Mama Anafanikisha Profile Banner
Mama Anafanikisha Profile
Mama Anafanikisha

@mamanafanikisha

Followers
1,175
Following
6
Media
2,145
Statuses
2,182

Tunaangazia mafanikio tunayoyapata katika nchi yetu ( #Tanzania ) kutokana na uongozi thabiti wa Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan: #MamaAnafanikisha .

Dar es Salaam
Joined May 2022
Don't wanna be here? Send us removal request.
Explore trending content on Musk Viewer
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
11 months
𝐑𝐀𝐈𝐒 𝐒𝐀𝐌𝐈𝐀 𝐀𝐈𝐋𝐈𝐏𝐈𝐀 𝐘𝐀𝐍𝐆𝐀 𝐒𝐂 𝐍𝐃𝐄𝐆𝐄 Rais Samia Suluhu ameilipia klabu ya Yanga ndege maalum itakayowapeleka Mbeya. Leo saa moja usiku Yanga SC imealikwa na Rais Samia Ikulu kwa ajili ya chakula cha jioni. #MamaAnafanikisha 🎥 @wasafifm
13
31
318
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 year
𝐍𝐃𝐎𝐓𝐎 𝐈𝐌𝐄𝐓𝐈𝐌𝐈𝐀 Georgina Magesa (8) mwandishi wa vitabu anayetamani kuwa rais, ametimiziwa ndoto yake ya kukutana na Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaAnafanikisha
4
24
80
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
#HappyBirthdayMama #Miaka64 Heri ya Siku ya Kumbukumbu ya Yako Ya Kuzaliwa Rais na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Mheshimiwa Samia Suhuhu Hassan. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
20
59
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
“Ninawatangazia rasmi kuwa Tanzania ina idadi ya watu wapatao 61,741,120” Rais Samia Suluhu. #Sensa2022 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
7
44
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Muonekano wa ujenzi wa nyumba ya Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga ambayo ipo kwenye hatua za umaliziaji. #MamaAnafanikisha watumishi wa umma kuishi katika mazingira bora na salama.
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
3
19
39
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Rais Samia Suluhu aliahidi kuendeleza na kukamilisha miradi yote iliyoachwa na watangulizi wake. Hadi sasa mradi wa ujenzi wa Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi) umefikia 78%. Kazi inaendelea. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
5
23
40
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Serikali imenunua vitendea kazi zikiwemo kompyuta mpakato 159 kwa gharama ya shilingi milioni 375 kwa ajili ya mradi wa BOOST. Lengo la ununuzi wa vitendo kazi hivyo ni kuboresha mazingira ya ufundishaji na kuongeza matumizi ya TEHAMA kwenye sekta ya elimu. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
18
36
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Daraja la Wami lililokuwepo mwanzo, lilikuwa jembamba kiasi kwamba magari yasingeweza kupishana. Daraja jipya lina upana wa mita 11.85 hivyo litaokoa muda na kupunguza ajali. Serikali ya Rais Samia imekamilisha ujenzi wa daraja hilo kwa zaidi ya 90%. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
8
11
35
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
9 months
Ujenzi wa Shule mpya ya Sekondari Dkt. Samia Suluhu Hassan iliyopo Mbila halmashauri ya Mji wa Nzega unaendelea. Shilingi milioni 600 zinazotumika kwenye mradi huu zitatimiza azma ya Rais Samia ya kuhakikisha huduma ya elimu bora inawafikia wananchi. #MamaAnafanikisha
5
18
34
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Mwonekano wa Zahanati ya Kinambeu mara baada ya ujenzi uliogharimu Sh. milioni 411.9 kukamilika na kuanza kutoa huduma. Zahanati hiyo iliyochukua takribani miaka 12 kukamilika inasaidia wananchi kupata huduma bora za afya karibu na makazi. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
6
26
35
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
Serikali ipo pamoja na wananchi wa Morogoro na Rufiji. #MamaAnafanikisha
0
24
32
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
9 months
𝐑𝐈𝐏𝐎𝐓𝐈 𝐘𝐀 𝐖𝐈𝐊𝐈 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
4
16
30
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Akizungumza kwa njia ya simu na Wakuu wa Shule za Sekondari nchini, Rais Samia Suluhu Hassan ameahidi kutimiza matakwa yao ikiwemo ujenzi wa makazi ya walimu ili waweze kuwa karibu na maeneo yao ya kazi. #MamaAnafanikisha
1
25
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Mkurugenzi wa Kasulu, Dollar Kusenge anafafanua faida zitakazopatikana baada ya Kigoma kuingizwa kwenye umeme wa gridi ya taifa. Serikali ya Rais Samia Suluhu imeokoa fedha zinazoweza kuelekezwa kwenye maeneo maeneo mengine. #MamaAnafanikisha
3
9
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Rais Samia Suluhu amewashukuru wananchi kwa kushiriki katika Sensa ya Watu na Makazi ya 2022. Matokeo rasmi yatatangazwa mwezi Oktoba 2022 lakini taarifa za awali zinaonesha kwamba 99.99% ya kaya zilihesabiwa na 99.87% ya majengo yote nchini yamehesabiwa. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
12
28
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
8 months
𝐃𝐄𝐌𝐎𝐊𝐑𝐀𝐒𝐈𝐀 𝐍𝐈 𝐊𝐔𝐇𝐄𝐒𝐇𝐈𝐌𝐔 𝐒𝐇𝐄𝐑𝐈𝐀 "Unapovunja sheria za nchi heshima yako haitoheshimiwa, serikali haitokuheshimu,"- Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaAnafanikisha
5
20
30
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
12 days
𝐌𝐚𝐛𝐨𝐫𝐞𝐬𝐡𝐨 𝐲𝐚 𝐦𝐚𝐳𝐢𝐧𝐠𝐢𝐫𝐚 𝐲𝐚 𝐮𝐰𝐞𝐤𝐞𝐳𝐚𝐣𝐢 𝐧𝐚 𝐛𝐢𝐚𝐬𝐡𝐚𝐫𝐚 Sheria na kanuni 55 katika sekta za uwekezaji, viwanda, biashara, kilimo, ufugaji, afya, maliasili na utalii zimerekebishwa huku tozo, ada na faini 374 zimefutwa au kupunguzwa.…
Tweet media one
1
18
31
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Mkazi Kagera, Joasen Julius anamshukuru M/Kiti wa CCM, Mhe. Rais Samia kwa ziara aliyoifanya mkoani Kagera. Anasema kupitia mikopo na fedha zilizotolewa kwa ajili ya miradi chini ya uongozi wa Rais Samia, watu wenye ulemavu wanawezeshwa na kupunguza utegemezi. #MamaAnafanikisha
1
11
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Kuhusu mabehewa mapya: Rais Samia Suluhu ameagiza fedha kwa ajaili ya ununuzi wa mabehewa mapya ya abiria, treni za kisasa na vichwa vipya vya treni zitolewe. Kwa sasa tutatumia vichwa vilivyotumika wakati #MamaAnafanikisha upatikanaji wa vipya.
2
15
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Aprili 22,2021 akilihutubia Bunge la Tanzania, Mhe. Rais Samia Suluhu aliahidi kuweka mifumo rafiki ya ukusanyaji wa kodi. #MamaAnafanikisha hilo na matokeo yanaonekana. Kwa mwaka wa fedha 2021/22, Mamlaka ya Mapato imeongeza makusanyo kwa 22.77% ikilinganishwa na 2020/21.
3
11
28
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
𝐀𝐣𝐢𝐫𝐚 𝐤𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐚𝐟𝐲𝐚 ✅Kiasi kilichotengwa - Shilingi bilioni 899.4 ✅Matumizi - Kuajiri wahudumu wa afya ngazi ya jamii 137, 294 Wahudumu wa afya ngazi ya jamii wanajengewa uwezo ili waweze kutoa huduma bora za afya kwa wananchi. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
17
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
11 months
Rais Samia Suluhu ameialika timu ya Yanga SC kwa chakula cha jioni Ikulu, Dar es Salaam kesho tarehe 05 Juni, 2023. Lengo ni kuipongeza kwa kufanya vizuri katika michuano ya kugombea Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF). #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
9
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
Katika kipindi cha #MiakaMitatuYaMama jumla ya miradi ya uwekezaji 1,188 sawa na ongezeko la 63.19% imesajiliwa ikilinganishwa na miradi 728 iliyosajiliwa kipindi cha Machi, 2018 hadi Machi 10,2021. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
21
28
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
M/Kiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu anafanikisha dira ya maendeleo kama inavyoelekezwa na ilani ya CCM (2020-2025). Karibu katika kurasa hizi zinazoangazia mafanikio tunayoyapata kupitia uongozi wa Mhe. Rais Samia Suluhu. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
4
13
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Tangu Mhe. Rais Samia Suluhu aingie madarakani, Serikali imejenga na kukarabati vituo vya Afya 304 ili kutoa huduma kwa wajawazito wanaopata uzazi pingamizi wakati wa kujifungua. Hadi Machi, 2022 vituo 250 (8.2%) vilikuwa vimeanza kutoa huduma. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
3
9
28
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
12 days
Bandari ya Mtwara imepokea boti maalum ya kuongozea meli (tug boat) mpya yenye thamani ya shilingi bilioni 25 itakayosaidia katika kuongeza ufanisi. Tug boat hiyo ya kisasa imetengenezwa nchini Vietnam na kupewa jina la Msanga Mkuu. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
18
29
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
8 months
Hapa ni wapi? Hapa ni Ruangwa Maelfu ya wananchi wa Ruangwa mkoani Lindi wamejitokeza Barabarani kumsikiliza Rais Samia Suluhu Hassan ikiwa ni mwendelezo wa ziara yake mkoani humo. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
15
27
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
"Kwa upande wetu Tanzania, licha ya mchango wetu wa chini wa uzalishaji, tunafanya sehemu yetu. Katika COP28 hii, tunatafuta kuhamasisha msaada kwa matumizi zaidi ya nishati safi na nafuu ya kupikia na teknolojia kote Afrika, hasa kwa wanawake."- Rais Samia Suluhu…
Tweet media one
1
17
28
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 year
Waziri wa Fedha na Mipango, Dkt. Mwigulu Nchemba akieleza namna ambavyo Rais Samia Suluhu alivyoongeza bajeti ya kilimo ikiwa ni njia moja wapo ya kukabiliana na uhaba wa chakula. #MamaAnafanikisha
0
8
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
#MiakaMitatuYaMama Serikali imeongeza miundombinu ya usafirishaji wa umeme kutoka kilomita 6,111.27 mwaka 2021 hadi kilomita 7,745.38 Februari 2024. Kuongezeka kwa miundombinu hiyo kunaongeza upatikanaji wa umeme wa uhakika. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
17
27
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Rais Samia Suluhu amewapandisha madaraja watumishi ambao kwa zaidi ya miaka mitano walikuwa hawajapanda madaraja. Zaidi ya TZS bilioni 58.3 zitatumika kulipa mishahara iliyopandishwa. #MamaAnafanikisha nia yake ya kuboresha maisha ya watumishi wa umma na Watanzania kwa ujumla.
Tweet media one
0
6
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Jumla ya vijiji vyote 360 mkoani Iringa vimefikishiwa huduma ya umeme. #MamaAnafanikisha utekelezaji wa vitendo wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi inayoiagiza Serikali kuhakikisha ifikapo mwaka 2025 vijiji vyote nchini viwe vimefikishiwa umeme.
Tweet media one
2
17
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
Ripoti zinazotolewa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali na Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU zinaisaidia Serikali katika ukusanyaji wa mapato. #MiakaMitatuYaMama #MamaAnafanikisha
1
15
27
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
21 days
Rais Samia Suluhu amemaliza ziara yake nchini Uturuki ambapo katika ziara hiyo Hati 6 za makubaliano yanayolenga kujenga na kuendeleza uhusiano kwa manufaa ya nchi zote mbili zilisainiwa. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
16
27
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 year
Ujumbe kutoka kwa Qayllah Nurdin Bilal, Mjumbe wa Kamati ya Uendeshaji Chipukizi Mkoa wa Dar es Salaam kuhusu Maadhimisho Ya Miaka 46 ya Kuzaliwa Kwa Chama Cha Mapinduzi. #MamaAnafanikisha
2
8
27
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
𝐉𝐄, 𝐖𝐀𝐉𝐔𝐀? Ujenzi wa reli ya SGR unaifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza Afrika inayojenga mtandao mrefu zaidi kuliko nchi yoyote barani Afrika. Tanzania inaingia kwenye historia ya kujenga reli itakayotumia nishati ya umeme. #MiakaMitatuYaMama #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
2
19
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
𝐑𝐎𝐘𝐀𝐋 𝐓𝐎𝐔𝐑 𝐈𝐍𝐀𝐄𝐍𝐃𝐄𝐋𝐄𝐀 𝐊𝐔𝐉𝐈𝐁𝐔 Ni baada ya kuwasili kwa meli kubwa ya Norwegian Down katika Bandari ya Dar es Salaam ikiwa na watalii zaidi ya 2,000 kutoka mataifa mbalimbali. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
4
14
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Kwa mwaka 2023/2024, Serikali imetenga jumla ya shilingi bilioni 35.4 kwa ajili ya kuboresha huduma za usambazaji wa maji katika Jiji la Dar es Salaam na maeneo jirani. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
15
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
𝐊𝐖𝐀𝐇𝐄𝐑𝐈 𝐋𝐎𝐖𝐀𝐒𝐒𝐀 Rais Samia Suluhu akishiriki Ibada ya Mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania Hayati Edward Lowassa nyumbani kwake Ngalashi, Monduli Mkoani Arusha leo tarehe 17 Februari, 2024.
Tweet media one
3
16
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Joto Band wako juu ya Daraja la J.P Magufuli (Kigongo-Busisi), wanafurahia namna ambavyo Rais Samia Suluhu anatekeleza miradi iliyoachwa na watangulizi wake. #MamaAnafanikisha ujenzi wa daraja hili unaogharimu shilingi bilioni 716.3, huku ujenzi ukiwa umefikia 78%.
3
13
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
#HappyBirthdayMama #Miaka64 Mwanasiasa kutoka nchini Kenya, Martha Karua akituma salaam Siku ya kuzaliwa ya Rais Samia Suluhu Hassan. #MamaAnafanikisha
1
14
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Serikali imetenga kiasi cha shilingi bilioni 1.6 kwa ajili ya kuweka taa za barabarani 308 katika mkoa wa Mara. Uwepo wa taa hizo unaenda kuchochea uchumi wa wajasiriamali kwa kufanya biashara mpaka nyakati za usiku. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
20
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Septemba 19,2023 Rais Samia Suluhu aliweka jiwe la msingi la ujenzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya Kilangala mkoani Lindi na kuwaahidi kuwapatia basi. Desemba 12,2023 ametimiza ahadi kwa kuwapatia basi aina ya Coaster kwaajili ya usafiri shuleni hapo. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
11
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 year
Mmiliki wa klabu ya Seattle Sounders ya Marekani, Bilionea Adrian Hanauer amempa heshima Mheshimiwa Rais Samia Suluhu kwa kutangaza utalii kupitia filamu ya Tanzania The Royal Tour. Kupitia mechi ya Ligi Kuu ya Soka ya Marekani, mashabiki takribani 31,620 na mamilioni waliokua…
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
2
10
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Mkuu wa Wilaya ya Mtwara, Mhe. Dunstan Kyobya anaeleza mambo ambayo #MamaAnafanikisha katika Wilaya hiyo. Mhe. Rais Samia Suluhu amewekeza katika afya, elimu, miundombinu na sekta zote zinazogusa maisha ya watu.
2
8
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Serikali ya CCM inayoongozwa na Rais Samia Suluhu imetoa fedha kiasi cha shilingi bilioni 10 (TZS) kwa ajili ya kukarabati baadhi ya viwanja vya michezo nchini. Mchambuzi wa michezo, Jemedari Said anaeleza mambo mengine ambayo #MamaAnafanikisha kwenye sekta ya michezo nchini.
3
8
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Jumla ya shilingi milioni 69 zimetumika kujenga vyumba viwili vya madarasa, ofisi pamoja na matundu nane ya vyoo katika Shule ya Msingi Esukuta. #MamaAnafanikisha maboresho ya miundombinu ya sekta ya elimu ili wanafunzi waweze kusoma kwenye mazingira bora na salama.
Tweet media one
1
15
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Ziara ya Rais wa Jamhuri ya Shirikisho la Ujerumani, Mheshimiwa Mheshimiwa Frank-Walter Steinmeier nchini inalenga kukuza ushirikiano uliojengwa kwenye misingi ya kuheshimiana na kuaminiana. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
14
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
11 days
Mchango wa Sekta ya Madini kwenye Pato la Taifa waongezeka. ✅Mwaka 2020 - 6.7% ✅Mwaka 2022- 9.1% Ongezeko hili linaakisi dhamira ya Serikali kuhakikisha sekta ya madini inaimarika na kuweza kuchangia 10% katika Pato la Taifa ifikapo mwaka 2025. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
15
26
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Ilani ya Uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020-2025 ibara ya 18a (iii) inaielekeza Serikali kuongeza kasi ya kuboresha mazingira ya biashara na uwekezaji. Agizo hilo linatekelezwa kwa vitendo kwani sasa kuna ongezeko la jumla ya miradi 137 mwaka huu kutoka 82 mwaka jana…
Tweet media one
0
18
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
#MamaAnafanikisha fursa za ajira kwa vijana. Hizi hapa ni nafasi 123 za ajira zilizotangazwa na wizara ya afya.
Tweet media one
2
16
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
10 months
Serikali inaanzisha programu ya Mkulima na Kisima ambapo wakulima watachimbiwa visima na kuwekewa mtandao wa umwagiliaji wa ekari 2.5 kwa kila mkulima mdogo. Lengo ni kuhakikisha wakulima wanakuwa na uhakika wa maji ya kumwagilia mazao yao misimu yote. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
3
16
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
8 months
𝐁𝐨𝐞𝐢𝐧𝐠 𝟕𝟑𝟕 𝐌𝐀𝐗 𝟗 Karibu nyumbani | Oktoba 3, 2023 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
22
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Juhudi na usimamizi mzuri wa mikakati ya kukuza vivutio vya kitalii, zimeleta idadi kubwa ya watalii ambayo haijawahi kufikiwa tangu nchi ipate uhuru. Mwaka 2023 idadi ya watalii ilikua milioni 1.8 sawa na ongezeko la 100% ikilinganishwa na ile ya mwaka 2022 watalii laki 922.…
Tweet media one
2
17
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
Kutokana na uwepo wa mazingira mazuri ya ufanyaji biashara na uwekezaji nchini, Tanzania imeendelea kuwa kitovu cha uwekezaji na nchi yenye uchumi unaokua kwa kasi Kusini mwa Jangwa la Sahara. Ukuaji wa pato la taifa. ✅Mwaka 2022- 4.7% ✅Mwaka 2023- 5.0% #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
19
25
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
25 days
Ujenzi wa Bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko yenye thamani ya shilingi bilioni 289.5 ambayo kukamilika kwake kutaziwezesha meli za uvuvi zinazovua katika ukanda wa uchumi wa Bahari ya Tanzania (EEZ) na Bahari Kuu kutia nanga. Haya ni matunda ya muungano. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
16
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
Wanafunzi wapatao 332 wa darasa la kwanza hadi darasa la sita wamehamia katika Shule mpya Legeza Mwendo iliyopo manispaa ya Lindi. Ujenzi wa shule hiyo unawapunguzia wanafunzi wa Kijiji cha Legeza Mwendo adha ya kutembea umbali mrefu kufuata masomo. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
15
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Muonekano wa kabla na baada ya ujenzi wa nyumba pacha za walimu wa Shule ya Msingi Mfumbi, Kitandililo zilizogharimu shilingi milioni 61.8. #MamaAnafanikisha makazi bora na salama kwa watumishi wa umma.
Tweet media one
0
18
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Msimu ujao wakulima watauza kilo ya tumbaku kwa wastani wa dola za Kimarekani 2.5 -3, ongezeko kutoka msimu uliopita (waliuza kilo kwa wastani wa dola za Kimarekani 1.65) Hiyo ni kutokana na hatua zilizochukuliwa na Rais Samia Suluhu ikiwemo kutafuta masoko. #MamaAnafanikisha
1
10
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Maboresho ya miundombinu ya Bandari ya Dar es Salaam yameanza kuleta matokeo chanya. Kupitia maboresho hayo sasa kuna ongezeko la idadi ya shehena inayohudumiwa kwa mwezi kutoka makasha 80,000 hadi 100,000. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
15
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
𝐒𝐡𝐮𝐥𝐞 𝐲𝐚 𝐌𝐬𝐢𝐧𝐠𝐢 𝐔𝐭𝐞𝐧𝐠𝐮𝐥𝐞 Muonekano wa kabla na baada ya ujenzi wa Shule ya Msingi Utengule. #MiakaMitatuYaMama ameboresha miundombinu ya sekta ya elimu ili wanafunzi waweze kusoma kwenye mazingira mazuri. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
18
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
📍𝐙𝐢𝐚𝐫𝐚 𝐈𝐧𝐝𝐨𝐧𝐞𝐬𝐢𝐚 "Tanzania inaendelea kuthamini upatikanaji wa nishati safi na teknolojia salama za kupikia. Upatikanaji wa nishati safi ya kupikia si tu unaimarisha jamii zetu, bali pia unalinda miti yetu."- Rais Samia Suluhu Hassan #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
15
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
“Serikali inayojali inawafikiria wananchi wake, wakisema inawasikiliza” Mchungaji Richard Hananja akieleza kuhusu hatua zilizochukuliwa na serikali ya Rais Samia Suluhu kufuatia maoni ya wananchi kuhusu tozo. #MamaAnafanikisha
2
10
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
Rais Samia Suluhu Hassan anajibu maombi ya wananchi wake. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
14
24
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
"Serikali itaendelea kuweka mazingira yanayovutia uwekezaji endelevu katika sekta zote za kiuchumi, na kwamba uwekezaji unaofanyika uko salama na utakuwa salama muda wote" M/Kiti wa CCM, Mhe. Rais Samia akizungumza mkoani Kagera leo hii. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
2
9
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Kutokana na maboresho ya sera, kanuni na sheria za uwekezaji zilizofanywa na Rais Samia Suluhu, kumekuwa na ongezeko la miradi ya uwekezaji kutoka nje ya nchi kuanzia mwezi Julai mwaka jana hadi Septemba 2023. ✅2022 - Miradi 38 ✅2023 - Miradi 49 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
14
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Kiwanda cha kuzalisha mipira ya mikono kilichopo Idofi, Makambako kimeanza rasmi kazi ya uzalishaji baada ya kupewa ithibati ya ubora. Uwepo wa kiwanda hicho utapunguza uagizaji wa bidhaa hii kutoka nje ya nchi na kupunguza matumizi ya fedha za kigeni. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
0
16
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
𝐒𝐇𝐀𝐍𝐆𝐖𝐄 𝐋𝐀 𝐔𝐓𝐀𝐋𝐈𝐈 #MiakaMitatuYaMama idadi ya watalii wa kigeni imeongezeka kwa 95% kutoka 922,692 mwaka 2021 hadi milioni 1.8 mwaka 2023. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
17
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Mwongozo wa utoaji mikopo ya elimu kwa wanafunzi wa stashahada kwa mwaka 2023-2024. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
13
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
"Haja ya suluhisho la nishati safi ya kupikia ni eneo lingine lenye umuhimu mkubwa, na tunapenda kukupongeza kwa uzinduzi wa Programu ya Kusaidia Wanawake wa Kiafrika katika Kupikia Nishati Safi mwezi Desemba mwaka uliopita."- Mfalme Harald V wa Norway #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
17
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Ujenzi wa jengo la ofisi ya Wizara ya Maliasili katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma umekamilika na rasmi limekabidhiwa kwa wizara hiyo. Ujenzi wa jengo hilo unakamilisha azma ya serikali kuhamia Dodoma. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
14
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Rais Samia Suluhu amewasili nchini Norway na kupokelewa na Mfalme Herald na Malkia Sonja. Ziara hii inaadhimisha miaka 60 tangu kuanzishwa kwa uhusiano wa kidiplomasia kati ya Norway na Tanzania. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
2
11
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
Mageuzi yaliyofanyika kwenye sekta ya kilimo kwa mwaka 2021, yalifanikisha sekta hiyo kuchangia 26.1% katika Pato la Taifa, kutoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa 65.6% na kuchangia 65% ya malighafi za viwanda. Kazi bado inaendelea. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
13
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
𝐊𝐀𝐑𝐈𝐁𝐔 𝐓𝐀𝐍𝐙𝐀𝐍𝐈𝐀 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
26 days
Jina lake linaakisi matendo na kazi zake. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
16
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Mwanza (MWAUWASA) imepokea shehena ya mabomba ya ukubwa wa nchi 12 kwa ajili ya kuendeleza mtandao wa usambazaji maji kwa umbali wa kilomita 6.9 kutoka eneo la Buswelu hadi Ilalila, wilayani Ilemela. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
14
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
𝐇𝐮𝐝𝐮𝐦𝐚 𝐳𝐚 𝐂𝐓 𝐒𝐜𝐚𝐧 𝐬𝐚𝐬𝐚 𝐳𝐢𝐧𝐚𝐩𝐚𝐭𝐢𝐤𝐚𝐧𝐚 𝐒𝐨𝐧𝐠𝐰𝐞 Uwepo wa CT Scan hiyo unaenda kupunguza gharama kwa wagonjwa waliokuwa wakisafiri kwenda Hospitali ya Rufaa ya Kanda Mbeya na Hospitali ya Taifa Muhimbili Dar es Salaam. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
17
23
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Malengo ya upanuzi wa bandari ya Mtwara uliofanywa na Mhe. Rais Samia Suluhu, ni pamoja na kurahisisha usafirishaji wa korosho. #MamaAnafanikisha : Kampuni ya Sibatanza imetumia bandari ya Mtwara kusafirisha korosho tani 15,800 zilizokuwa zimesalia katika mavuno ya msimu uliopita
Tweet media one
3
8
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Kituo cha Kupokea, Kupoza na Kusafirisha Umeme cha Lemuguru kinachogharimu shilingi bilioni 14.2 kukamilika Februari 28,2024. Mradi huu unaoiunganisha Tanzania na Kenya kwa msongo wa kilovoti 400 utakuwa na uwezo wa kusafirisha megawati 2,000. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
#MiakaMitatuYaMama mtandao wa barabara mkoani Pwani umeongezeka na kufikia jumla ya KM 5,140 kati ya hizo km 95 ni za lami, km 1,100 za changarawe na km 3,945 ni udongo. Ongezeko la barabara hizo umesaidia kuufungua mkoa wa Pwani kiuchumi. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
Tweet media four
1
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Ujerumani ni miongoni mwa nchini 10 zinazoongoza kwa uwekezaji nchini. Kwa mujibu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), thamani ya uwekezaji wa miradi ya Kijerumani nchini ni Dola za Marekani milioni 408.11. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
19
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
#MiakaMitatuYaMama Serikali inaendelea na ujenzi wa yadi na sakafu ngumu yenye ukubwa wa hekta tano katika Bandari Kavu ya Kwala kwa ajili ya kuhifadhi shehena za mizigo ambapo utekelezaji umefikia asilimia 96. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
14
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
Takwimu za Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) zinaonyesha ongezeko la 67% ya miradi ya uwekezaji nchini kuanzia mwezi Julai mwaka jana hadi Septemba 2023. ✅2022- Miradi 82 ✅2023- Miradi 137 #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
13
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
Ndani ya kipindi cha miaka mitatu ya uongozi wa Rais Samia Suluhu Hassan, Halmashauri ya Wilaya ya Siha imepokea jumla ya shilingi bilioni 10.9 zilizotumika kuboresha sekta ya elimu sekondari. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
1
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
#MamaAnafanikisha 𝐮𝐭𝐚𝐰𝐚𝐥𝐚 𝐰𝐚 𝐡𝐚𝐤𝐢 Katiba ya Tanzania Ibara ya 13 (1) inalinda haki ya kila mtu kutendewa kwa usawa na kuheshimiwa na sheria bila ubaguzi. Hii inamaanisha hakuna mtu anayepaswa kunyimwa haki. Oktoba 28,2021 Rais Samia Suluhu alisema "Niwahakikishie…
Tweet media one
1
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
"Rais Samia Suluhu anafanya kile ambacho anasema atakifanya" Mwanahabari Irene Killenga akizungumza baada ya kuona nia ya CCM chini ya Mwenyekiti, Mhe. Rais Samia Suluhu kufufua mchakato wa mabadiliko ya Katiba. #MamaAnafanikisha
3
12
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
3 months
𝐅𝐔𝐑𝐒𝐀 𝐙𝐀 𝐒𝐆𝐑 Mradi wa kimkakati wa ujenzi wa reli ya kiwango cha kimataifa (SGR) umezalisha ajira zaidi ya 20,000 za moja kwa moja na ajira zaidi ya 80,000 zisizo za moja kwa moja. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
1
16
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
#MiakaMitatuYaMama Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan kwa kutimiza miaka mitatu madarakani. Ndani ya muda huo Tanzania imepata maendeleo endelevu na mafanikio makubwa kutokana na uongozi wako thabiti. Kwa ujasiri wako, hekima na kujitoa kwa wananchi, umekuwa mfano bora na…
Tweet media one
1
15
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
6 months
#MamaAnafanikisha ujenzi wa jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali Mtumba, jijini Dodoma kufikia 69%. Ujenzi wa majengo hayo yanakamilisha azma ya serikali kuhamia Dodoma.
Tweet media one
0
14
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
4 months
𝐉𝐄, 𝐖𝐀𝐉𝐔𝐀? Maboresho yaliyofanyika katika Bandari ya Tanga yanaenda kuiongezea uwezo wa shehena ya kahawa ambayo itapitia Tanga kutoka tani 40,000 hadi tani 100,000 kwa mwaka kwenda ng'ambo. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
15
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
1 month
Katika kipindi cha #MiakaMitatuYaMama Taasisi ya Saratani Ocean Road ilitoa msamaha kwa wagonjwa 42,952 yenye thamani ya shilingi bilioni 102.98. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
12
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
#MiakaMitatuYaMama amefanikiwa kujenga gati jipya katika Bandari ya Mtwara lenye mita 300 na kina cha mita 13 zinazoruhusu meli kubwa zenye uwezo wa tani 65,000 kuhudumiwa bandarini hapo. Ujenzi wa gati hilo umeiwezesha Bandari ya Mtwara kuwa na uwezo wa kuhudumia tani milioni…
Tweet media one
2
18
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
"Vilevile ili kuweza kuendana na malengo tuliyojiwekea upimaji unaozingatia haki utasaidia kupata nguvu kazi sahihi itakayoshiriki kikamilifu katika ujenzi wa Taifa."- Rais Samia Suluhu Hassan #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
11
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
7 months
Reli ya TAZARA ni moja ya mradi unaoashiria udugu wa Tanzania na Zambia. Moja ya malengo ya #ZiaraYaMamaZambia ni kuimarisha ufanisi wa reli hiyo kwa manufaa ya wananchi wa pande zote. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
14
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
#MiakaMitatuYaMama amefanikiwa kuwatua ndoo kichwani wananchi wa Babati kwa kuwapelekea miradi mikubwa miwili ya maji inayohudumia zaidi ya wananchi 162,000. #MamaAnafanikisha
1
16
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
5 months
"Kuweka mfumo wa lengo la dunia kuhusu ujumuishi ni suala la dharura na si chaguo. Tunapaswa kulinganisha nia zetu na vitendo vyetu na lazima tuchukue hatua sasa. Hivyo basi, uamuzi uko kwetu. Tunapaswa kufuata sayansi au kukabiliana na matokeo."- Rais Samia Suluhu…
Tweet media one
0
15
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
"Tanzania itaendeleza undugu na ushirikiano wa Kihistoria na Kenya uliodumu miaka na mikaka." Rais Samia Suluhu (Agosti 15,2022 kupitia ukurasa wake wa 'Twitter'). #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
13
22
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Daraja la Wami ni kiungo muhimu katika usafiri na usafirishaji hususan kwa mikoa ya Kaskazini mwa nchi yetu. Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imefikia 98% katika ujenzi wa daraja jipya katika eneo hilo, hali itakayoboresha sana usafiri na kuimarisha uchumi. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
7
8
20
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 years
Kumekuwa na maswali kuhusu kukatika kwa umeme, Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba ametoa majibu. Mwenyekiti wa CCM, Mhe. Rais Samia Suluhu anafungua nchi hivyo matumizi ya nishati yameongezeka. #MamaAnafanikisha kuongeza uzalishaji wa nishati, na kuboresha miundombinu.
5
13
21
@mamanafanikisha
Mama Anafanikisha
2 months
Serikali inatambua umuhimu wa sekta ya usafiri na usafirishaji na ndio maana inafanya maboresho ya ujenzi na ukarabati wa miundombinu ya barabara kwa lengo la kukuza shughuli za uchumi na kijamii. #MamaAnafanikisha
Tweet media one
0
15
21