
Sam Madax
@sadammadai
Followers
1K
Following
445K
Media
361
Statuses
7K
Just Amazing... Arsenal fc die hard fan ⚽️
Mtwara, Tanzania
Joined August 2018
Hata Azam nao wanakuwaga na hizo mbanga although naona km Yanga na Azam wameanza kupunguza hizo mambo ila kwa Simba bado sana.
-Timu zetu za Ligi Kuu Bara hasa Simba na Yanga huwa zinasajili na kuacha wachezaji kwa matakwa Ya mashabiki,Hard truth hawajui wana taka nini haswa kwenye hizo sajili zao. Lastly wanaishia kupata hasara na kutotatua matatizo Ya klabu husika. #LigiKuuBara #nbcpremierleague.
0
0
2
Sema lile kocha linajua bana,mimi tangu game na Azam nilimyooshea mikono 🙌.
Keep Miloud Hamdi, Mzize, Pacome, Muda, Maxi, Boka, Duke. Acha Chama, Ikangalombo, Mkude, Sureboy, Farid, Musonda. Leta CF, Winger, Feisal, CB, DM, RB.@Caamil8 🙏🏽.
0
0
2
Huyu Ozil alipiga assist hadi kwa Giroud 😂.
@_Maxmily Inategemea washambuliaji wake wakina nani 😀.
0
0
3
Good old times 🔥.
Zamani Kidogo.,Kabla ya Azam na Turkish Drama,Hapo Mwanza ndani ya Studio za Star Tv Walitikisa Haswa na Tamthiliya za Kifilipino sio poa.Walikujaga na Kitu Inaitwa The Promise humo ndani Kuna Mkali Angelo na YnaMorata afu kuna Mzee mzima Eduardo Buenavista.Jamaa Walitubless mno.
0
0
1