barakamassam
@barakamassam1
Followers
76
Following
151
Media
16
Statuses
93
INSURANCE , AUTOMOTIVE AND SPARE PARTS
Dar es Salaam, Tanzania
Joined February 2016
Jiunge sasa na Bima ya Afya ya Jamii (CHF) iliyoboreshwa kwa gharama nafuu kabisa. Soma utaratibu wa kufuata, huduma na gharama kwenye picha 👇
12
15
65
Hakuna faraja inayozidi kumsikia Amiri Jeshi Mkuu wa #JamhuriYaWapambanaji akitoa pongezi za dhati kwa wapambanaji wake na kutambua mchango wao katika kupeperusha bendera ya uzalendo. Hii sio kwa wafanyakazi wa CMG pekee, inakuhusu hata wewe mwanafamilia wetu🇹🇿 #Naiaminia255
45
23
554
Misa Takatifu. : JPM katika Ibada ya Jumapili, Dominika ya 20 ya Mwaka “A” Agosti 16, 2020. : Katika Parokia ya Bikira Maria Imakulata, Chamwino - Ikulu.
46
58
533
“Nikutake radhi pia Emmanuel Mbasha Mimi sina tatizo lolote binafsi na Wewe kilichotokea ni kukwazika na kauli yako uliyotoa dhidi yangu kwenye tukio kubwa la Kitaifa lililotazamwa na Mamilion ya Watanzania” -ADAM MCHOMVU #MillardAyoUPDATES
34
21
564
“Sisi wote Vijana kuna muda tunakosea na tunawekana sawa japo njia zingine si nzuri, Asante kwa Jeshi la Polisi chini ya IGP Simon Sirro kwa maelekezo yenu. Nitayatii na kwa sasa mimi ni Balozi wenu wa hiari kabisa... 🇹🇿” -ADAM MCHOMVU #MillardAyoUPDATES
34
29
904
“Tetemeko limetokea Pwani ya Bahari ya Hindi, ilikuwa saa 2:13 usiku hatuwezi kujua madhara yatakuwaje, Watu wabaki ndani, Tetemeko limetokea, linafuatiwa na Matetemeko madogomadogo, wasipaniki wakakimbiakimbia”-Gabriel Mbogoni, Ofisa wa Wakala wa Geologia https://t.co/3ZWqO5Zq2t
9
12
254
Nimesikitishwa na taarifa za kifo cha ghafla cha Rais wa Chama cha Wanamuziki wa Injili Tanzania, Dkt. Donald Kisanga aliyefariki dunia kwa ajali ya gari Jijini Dodoma. Mungu amweke mahali pema peponi, Amina.
735
418
6K
UPDATE: At least 70 people have been killed and more than 3,000 injured in a huge explosion in the Lebanese capital Beirut. More on this story
11
31
86
“Nawapongeza waliotia nia lakini niwahakikishie hakuna aliyetumwa na mimi, Makamu wa Rais, Waziri Mkuu, Mzee Mangula wala Katibu Mkuu, kama wapo wanaosema mimi nimewatuma ni waongo na hii meseji iwafikie Wana-CCM wote nyinyi wapimeni wagombea kulingana na mnavyoona wanafaa”-JPM
7
39
499
Rais @MagufuliJP amesema mpaka kufikia alfajiri ya kuamkia leo zaidi ya wanachama 8,000 wa CCM wamejitokeza kuchukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea ubunge wa majimbo na viti maalum. Mkoa wa Dar es Salaam unaongoza ambao leo asubuhi walikuwa na watia nia 829.
10
5
132
"Mimi nimefukuzwa tena kwa aibu na kutukanwa na vijana ambao ningeweza kuwazaa, na sikutenda kosa lolote hata mbele ya Mungu, kosa nililofanya ni la kugombea Urais 2015, milango imefungwa na kufunguliwa na ACT na nikakaribishwa chumbani" - Bernard Membe. #MembeACTWazalendo
1
12
125
"Leo natangaza rasmi nia yangu ya kuwania Urais wa Tanzania, ninautaka Urais kwasababu nataka kuongoza mageuzi makubwa ya kiutawala, kiuchumi na kielimu yatakayoleta maendeleo ya haraka"- PETER MSIGWA #MillardAyoUPDATES
71
19
883
Exactly 134 days ago, a shared vision to empower 100,000 African entrepreneurs across the continent was created when we partnered with @undp. Our focus was on supporting entrepreneurs in underserved and conflict-prone zones. #TEFxUNDP #ThrowbackThursday #TEF2019
33
282
2K
#UpokeajiGawioIkulu “Ukusanyaji wa mapato ni suala muhimu sana kwa maendeleo ya taifa lolote, hii ndio sababu nchi zote zinazoendelea na zenye kuhitaji maendeleo kwa njia ya kujitegemea zimeweka mkazo mkubwa sana katika ukusanyaji wa mapato”-Rais @MagufuliJP
9
16
72