
Gerson Msigwa
@MsigwaGerson
Followers
852K
Following
81
Media
5K
Statuses
5K
The Permanent Secretary of Information, Culture, Arts and Sports || Chief Government Spokesperson of Tanzania.
Dar es Salaam, Tanzania
Joined March 2014
Tuzo ya heshima ya Watanzania kwa Rais wao Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kutoka Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Imekabidbiwa kwake na Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson katika viwanja vya Bunge Jijini Dodona leo tarehe 01 Juni, 2025. #KaziIendelee
90
4
46
Tuzo Maalum ya Heshima kwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Asanteni Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutambua mchango wa Mheshimiwa Rais katika sekta mbalimbali. #KaziIendelee
97
13
133
Leo Mei 24, 2025 vijana wetu wako tayari kwa mapambano. Hili ni tukio la familia nzima. USIKOSE!!!. Shukrani sana kwa Mheshimiwa Rais Dkt. @SuluhuSamia kwa kuendelea kuwaamini vijana na kuwaunga mkono katika kila sekta ikiwemo ndondi. #KnockOutYaMama
110
6
82
Sikiliza nondo za Waziri wa Viwanda na Biashara, Mheshimiwa Dkt. Seleman Jafo kuhusu kazi kubwa ya ujenzi wa viwanda iliyofanyika katika miaka minne ya Serikali ya Awamu ya Sita. Swipe left…. #KaziIendelee
109
32
127