fact255 Profile Banner
humble Profile
humble

@fact255

Followers
6K
Following
106K
Media
584
Statuses
39K

manifestation of national and transnational crimes

Joined May 2018
Don't wanna be here? Send us removal request.
@fact255
humble
1 year
Usiwahi kubali ni wewe hata kama kuna evidence zote😎
27
69
104
@fact255
humble
2 days
Uzuri na wewe ni kijana na upo karne hii unaweza fanya chako tukupe maua
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
2 days
Vijana wa zamani wa Tanzania walikuwa hatari sana, mtu ni major wa jeshi ana miaka 23/24 anajaribu kupindua nchi Jamaa wengine waliingia Airport na kuteka ndege ya abiria na kusafiri nayo hadi Uingereza mpaka Waziri Mkuu wa🇬🇧akaingilia kati😀 Sio hawa wasasa madancer Tiktok😀
1
0
4
@Archiles_Dulle
🇦 🇷 🇨 🇭 🇮 🇱 🇪 🇸
4 days
@munyamambogo Ustaarabu ya Utu wanaita ni ushamba ila Uchokoraa na Ujinga wanasema ni Ujanja, tofauti ya Pwani na Kanda ya Ziwa waamini watu wa kanda ya Ziwa kwa ustaarabu wao ni wajinga ila wa Pwani kwa ujinga wao na kukosa utu wanaamini ndo ujanja
3
3
27
@ezekiel_kamwaga
Ezekiel ‘Top Pen’ Kamwaga
6 days
Uteuzi wa wapi? Nina furaha nilipo na I will speak my mind. Nimeanza kuweka mawazo yangu hadharani wakati ukiwa pr school na nitaendelea kuzungumza. If you don’t like it, it’s none of my business. Wewe ndiyo muongo. Ushahidi ni twiti yako ya Mzee Warioba. Ule ndiyo uongo
@TitoMagoti
Tito Magoti
6 days
Kaka @ezekiel_kamwaga, kwa ulipofikia hata uteuzi hautakusaidia. Pole sana kwa kudanganya utamsaidia Abdul kumlinda mama yake ktk media. Najua, na unajua kuwa, hauko pepe yako. Ila umewaangusha sana. Na bado!
2
1
9
@fact255
humble
9 days
Huyu ni wewe?
@mhdhamad
mhd
10 days
I drove from Dodoma to Rungwe 1500+ km go and return. Paid for fuel, meals, water, accommodation, drone license, and gave my time and creativity. How can I give you my pictures for free? I own my work. Respect that. 🙏🏻
0
0
1
@fact255
humble
13 days
Aibu kwenye biashara yako Hebu kuwa serious basi
@NjiwaFLow
James Munisi
13 days
💨 Kuna watu hawana hata aibu.
0
0
0
@fact255
humble
17 days
Kabisa
@Katinila
Raphael Nath
18 days
@skool_tz @nulphin @MariaSTsehai @HildaNewton21 @lifeofmshaba Hate to burst the bubble for you,mapinduzi ya kijeshi hayaombwi wala kutangazwa kabla.Yanatokea kun faya kun.
0
0
0
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
18 days
“Jitahidi ule kabla ya kikao cha deal, mtu mwenye njaa anaongeaga ujinga”
23
81
733
@Sativa255
SATIVA17
19 days
Tukimaliza kuikomboa nchi, huyu KIBAKA nitamtafuta. 🤣🤣
105
120
1K
@daudibalali
Daudi T. Balali
19 days
information smoke screen
0
277
1K
@Chizzodrama
chizzo drama
20 days
MAMA MKUBWA /MDOGO - Wanajua wewe ni mtoto wa Nani kuliko baba yako BABA MKUBA /MDOGO ~ Ndiyo wanajua idadi kamili ya watoto katika familia yenu na Mali za baba yenu kuliko hata mama yenu MASHANGAZI ~ Ndiyo wanajua historia ya mama yenu vizuri MJOMBA ~ ana mind biz zake
12
35
295
@fact255
humble
20 days
I thought uko smart enough
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
20 days
Kama utani vile……
0
0
0
@o_mwandi
mwandi
26 days
i wanna be that person who posts nothing on whatsapp status
241
748
6K
@fact255
humble
29 days
Kwa level aliyopo huyu dogo anunue tu account kubwa so simple watu watamfuata tu Muda sahihi wa kuwasiliana na venga
@EsirEid
🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿
29 days
#TajiriLaKihaya Duh🙌🏻
0
0
0
@fact255
humble
29 days
Taarifa umetoa wapi mkali au unataka kusound different tu😂😂
@ZenjiboyZnz
MZANZIBARI🇵🇸🇹🇿
29 days
@EsirEid Kwa taarifa nlizonazo ni kwamba mafwele anahusika ... police wamesema watafungia account znazohamasishwa maandamano Tutakuwepo
1
0
2
@MarekaMalili
Lubasha Jr
29 days
@fact255 Uwe mbwa mkali
1
1
1
@iam_sitty
𝐢𝐚𝐦_𝐬𝐢𝐭𝐭𝐲 💚😻
29 days
😂😂
29
48
936
@fact255
humble
29 days
Zipo but kwa kipato cha 10 to 20k per day kwa huo mtaji inabidi uwe na usimamizi mkali sana tena sio kidogo
@MarekaMalili
Lubasha Jr
30 days
Business Ideas zenye mtaji wa kuanzia 300k-1M, ambayo haihitaji usimamizi sana, unaweza kuokota 10-20k per day, isiwe na operation costs tofauti na mtu mmoja tuu wa kusimamia.
1
0
0
@fact255
humble
1 month
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 month
@fact255 Hakuna neno lazima hapo, umesoma kwa wenge tweet.
0
0
0
@fact255
humble
1 month
Futa hio neno lazima
@chapo255
SANUKAnaCHAPO
1 month
''Mfanyabiashara ili afanikiwe zaidi njia rahisi ni akope bank, kama mfanyabiashara hana mkopo bank kutoboa ni ngumu, bank ndio njia salama ya kulinda biashara.''
2
0
36
@IAmHaule
IAmHaule
1 month
Unapokuwa kijana maskini, unakuwa na pressure mbili: 1. Pressure ya kujikomboa. 2. Pressure ya kuikomboa familia. Na mara nyingi huna cha kujifunzia, huna mtaji, huna mentor.Unajifunza kwa kupigwa. Na si kila mtu huamka baada ya anguko.
3
60
194