayo inasimama kama PASSION CONNECTOR kati ya Mdhamini na Mashabiki. . Klabu inapokua na matukio (Events) yake ndio
Tweet media one
93
5
273
@scanda24
Biko Scanda
2 years
Thadeo Lwanga, anaondoka katika midomo ya watu, majeruhi yamemuondoa Kikosini lakini mwisho ni Suala la Kimkataba pia litamuondoa Tanzania. Fundisho kwa Mameneja wa Wachezaji, jitahidini muwe mnapata hata misimu mitatu ya mkataba mmoja. Katika soka kuna majeruhi pia.
Tweet media one
6
2
269
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Mastermind🧠 . Mtu akifa harudi, tunaenda kuzika tunalea kizazi alichokiacha na kuendeleza mipango au kuanza mipango katika namna alivyoacha. Tukiwa msibani huwa anapatikana mmoja anaitwa Jasiri, yeye huwa Halii, anabembeleza wengine, anawanyamazisha kana
Tweet media one
9
18
272
@scanda24
Biko Scanda
2 years
FOOTBALL ECONOMY || Branding 📌 Nilikutana na kocha Mgunda akiwa na jezi kamili na hii ilikua ni hitimisho langu la kuhakikisha anampa thamani "Kit Supplier" wa Simba. The impact of Football Economy. #FootballEconomy
Tweet media one
3
8
247
@scanda24
Biko Scanda
2 years
Kama ni kweli basi hii jezi inakwenda kuvunja rekodi ya mauzo.
Tweet media one
17
8
234
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Fei Toto . Ukitaka Ubaya Dai Haki yako, leo nasadiki, Yule aliyefuta viatu na kubusu miguu ya Feisal leo kasimama mbele na kumuita muhujumu, leo wamesahau yale magoli ya Mwana Ukome. . Ni muda wa Watanzania kujifunza namna ya kupata Haki, ni muda wa wapenda
Tweet media one
88
16
205
@scanda24
Biko Scanda
7 months
Better Days are Coming, Sisi ni Mbogo Maji tutaibuka kwa Nguvu. . FT|| Namungo 2 - 0 @ihefusportsclubtz . #MbogoMaji
Tweet media one
16
8
209
@scanda24
Biko Scanda
2 years
SPORTS EXTRA Namsikiliza @privaldinho ana mashaka na safari ya Yanga kimataifa. Anaona Yanga wanafanya sana makosa ya kiufundi kwenye ukuta wao. Pengine Yanga walihitaji kusajili mabeki kuliko rundo la VIUNGO. #FootballEconomy .
17
2
189
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Yanga Bingwa. . Kila mwenye macho ameona, Kwangu mimi na moyoni mwangu Yanga atabaki kuwa Bingwa wa Msimu huu. Hii sio Fitna bali ni DHULUMA ya wazi. . HESHIMA FULL TANK 🛢️ . #BrandingIsAnArt 📌 #KaribuKaengesa 🌍
30
16
182
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || H.R.M . Nabi katika andiko lake la kuaga hajamtaja Rais wa Yanga Hersi Said na hakuna sehemu amemention Jina lake na hadi naweka Post hii Eng. Hersi hajapost kuondoka kwa Nabi hata ile Taarifa Rasmi ya Klabu. . Kwa kifupi ni kama Nabi hajaondoka vizuri au
Tweet media one
94
9
174
@scanda24
Biko Scanda
2 years
ATCL ni mshirika rasmi wa usafiri wa anga wa klabu ya Simba. Simba anapanda ndege ya TURKISH AIRLINES kisha anapost video kwenye ukurasa rasmi. Akili ya kibiashara ni muhimu kwa watumishi wote wa Taasisi na lazima idara za biashara ziwe na kampeni za ndani. #BrandingIsAnArt
38
19
166
@scanda24
Biko Scanda
4 years
Kuna muda unapaswa kukaa kiti cha nyuma kabisa ili kuutazama mchezo na kuwatazama wanaotazama mchezo. Hii inakupa utofauti katika kundi moja.
4
8
151
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || #BrandingIsAnArt 🎯 . Bodi ya ligi, kule mlipochongeshewa kombe si mgeomba na Medali wachongeshe, waweke na kamba nzuri ili medali ikawe kumbukumbu safi..? Au mlikua hamjui kuwa ligi yetu itakua na medali msimu huu..? . Halafu mnahangaika kutafuta wadhamini,
Tweet media one
11
5
120
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Jezi Namba 6. . 1. Ushindi wa Fei Toto ni funzo kwa viongozi wa vilabu, Wachezaji ni binadamu na wanastahili heshima, liwe funzo la hata kama humpendi mchezaji basi heshimu kipaji chake. Viongozi wajifunze HUMAN RESOURCE MANAGEMENT. . 2. Ushindi wa Fei Toto ni
Tweet media one
74
11
115
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Hatuna Jeuri. . Mshahara wa Pitso Mosimane pale Al Ahly ulikua zaidi ya Tzs Milioni Mia Tatu huku Percy Tau akilipwa zaidi ya Tzs Milioni Mia MBILI. Inasemekana mshahara Nabi Yanga haikua zaidi ya Tzs Milioni 30 na mshahara wa Mayele haukuzidi Tzs Milioni 20.
Tweet media one
14
12
115
@scanda24
Biko Scanda
2 years
BRANDING IS AN ART 🔋Logo ya Vodacom ilibadilishwa rangi 🔋Logo ya GSM ilibadilishwa rangi 🔋Logo ya NBC ilibadilishwa rangi Leo msemaji analeta ubunifu wenye nakshi nyekundu kwenye PRESS official ya Yanga tena makao MAKUU na wamekaa kimya. NB: Tafakuri🎯 #BrandingIsAnArt 📌
Tweet media one
41
3
110
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Art of War. . #BingwaLaKufeli alimdhihaki Rais wa TFF pale Sheikh Amri Abeid Arusha na kesho yake akaposti kumuomba msamaha, Nikajisemea huyu ni Zuzu na lazima ale chuma sababu keshamaliza kesi yeye mwenyewe kwa kukiri kosa. . Jana Ally Kamwe Kamdhihaki Kocha
Tweet media one
30
6
107
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Biashara✍️ . Unamuona #VunjaBei Hapo Kifuani kwa jezi ya Simba kwa mchezaji mpya..? Japo Sandalend hayupo lakini walau ni mwenyewe ajilaumu jezi kuchelewa kwenye utambulisho wa KISIASA. . Nafurahi kuwa huwa wanafanyia kazi maoni yangu japo huwa naambulia
Tweet media one
4
6
105
@scanda24
Biko Scanda
6 months
PROJECT IHEFU || Mashabiki Wetu. . Wanambarali, kwa unyenyekevu mkubwa mbele yenu kwa sura ya Uwajibikaji, tunavuja JASHO kuhakikisha klabu yenu ya IHEFU inafanya vizuri katika michezo ya Ligi Kuu Tanzania Bara. Hatupumziki mchana wala hatujilazi kizembe usiku.
7
3
102
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Biashara . Nimekumbuka kuna watu walivunjika, nimekumbuka hawakuuza jumla, nimekumbuka kuna watu walinunua jezi kwa bei ya LAKI MOJA, nimewaza namna kulikua na heka heka ya kupata jezi za Simba. Nimewakumbuka wale mashabiki wenye mapenzi walokua wananipigia
Tweet media one
4
2
98
@scanda24
Biko Scanda
10 months
FOOTBALL ECONOMY || Mentality. . Sitoandika sana lakini naandika kidogo, tujaribu kujiupdate kwenye mitazamo yetu. Kwa Tafsiri ya Chama ni kwamba Albino amenyimwa haki ya kufanya baadhi ya mambo aidha awe na Kipaji au awe na maono haruhusiwi kufanya wala kufikiri baadhi ya mambo.
Tweet media one
25
16
94
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || #KubwaZaidi . Simba inakua klabu ya kwanza Tanzania kuwa na mkataba mkubwa kutoka kwa Kit Supplier kwa wakati mmoja, imeingia mkataba wenye thamani ya Bilioni 2 na Sandaland. . CEO wa Simba bwana Imani Kajula analambana kuihamishie Dunia ya Corporate kwenye
Tweet media one
8
4
93
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Heshima Ya Kiwanda. . 🎯Jicho lako limtazame @sandalandtheonlyone_ ambaye amekua mdau muhimu wa Timu za Kariakoo, ndiye mwanadamu anayependwa na Timu zote na anafanyakazi na timu zote sababh yeye amechagua ukweli wa kuwafurahisha kwa kuwauzia Jezi zao na mambo
Tweet media one
Tweet media two
6
3
91
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Chukua Kalamu. . #ChukuaKalamu , Simba andikeni kwenye ubao wa ofisi, semeni ukweli kuwa katika miaka yenu minne ya ubora wenu hamjavuka robo fainali ya mashindano yoyote Afrika. Katika miaka yao miwili ya Ubora wamefika Fainali ya Kombe la Shirikisho. Hii sio
Tweet media one
11
8
89
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || #HomeBoys 🇹🇿 . Achana na hii picha ya huyu binti, haya ni mambo binafsi lakini soma jina lililopo mgongoni mwa Malkia huyu wa nguvu. Nani anasema Wazawa hawajitumi.? Wanajituma na wanajitambua wanautwanga na wanaibeba hii ligi. . Kwangu Picha ya huyu mrembo
Tweet media one
1
2
87
@scanda24
Biko Scanda
2 years
Katika biashara na uongozi kitu kikubwa na muhimu kuliko vyote ni kuweza kuuelezea UHALISIA.
1
1
87
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Soko . Yanga na Simba wanaongea..? Huenda wanakaa vikao vya namna ya kulimiliki soko hakuna anayejua. Haiwezekani hii iwe bahati mbaya, pengine wakati Chawa wakipiga POLIMILAI wenyewe wanakaa vikao gizani na kuliendesha Soko watakavyo. Katika Dunia ya Leo
Tweet media one
5
3
87
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || CAF Confederation . CAF wamefikia maamuzi ya kufuta mechi ya Mtoano ya timu inayotolewa kwenye hatua ya pili ya Klabu Bingwa Afrika. . Ikumbukwe Yanga alitolewa klabu Bingwa ndio akapambana kuingia kombe la shirikisho na kufika fainali ya kombe hilo. . NB:
Tweet media one
9
3
84
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Super League. . CAF inapanga kubadilisha jina la Ligi Kuu ya Afrika (Super League) na kuipa jina jipya kwa sababu baadhi ya wadhamini wa shindano hili wanasema jina la (Super League) hutumika pia barani Ulaya hivyo litakuwa na athari mbaya katika hili. .
Tweet media one
2
3
77
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Biashara Kichaa. . 1. Junior Lokosa❌ 2. Perfect Chikwende❌ 3. Dejan Georgijević❌ 4. Victor Akpan❌ 5. Nelson Okwa ❌ 6. Augustine Okrah ❌ 7. Ismail Sawadogo❌ 8. Mohamed Outarra ❌ . Hapa tunasema kwa kifupi Simba haikua na watu makini, Bodi uongozi
Tweet media one
16
4
74
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || #HomeBoys . Bwana @JumaAyoo na mashabiki wenzio, unamjua Nickson Kibabage..? Unasema ni mchezaji wa kawaida sawa naweza kukubali, lakini kwa nini huwa mnapiga Zumari sana kwa wageni..? Yaani jana umekasirika kuona Ule utambulisho haujamuhusisha mgeni. .
Tweet media one
8
8
67
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Connection Viongozi wa Simba wanajua kutafuta na kuyatunza mahusiano na ndio maana haya tunayoyaona sio bahati mbaya. CSKA Moscow ni Timu kubwa sana huko Urusi, ni kubwa kwa maana ya jina lake. Ni rahisi sana kwa Simba kufunguka kibishara. #UchumiWaSoka
0
2
66
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Full House . Pichani ni Yusuf Manji, Wakati huu alikua mfadhili na mwenyekiti wa Yanga, Hapo anatazama mechi akiwa ndani kabisa ya uwanja wa Mkapa, alivuta kiti akakaa pembeni akiwatazama vijana wake wakipiga soka. Manji amewahi kuwa kipenzi cha wana Yanga na
Tweet media one
6
5
63
@scanda24
Biko Scanda
5 months
Wanapogundua huu ni Mbuyu hupata hofu sababu wanafahamu Mbuyu ukikua unakua imara kiasi gani juu ya udongo. Mtu akiwa imara na mawazo yake huishi hivyo wanaopinga hupambana dhidi ya maono na sio mtu na ndio maana watu dhaifu ni wale wasokua na maono. FOCUS📌
12
7
64
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Fair Competition. . Jana Simba wamemtangaza #SandalandTheOnlyOne kuwa Kit Supplier Mpya Baada ya #VunjaBei na wamesaini mkataba wa misimu miwili wenye Thamani ya Bilioni 4 kwangu ni jambo zuri lakini kuna kitu sijaelewa. . Simba ni Taasisi ya Soka na kwa hapa
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
9
2
60
@scanda24
Biko Scanda
7 months
Tweet media one
11
4
57
@scanda24
Biko Scanda
6 months
PROJECT IHEFU || #BetterDaysAreComing Wachezaji wamenipa ahadi ya kukifanya kiwanja hiki kuwa kigumu kwa wapinzani, wameniambia itakua haramu kupoteza mchezo hapa, watatoa kila kitu ili kuhakikisha Kila Mpinzani anayekuja hapa anakuja kwa ADABU #MbogoMaji #BetterDaysAreComing 🌾
6
2
57
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Takwimu Vs Uhalisia. . Mpira wa Takwimu unatuambia kuwa kuna washambuliaji bora kuliko Ronaldo De Lima lakini uhalisia unatuambia Ronaldo De Lima ni bora kuwahi kutokea katika dunia ya soka japo anazidiwa Takwimu na Suarezi au Drogba. . Mpira wa Takwimu
Tweet media one
3
7
50
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Mawasiliano (Sehemu - 3) . Yanga ndio Klabu yenye mafanikio zaidi kwenye mashindano ya Afrika kutokea kusini mwa jangwa la sahara, licha ya mafanikio yote hayo ndani na nje lakini ndio klabu ilozungumzwa na kujizungumzia vibaya zaidi kwa msimu huu. Hii
Tweet media one
4
6
53
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Negotiations🎯 . Unapokwenda kwenye meza ili kubishana kupata faida lazima uwe na watu ambao wanajua Chennels za Faida. Katika chumba ambacho watu wanabishana kuhusu biashara na Faida hakuna huruma na kila SENTI ina thamani. Hakuna kujuana kwenye mijadala ya
Tweet media one
5
1
49
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Tell The Truth. . 📌Eng Hersi anakiri katika miaka yote Sita alokaa Fei Toto pale Yanga ni Mtumishi mwenye nidhamu 100% na uwanjani anakupa ubora 100%. Sasa kimemkuta nini hadi abadilike.? Eng Hersi anapaswa kujua alete majibu. . 📌Eng. Hersi anasema Feisal
Tweet media one
11
10
51
@scanda24
Biko Scanda
9 months
FOOTBALL ECONOMY || Business Mentality📌 . Siku moja Yanga walikua wanafanya Parade ya Ubingwa, nikaandika kuwa ni sehemu wao wangeweza kuwapa Value wadhamini kisha wakaigeuza hela badaye kwa wadhamini kutia Pesa kwenye Parade za Ubingwa. Wadhamini hawakuonekana nilivyoandika
13
5
52
@scanda24
Biko Scanda
5 months
Tweet media one
3
0
52
@scanda24
Biko Scanda
3 months
FOOTBALL ECONOMY || Madhara ya Matamko. . Hii ni barua inayosemekana imetoka TFF kwenda CAF “INASEMEKANA” vyanzo vyangu Mbalimbali vinasema baada ya TAHARUKI iliyotokana na Matamko ya KISIASA ya Waziri Ndumbaro
4
5
50
@scanda24
Biko Scanda
2 years
Maisha ya Ibrahim Ajib ni funzo kwa vijana wengi wanaoingia kwenye mtego wa SIASA za Simba na Yanga.
7
2
50
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Mikwanja. . MCHANGANUO WA BONUS KWA AZAM TV NBC PREMIER LEAGUE 1) Mshindi wa kwanza 500M 2) Mshindi wa pili 250M 3) Mshindi wa tatu 225M 4) Mshindi wa nne 200M 5) Mshindi wa tano 65M 6) Mshindi wa sita 60M 7) Mshindi wa saba 55M 8) Mshindi wa nane 50M 9)
Tweet media one
1
6
49
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Ripoti ya Mapato. . Kwa Mujibu wa klabu ya Yanga kwa ripoti ya mapato kwenye mkutano mkuu wa Yanga, klabu ilifanikiwa kuvuna Bilioni 7.06. . baada ya kutokea maneno maneno leo Afisa Habari kijana mwenzetu Ali Kamwe ametolea ufafanuzi suala la Mapato ya Jezi.
Tweet media one
3
3
47
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Yanga Vs Benki . 🎯Benki zinatafuta wateja na zinatafuta namna yoyote ya kuuza huduma zake ili kufanikisha malengo yake. Ushirika wa Yanga na Mabenki utayapa mabenki urahisi wa kupata wateja na kuuza huduma, Yanga itapata pesa bila jasho na mashabiki watakua
Tweet media one
Tweet media two
7
5
48
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Emotional Intelligence. . Hapa Simba alikua akiwaaga Thadeo Lwanga na Meddie Kagere, ilikua siku ya #SimbaDay . Naona watu wametaharuki kuachwa kwa Mkude kwa Bango la “Thank you”. . Nafikiri idara ya habari ya Simba imeshindwa kuliweka katika namna nzuri na
0
2
48
@scanda24
Biko Scanda
7 months
@HKigwangalla Kaka wewe ni Sehemu ya Tatizo…..! Nimesoma maandiko yako na kama vile hapo Simba akiondoka GlazeBhai basi matatizo ya Simba yatakua yameisha Lakini mie naona Simba Tatizo ni wanachama, tatizo Katiba, Tatizo namna ya Uendeshaji, Glazebhai asingeku hivi kama mifumo ingekua SAWIA
5
3
49
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Picha Kubwa. . Watoto wenu wakikua waambieni hii ni picha ya kikosi cha Yanga, wale walosimama nyuma ni Marais watatu, Rais Wa Yanga, Rais wa Tanzania na Rais wa Malawi. . Waambieni Watoto wenu kuwa hii picha ni zawadi ya kilele cha mafanikio ya Yanga, kisha
Tweet media one
0
1
43
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Nidhamu Ya Kiwanda. . . Mmeona posti ya afisa habari na kisha mmeona agenda ikachukuliwa na #BingwLaKufeli halafu #MenejaWaWinga akaichekea Agenda. Wanafurahia soko la UTUMWA katika Habari na uchambuzi wa masuala ya Soka la Tanzania. . Unasikia hizi kelele na
Tweet media one
16
3
43
@scanda24
Biko Scanda
4 months
FOOTBALL ECONOMY || Rushwa Hebu tuulizane Je, ni nani amethibitisha mpira wetu umejaa Rushwa? Na ni nani amethibitisha mpira wetu hauna Rushwa? Tunapaswa kujua moja ili tuchukue hatua stahiki, aidha kukemea na kujilinda na Rushwa au kutokomeza RUSHWA. #BrandingIsAnArt 📌
9
3
46
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Ubunifu . Mentor wangu Ruge Mutahaba, Mungu amrehemu, aliwahi kuniambia kitu kimoja kikubwa ambacho siwezi kusahau… “Watanzania wengi wavivu, Waliopo kwenye nafasi hawana imani na wenye uwezo”, hii ni kweli naiona leo kwa macho yangu. . Jana klabu ya Soka ya
Tweet media one
4
2
42
@scanda24
Biko Scanda
10 months
FOOTBALL ECONOMY || Home Boys. . 1. Licha ya kwamba hakuwa amecheza muda mrefu mechi za Mashindano lakini Feisal Salum bado yupo katika Ubora na sio muda mrefu atauweka utawala wake wa Dimba la Kati kupitia Azam Fc. Sina shaka naye, sina hofu naye ni kwamba Yanga walibidi wacheze
11
4
43
@scanda24
Biko Scanda
2 years
FOOTBALL ECONOMY || Mshahara 📌 Huu ndio mshahara wa Fiston Mayele, Kwa mkataba mpya na Yanga. (Credit @kenedymosestz ) Mwaka - 194M Mwezi - 16.2M Wiki- 4.05M Kwa siku- 578,571 Tzs Kwa saa - 24,107 Tzs Kwa Dkk-401 Tzs Kwa Sec - 6.6 Tzs Subiria andiko Tamu. #FootballEconomy
4
6
42
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Picha Kubwa . Jana nilikua uwanja wa Liti, hii ni kawaida kwangu kusafiri kwenda kwenye matukio mbalimbali ya kisoka ndani na nje ya Nchi. . Wanaoongoza Soka letu, yaani wenye dhamana wamebaki kuwa wababe sio wasimamia miongozo na hii imesababisha kufumba
Tweet media one
4
1
41
@scanda24
Biko Scanda
1 year
Usiombe mwanaume upoteze Uanaume wako. Unapoteza Haiba na Utu wako, kwa kifupi unakua mtumwa wa Maisha yako. Huyu kwenye hilo andiko ndiye yule aliyesema Fei Muhujumu. Mavi kabisa.
Tweet media one
5
1
40
@scanda24
Biko Scanda
4 years
The master in digital Marketing. Tofauti yako na wengine ni namna wewe unavyoweza kuinasibisha brand ilokupa jukumu la kuiuza na kipaji chako kwa namna unavyokitumia. I will add one more thing.. #Nakuungisha
@IdrisSultan
Idris
4 years
USHAURI WA BURE ! Vipato vyetu havijakaa poa kabisa hichi kipindi cha Corona, labda kama wewe ni muuza sanitaiza au sabuni. Nunueni solar ziendeshe baadhi ya vifaa muhimu vya majumbani na ofisini kwenu. Kwa bahati nzuri @zolatanzania wanakupa alafu unaweza hata kulipa kwa 3yrs
21
11
546
1
1
37
@scanda24
Biko Scanda
10 months
FOOTBALL ECONOMY || #ProjectFuture . . Digala @shaffihdauda1 huwa anaamini kwenye kuwekeza kwa Vijana sababu anaamini Vijana ndio wenyewe baada ya Muda. Ni kama Vile maono ya kinabii yameanza kulipa. . Hongera my Brother Ibrahim Mohamed kwa kupata changamoto Mpya katika maisha ga
Tweet media one
0
1
38
@scanda24
Biko Scanda
6 months
PROJECT IHEFU || #BetterDaysAreComing 🌾 . Unapokua timu ya ligi kuu yenye uwanja bora zaidi wa NYASI ASILI na nguvu kubwa ya uwekezaji basi bila shaka unakua mwenye deni kubwa la kuleta mawazo mapya na mabadiliko ya mahusiano ya Kibiashara.
6
4
38
@scanda24
Biko Scanda
5 years
Kimsingi watu hupenda kusikia Yale yanayoshabihiana Na Yale walotamani kuyaongea. Hisia Kali huja pale inapotokea mtu akaongea kinyume tena kwa nyakati Za moto. Pia nasi huongea Yale yatokayo moyoni yakichagizwa Na mazingira.
@nikkwapili
Nikkwapili
5 years
Wanataka kuskia wanachotaka makima”~ wimbo wenye huu mstari umetoka miezi kama miwili iliyopita....sijui kwanini nilipo upost jana watu wameshika hisia sana??? Aliyetukataza kufikiri alaaniwe mara sabini
104
16
622
1
1
37
@scanda24
Biko Scanda
1 year
Tweet media one
4
1
34
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Fei Toto . Mtangazaji wa @cloudsfmtz kaka yetu @masoudkipanya alimuuliza @caamil_88 Rais wa Yanga, Wakati wanasaini mkataba na Feisal Kulikua na mwanasheria ..? Akajibu hapana kulikua na Familia akiwemo Mama yake Mzazi na Feisal Salum ambaye ndiye mshauri mkuu
11
7
35
@scanda24
Biko Scanda
3 months
Mashabiki na Chawa wa Yanga wanaamini maoni ya mtu ambayo tofauti na mtazamo wao basi ni CHUKI. Ni aibu kwa zama hizi kuwa na kizazi chenye mtazamo wa aina hii, kwangu mimi maoni yatabaki kuwa sehemu muhimu ya mageuzi. #FootballEconomy 🏧
9
1
35
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Fei Toto . Yanga wametoa Tamko rasmi la kumuachia Feisal Salum “Fei Toto”. . NB: Nitakuja na maoni juu ya hili. . #BrandingIsAnArt 📌 #KaribuKaengesa 🌍
Tweet media one
6
1
33
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || #HeshimaFullTank 🛢️ . #HeshimaFullTank 🛢️ kwa Bendera ya Tanzania 🇹🇿 katika mataifa ya kaskazini mwa Afrika, pengine imepangwa tupatie Heshima Mbele ya Warabu. . Hakuna la kupoteza, ni vita ya heshima na ushindi, ni vita ya hadhi na Ufalme. Wananchi🟢🟡
Tweet media one
0
3
32
@scanda24
Biko Scanda
6 months
HESHIMA FULL TANK🛢️ || @caamil_88 . Kwa niaba ya #MbogoMaji , Klabu ya IHEFU na wapenda Mpira wote wa Mbarali na nyanda za Juu kusini napenda kumpongeza Rais wa Klabu ya Yanga Mhandisi Hersi Said kwa kuchaguliwa kuwa mwenyekiti wa kwanza wa Shirikisho la Vilabu barani Afrika.
3
2
32
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Wasichana Wa Nyumbani📌 . Klabu ya Soka ya Yanga ni kama imeamua kuziacha timu zake zingine ikiwemo hii ya wasichana na kuendeleza utamaduni wa kuwajali wageni kuliko wazawa. Kambi imevunjwa lakini wazawa wametupwa, viongozi wote wapo Busy. . Inasemekana ndani
Tweet media one
Tweet media two
6
2
31
@scanda24
Biko Scanda
1 year
TFF ndiye Regulatory Body (Chombo Cha Udhibiti na Kusimamia) wa Mpira wa Tanzania kwa Muongozo wa FIFA. TFF ndiye Baba wa Usuluhishi wa Migogoro ya Soka letu, kama anavyofungia, anapaswa kuwa suluhu. Kuikimbia Kesi ya Feisal Vs Yanga ni kujivua Hadhi yake. #FootballEconomy
6
5
30
@scanda24
Biko Scanda
5 months
PROJECT IHEFU || Mecky Mexime . Karibu #MbogoMaji nahodha wa Bendera ya Taifa, wewe ni mtu tunayeamini tutazeeka hapa na #ProjectIhefu ili kuusaidia mpira na kuacha alama kubwa. . Familia ya Mbogo Maji @Ihefusportclub1 @ihefuyouthsteam . #BetterDaysAreComing 🌾
Tweet media one
1
1
29
@scanda24
Biko Scanda
11 months
#CheupeWaRombo anapambana na Simba suala la kuzindua jezi juu ya mlima Kilimanjaro, kaposti picha ya jezi za Yanga mdhamini ni Bia ya Kilimanjaro, wakati huo yeye alikua shabiki wa Simba😂😂. #CheupeWaRombo anadhani moja ya majukumu yake ni kubishana na kila kitu kwenye
3
0
27
@scanda24
Biko Scanda
7 months
Thank you the best CEO, Our Role Model, This Congratulation means a lot to me. It is a Debt to me.
@Football_Senzo
Senzo Mbatha 🇿🇦
7 months
@scanda24 Congratulations on your new role at @Ihefusportclub1 🤝🤝🤝 Kila La heri Mtu wa #footballeconomy 👏👏
0
1
4
2
1
29
@scanda24
Biko Scanda
11 months
Nimesikitika, ndani ya miaka sita bado hamjapata jibu la huo mkwamo…? Wanasimba wote na mifumo yote bado mmekosa majibu…? Mabadiliko yanapaswa kutimia.
5
2
26
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Power Breakfast . “Bingwa La Kufeli” ndio alikua mtu wa kwanza kutumwa kumfuata Fei toto na sasa amekua mtu muhimu katika kumdhihaki Fei Toto. Maisha yana maajabu yake📌 . #UchumiWaSoka
3
1
25
@scanda24
Biko Scanda
1 year
@mshambuliaji Bingwa la kufeli halina tofauti na Malaya…!
3
0
28
@scanda24
Biko Scanda
2 years
FOOTBALL ECONOMY Mtibwa wamekuja kwenye Media kudai deni la Mshery kwa Yanga eti kwa kuwa Yanga hawajibu meseji au kupokea simu. Kuna ujinga huwa tunafanya, hatupendi kwenda na mfumo rasmi, utafikiri mkataba uliandikwa kwa meseji. Walipaswa kufuata taratibu za kudai.
2
4
26
@scanda24
Biko Scanda
2 years
@FKihamu Una maanaa gani....?
2
0
25
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Mawasiliano (Sehemu ya 1) . . Leo nataka niifundishe Tanzania kitu kinachoitwa Mawasiliano, Nitaanza kwa kutibu Tatizo lililopo Yanga na nitakwambia kwa nini Wanasumbuka na watasumbuka sana kama hawatabadilika au kuongeza mtu mwenye Ubora wa mipango
Tweet media one
2
4
27
@scanda24
Biko Scanda
7 months
PROJECT IHEFU || #BetterDaysAreComing . Uelekeo sahihi ni Bora kuliko Kasi isiyo na faida, vijana wanaendelea kuimarika na project yetu ipo katika UELEKEO sahihi. Tutarudi tena Dar Es Salaam tukiwa bora. . FT || JKT Tanzania 1 - 1 @Ihefusportclub1 . #MbogoMaji #ProjectIhefu
Tweet media one
2
2
27
@scanda24
Biko Scanda
3 months
Yaani huyu #DubeWaZimbabwe akute watu wameanzisha klabu, wamejenga miundombinu na kisha wakamsajili na kumlipa kwa mujibu wa makubaliano eti hawana malengo. Yaani Azam Fc wakose malengo na mipango, yaani Dube ni Mtaalamu kuliko CEO Popat na watu wote ndani ya ile Klabu. 😂😂😂
8
2
27
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Sponsorship📌 . Nafikiri Wakati wanashuti na kuedit walikua wanaifikiria sana #FootballEconomyMovement itakuja kusema nini, waliwaza sana kufanya kitu safi ili nikose cha Kukosoa. Sijakosa😂. . Sponsors wanapokuja kwenye klabu wanaifuata Thamani ilotengenezwa
2
1
25
@scanda24
Biko Scanda
6 months
Nafurahia “Mentality” ya Serikali ya SMZ na ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kuboresha miundombinu ya Michezo. Uwanja wa Amani umebadili hadithi yake na kuwa moja ya viwanja bora katika ukanda huu. Kongole🫡🥂
1
0
26
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Wazawa . Nimeona Comments nyingi za mashabiki wakidhihaki utambulisho wa #HomeBoy 🇹🇿 Kibabage, walitegemea Yanga ingetambulisha Mgeni, walidhani Aziz Ki mpya. . Nimeshangazwa, huu ni uzuzu, huu ni upuuzi, tumekuwa mabwege mbele ya wageni, hata ukiangalia idadi
5
2
23
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Vuka Mstari📌 . Pichani ni mimi na Thobias Kifaru afisa habari wa timu ya mtibwa Sugar, asilimia kubwa ya maisha yake amehudumu katika mashamba ya miwa na maisha yote ya Mtibwa sugar amehudumu kama afisa Habari. . kwa siku za karibuni imekua kawaida kwa
Tweet media one
0
0
26
@scanda24
Biko Scanda
11 months
FOOTBALL ECONOMY || Adui wa Wanawake. . Anakuja mbele ya jamii kumtengenezea @hassanmwakinyojr uadui na wanawake wote Tanzania akifikiri atafanikiwa kumshusha bondia bora wa muda wote Tanzania. . Tukisema watoke mbele wanaodhalilisha wanawake Tanzania huyu atabaki…? Hapo kwenye
7
3
23
@scanda24
Biko Scanda
9 months
BENCHI NA DRAFTI || Mahusiano Mwanamke akimpenda mtu anaweza kumvumilia, unaweza kuwa unamridhisha kimwili na kimatumizi lakini ukakwama kumtoa sehemu alopenda na hapati hivyo vyote unavyompa. Kupenda na kuridhika ni vitu viwili tofauti. Si Ajabu kumpenda asiyekuridhisha.
0
0
24
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Business Mentality. . Kiwanda cha soka Tanzania kinatakiwa kianze kuwavutia kina @shadeeweriss kiwatoe nyumbani, bar na kwenye mahotel kisha wakiwalete uwanjani. . Jezi za msimu huu zinapaswa kuwakumbuka kuwapa staili za mikato yao, skafu, pensi, fulana,
Tweet media one
0
1
24
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Salamu Happy Birthday Bingwa La Kufeli.
2
0
23
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Marc-Vivien Foé . Miaka 20 imepita tangu Marc-Vivien Foé aiage dunia Jiji Lyon Ufaransa. Ilikua June 26 mwaka 2003 na leo ni June 10 mwaka 2023. Mark alikua mwanaume aliyekufa ili hali alizaliwa kuupenda na kuucheza mpira. . Mtoto wa Masikini, Jezi namba 23,
Tweet media one
4
4
21
@scanda24
Biko Scanda
2 years
"Tunawatwika mizigo mikubwa wamachama wetu.. mfano wanaokuja kupiga kura wanajighalamia kwa kila kitu ambavyo Klabu ingekua na uwezo wa kughalamia kila kitu endapo ingekua imejenga uwezo wa matawi hili nitalifanya na kuelekeza 2030 miaka 8 ijayo" @sumamwaitenda #SautiYaWananchi
0
5
22
@scanda24
Biko Scanda
1 year
Gianluca Mancini, ametoa pasi ya goli, akajifunga goli na akakosa penati. Kainyima ubingwa ROMA.
Tweet media one
0
1
23
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Mawasiliano (Sehemu - 2) . Mawasiliano yana njia zake za kuyadhibiti, unayatengeneza kama bidhaa kisha unatengeneza mpango wa kuyauza kisha unakaa unaangalia "Feedback" kwa ajili ya marekebisho ili kesho ufanye vizuri zaidi na zaidi. Lakini wenzetu wameamini
Tweet media one
1
3
21
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Nidhamu ya Kiwanda. . Kiwanda cha soka la Tanzania kinakua kwa Kasi kubwa sana, kinatoa ajira nyingi na haswa haswa kwa vijana. Vijana wengi wanapata mkate wao wa kila siku kupitia ukuaji wa kiwanda hiki na hatimaye kupunguza GAPE la Soko la Ajira Tanzania. .
Tweet media one
3
3
21
@scanda24
Biko Scanda
1 year
FOOTBALL ECONOMY || Bernard Morrison. . Mbele Ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, anatambulishwa Clement Mzize kisha ananyanyuka Bernard Morrison na anafanya hivyo zaidi ya Mara tatu. Anasahau kuwa yupo ndani ya Mamlaka kuu na eneo takataifu, kimsingi yale sio masiahara
Tweet media one
4
0
20
@scanda24
Biko Scanda
2 years
Haji Manara yeye akipigwa spana anakimbilia kuwa ni Chuki, yeye kutwa Mzima anapambana na Ahmed. Je, anamchukia Ahmed..? Nyakati za mwisho ngumu sana kwa wasio na imani. #UchumiSoka
6
3
18
@scanda24
Biko Scanda
11 months
@OfficialAliKiba @ElementsTZ Sema Kwevo jina la kifala saaaana🤣🤣🤣
3
0
19