
Tanzania Yetu.🇹🇿
@_TanzaniaYetu
Followers
7K
Following
49K
Media
3K
Statuses
42K
Mambo Mazuri Yanayofanyika kwenye Nchi yetu ya Tanzania 🇹🇿
Tanzania
Joined October 2020
Serikali itahakikisha sekta ya kilimo inakua kutoka 6% mpaka 10%. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
2
4
TAARIFA KUTOK JESHI LA ULINZI LA WANANCHI WA TANZANIA
125
24
87
Afya ya maji ni afya ya Taifa kutoka maabara 1 hadi 7 ndani ya miaka minne,Ubora wa maji sasa unasimamiwa kisasa zaidi. Oktoba29 Tunatiki Samia
JE, WAJUA? Mwaka 2021 kulikua na maabara 1 ya ubora wa maji ambayo ilikua Mwanza lakini sasa nchi ina maabara 7. Maabara hizo zipo Singida, Shinyanga, Kigoma, Bukoba, Musoma na Dar es Salaam. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
9
9
Kagera ina halmashauri 8 zote zikiwa na hospitali mpya za kisasa. Zaidi ya hapo, vituo vya afya 13 na zahanati 66 vimejengwa huduma za afya ziko karibu na wananchi, maisha yameboreshwa. Oktoba29 Tunatiki Samia.
0
11
11
🚨 ATTN. New Jersey: MIKIE SHERRILL… - Refuses to commit that she won’t raise New Jersey’s sales tax. - Her plan will “cost you an arm and a leg, but if you’re a good person, YOU’LL DO IT.” As Governor, Mikie Sherrill will make YOU PAY! Vote AGAINST her on 11/4.
11
31
73
Serikali itaanzisha kongani za viwanda kila wilaya, ili kuongeza thamani ya mazao na kutoa ajira kwa vijana Kagera. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
2
2
Kupitia mpango wa Elimu ya Wasichana (SEQUIP), serikali imejenga shule za kisasa za wasichana katika wilaya za Karagwe, Ngara na Muleba, zikiwa na mabweni, maabara na madarasa ya TEHAMA. Oktoba29 Tunatiki Samia
22
50
43
FTMO Verified prop traders walk their path. Rise now and start your FTMO Challenge!
2
6
43
FCA: Drivers overcharged on car finance could get refunds. £8.2 billion in compensation proposed, avg £700 each. See if your agreement qualifies T&Cs apply
0
12
97
Serikali itajenga kingo pembezoni mwa mto Kanoni ili kuzuia mafuriko Bukoba mjini. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0
Serikali itajenga kiwanja kipya cha ndege kwa kiwango cha kimataifa Kagera. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0
Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara ya Murugalama–Rulenge–Nyakahula Km 85 na kuijenga kwa lami barabara ya Bwanjai–Buyango pamoja na barabara za ndani na Matukula mjini. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0
Serikali itakamilisha ujenzi wa barabara ya Rusahunga–Rusumo Km 92 yenye thamani ya shilingi bilioni 153.560. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
1
Serikali itahakikisha sekta ya kilimo inakua kutoka 6% mpaka 10%. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
2
4
Serikali itamalizia ujenzi wa miradi yote ya maji iliyobakia, ili kila mwananchi wa Kagera apate huduma ya maji safi na salama. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
2
Serikali itaanzisha kongani za viwanda kila wilaya, ili kuongeza thamani ya mazao na kutoa ajira kwa vijana Kagera. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0
Serikali itajenga vituo vya kupokea, kupooza na kusambaza umeme, ili Kagera iwe na uhakika wa upatikanaji wa umeme mwaka mzima. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0
Serikali itamalizia kusambaza umeme kwenye vitongoji vyote vilivyobakia. Oktoba29 Tunatiki Samia
0
0
0