
Dick Temu
@TemuDick
Followers
502
Following
67K
Media
2K
Statuses
9K
Joined December 2023
Jamaa anaitwa Larry Madowo ni muandishi wa habari wa CCN ila ni MKENYA. Jamaa ni maarufu sana Kenya na wakenya wanampenda kinoma kwa jinsi aanvyofanya kazi kupitia taaluma yake kwa WEREDI. Kwenye maandamano ya GEN Z jamaa anakuwaga bize sana, anarusha duniani taarifa zote
4
17
79
Nice tribute, but this lady doesn't give a hoot about what's happening in her own country
Kenya is my second home. My Ministry has immensely grown through the support of my kenyan Family. I stand with you as we celebrate this great son of Africa @RailaOdinga . I had to do this for Kenyans.
4
1
18
#BREAKING: ARMY COLONEL SWORN IN AS MADAGASCAR’S PRESIDENT AFTER COUP Colonel Michael Randrianirina was sworn in as Madagascar’s president on October 17, 2025, following a military coup that ousted Andry Rajoelina. The ceremony at the High Constitutional Court came days after
0
3
10
Happy birthday kamanda mpambanaji @John_Pambalu kijana wa Chama. Umekua moja ya viongozi mahiri niliofanya nao kazi katika Baraza bora la vijana @bavicha_taifa hakika wewe ni moja ya hazina ya viongozi vijana ambao Chadema imewajenga. Mungu aendelee kukutunza kwa maslahi ya Chama
2
8
28
Huyu kijana mdogo leo zaidi ya mwaka mmoja hajulikani alipo!!! Kosa lake ni nini? Kukosoa serikali? Kukosoa ccm na kuwa na mtazamo tofauti? https://t.co/UifObWnbvW
75
647
3K
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 115 Anaendelea Shahidi namba 3 wa Jamhuri Samuel Elibariki Kaaya Baada ya hilo kutokea nilienda maabara kwa ajili ya kuandaa vifaa vya uchunguzi. Barua zote mbili tukianza na ile ya FB/PH/LAB/106/2025 Ilikuwa inahusu jalada la kuchunguza
3
30
119
TIP 01📌 CODE: UFK24 ODDS: 2.3 STAKE: 1M HELABET Jisajili na HELABET. Link ya TANZANIA🇹🇿: https://t.co/UwlcKYeqW9 Link ya NJE YA TANZANIA🌍: https://t.co/7khzPEJjny PROMO CODE: SATIVA17 📲ANDROID APP LINK: https://t.co/3gXqmgVB6M Maswali yote kuhusu HELABET mfano jinsi
3
5
30
WATANZANIA WANAOISHI MAREKANI KUANDAMANA MAKAO MAKUU YA IMF KUPINGA DHULUMA ZA HAKI ZA BINADAMU Watanzania wanaoishi Marekani wanatarajia kufanya maandamano ya amani siku ya Ijumaa, Oktoba 17, 2025, nje ya Makao Makuu ya IMF, Washington, D.C., kuanzia saa nne asubuhi (10:00 am)
5
30
98
"Raila Odinga alikuwa kiongozi wa kuunganisha watu si kutawanya watu, ni mtu aliyependwa sana." Mhe. @HecheJohn
2
43
168
KWANI KANISA LA ASKOFU "MWAMAKULA" LIKO WAPI MAANA JUMAPILI YA TAREHE 19/10/2025 NATAKA NIKASALI KWENYE KANISA LAKE🤒
28
24
103
SIO VIBAYA KUULIZA!! Baba Raila Odinga loved his younger brother, U.S. former President @BarackObama , so much and even campaigned for him by rallying Kenyans and Africans in the U.S. to support him as the first Black American President. Did our Kenyan son in the U.S., Barack
190
115
1K
Breaking Bad Ndo Series Yenye Rate Kubwa Kuliko Series Yeyote Duniani 9,6 Alafu ndo Zinafuata Zingine Bonge Moja La TV SHOW Walter White Humu Alicheza Maisha🙌🏽
16
27
156
'Jeshi kivuli' linavyomsaidia rais wa muda mrefu wa Uganda kusalia madarakani https://t.co/G13i11CHRO
0
4
97
🔥MAANDAMANO🔥 Friday, October 17, 2025 Washington, DC. 10:00AM Location: IMF HQ2 1900 Pennsylvania Avenue NW, Washington, DC 20006 1. #FreeTunduLissu 2. #NoReformsNoElection 3. #StopUtekaji 4. #FreePolepole 5. Uvunjwaji wa haki za binadamu na Demokrasia.
5
76
357
Maombolezo ya Raila bado yanaendelea.. Angalia Hapa Rais William Ruto na mkewe wakihudhuria maombolezo, Bungeni, Kenya Video kwa Comments 👇
3
11
106