Msemaji Mkuu wa Serikali
11 hours
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea.