Privaldinho
@privaldinho
Followers
978K
Following
16K
Media
7K
Statuses
26K
YANGA SC DIGITAL MANAGER…… Author || Lawyer || Sports Pundit ||
Tanzania
Joined August 2012
Mwananchiii 🔰🔰tiketi ya MUDA Day inakusubiri !! Nagawa tiketi 10 kutoka CRDB kwa mashabiki watakaojibu swali chap kuelekea siku ya MUDA day, washindi wote nitawatangaza siku ya Alhamis saa kumi na mbili jioni. #kwaokamakwetu
124
35
647
Hata leo ukipiga nyimbo za Joh hakuna atakayekwambia ni mbaya. Je huyo mtoto wa sasa hivi ana nyimbo za Joslin na Makamua kuliko za Mbosso?? Au mtot wa 2005 ana nyimbo za Mb Dog kuliko za D Voice??
@privaldinho Kamata huyo mtoto wa sasahivi msikilizishe Latifa, Si uli niambia na Ina maana. Akikwambia hamna kitu mchape! Hizo ngoma i believe hata zitoke leo zina tusua tena.
3
1
32
Jesus is the true vine and the key to beating Satan's deception is to abide in Him.
2
1
40
Acheni kumfananisha Joh Makini na watoto wadogo. Joh anacheza 'hit songs' tangu 2005. Mpaka 2010 alikuwa na hits kama 10 hivi, including mega hits in... 1. Hao 2. Chochote Popote 3. Kilimanjaro 4. Manuva 5. Niaje Nivipi 6. Stimu Zimelipiwa Have some respect to @JohMakini
Mhhhh.. ni ngumu sana kupima hawa watu kwa zama kutokana na nyakati. Naweza kuwa na hit song nyingi kali za Marioo kuliko za Ally Kiba lakini haimaanishi kuwa Marioo ni mkubwa kuliko Kiba. Ipo hivi Mziki wa akina Joh umeshaondoka kwenye industry ya sasa. Sio tu yeye mziki wa
3
2
12
Next⏭️🆙|Senior @MarkSsali dropped by for a deep chat on Paul Put’s @UgandaCranes chapter — highs, lows, his future and the million-dollar question: IF Paul Put walked today, who’s next in line for the Cranes before #AFCON2025?🤔 Drops TODAY 4️⃣🕓pm! #PitchsideFtMarkSsali.
2
8
49
Mhhhh.. ni ngumu sana kupima hawa watu kwa zama kutokana na nyakati. Naweza kuwa na hit song nyingi kali za Marioo kuliko za Ally Kiba lakini haimaanishi kuwa Marioo ni mkubwa kuliko Kiba. Ipo hivi Mziki wa akina Joh umeshaondoka kwenye industry ya sasa. Sio tu yeye mziki wa
Sijui sana kuhusu muziki, nimekutana na mjadala mahali kuhusu nani ana hit songs nyingi kati ya Joh Makini na Darasa. Sina jibu la moja kwa moja lakini nina nyimbo nyingi za Darasa ninazo zipenda zaid ya zile za Joh.
26
2
133
Nimewaangalia Mtibwa kuna vijana watatu nimevutiwa sana na uchezaji wao. Yule Rassy mshambuliaji, Namba 10 (Marungu) na yule mido mweupe….! Wakitulia watafika mbali
9
1
177
Chakula na vinywaji vya msibani ni vitamu kama msiba huo sio wa ndugu yako au mtu wako wa karibu sana. Usishangilie sana anguko la mwenzako. Kila anguko la mwenzio lifanye kuwa Ibada.
7
20
254
@privaldinho Hakuna mtu aliekamilika hayupo.... Dunia ishashuhudia wachezaji kama aina yake Baloteli,Pepe,Ramos,Gatusso,Materrazi Wachezaji wote hawawez kuwa Ricardo kaka au Pirlo Sawa na lile teka la @INFLUENCERjr linalouma watu
1
1
14
Tuombe uzima kaka
@privaldinho Maneno mengi saana kaka… Haya niambie tarehe 29 unatk au UnaTk?
2
3
51
Ila Vinicious anapenda sana fujo. Katolewa kagombana na kocha. Akiwa benchi akagombana na benchi la Barcelona. Baada ya game akanunua ugomvi wa Yamal na Carvajali. Kiufupi yupo duniani kucheza mpira na kufanya fujo. Yaan raha yake ni ugomvi tu
26
8
466
Kitendo cha mimi kumtambua kuwa ni Mtume ni kuonesha kuwa nimetambua mchango wake kwa wanaomuamini. Am not supposed to go into details ndugu. Otherwise umetaka kuyakuza. Hakuna pahala pameniuma wewe kumtaja Yesu, nimesema una ushamba wa kidini kwa sababu unataka watu waishi
@privaldinho Jinsi ambavyo kumtaja YESU imekuuma na ndivyo na mm wewe kumtaja mtume wetu Muhammad SAW. Imenigusa! 50-50. Na nliiweka maksudi kabisaa… Usimfanyie mtu kitu ambacho hutaki kufanyiwa
6
7
57
Hukuwa na sababu za kumleta Yesu kwenye hii mada. Hupaswi kulazimisha watu waishi kwa imani yako kama ambavyo unaamini. Kitendo cha mimi kumuita Mtume kwa imani yangu inatosha. Unachotaka ni sawa na mimi nikuaminishe kuwa Yesu ni mwana wa Mungu na ni Mungu. Maana yake
@privaldinho Uongo upo wapi hapo? Huwa mnaandika?
10
4
72
Paragraph ya mwisho haikuwa na ulazima. Ni Kejeli kwa Imani. Ushamba wa kidini.
@privaldinho Hadithi haziandikwi tu… Inafaa uelezee Hadithi imepokelewa na nani… huyo swahaba anaitwa nani! Na mtume Muhammad lazima uandike Rehema na amani ziwe juu yake… Sio tu unaandika tu Kama hadithi za wanafunzi wa Yesu… ahsante!
37
12
127
Kuna Swahaba alimuendea Mtume Mohamad akamuuliza kuhusu qiyama, Mtume akamuuliza ni kwa namna gani amejiandaa na hiyo siku, yule Swahaba akajibu hajajiandaa isipokuwa anampenda Allah na Mtume wake. Basi Mtume akamwambia “hakika kila mtu atafufuliwa na wale aliokuwa akiwapenda”
18
18
360
Siku kama ya leo 2016 Yanga SC ilitoa dozi nono Kagera Sugar SC 2-6 Yanga SC ⚽️ Ngoma 5, 73 ⚽️ Msuva 21, ⚽️ Chirwa 26, 64 ⚽️ Kaseke 57 @TZSportPesa
5
1
93
Kama mabadiliko hayawanufaishi wenye dira basi hawawezi kukuonesha mwelekeo
15
26
272
Hii sasa ndio Manchester ya Mwaka wa Nyuma 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼
28
11
331
Shida ipo sehemu tatu Kaka, umetumia neno Tanzania. Nami nimekuonesha sio Tanzania pekee. Hili linafanyika na umewahi kufanya pia ukiwe sehemu ya utawala. Sehemu ya pili sio makocha wote wanakuja wakiwa mashujaa. Wengine wanakuja wakiwa makocha wa dogo lakini wanapewa projects
@privaldinho Malume, I don't understand where I have wronged or offended anyone. My post is obvious - If a Coach, a manager, or a CEO don't achieve in their work, management will not tolerate them and will fire them. In my post, that is what I am emphasising that any coach, including Folz, if
25
4
86