
Nice Gisunte
@Nice_Gisunte
Followers
10K
Following
16K
Media
1K
Statuses
3K
Mwenyekiti wa Bawacha Mkoa wa Ilala I Mweka Hazina Bavicha Taifa 2019 - 2024 | Diwani Kata ya Kitunda 2015 - 2020.
Ilala - DSM
Joined August 2018
RT @HecheJohn: TAARIFA KWA UMMA. Kama chama tunalaani kwa nguvu zetu zote tukio la kushambuliwa kwa Mwenyekiti wetu akiwa katika viunga vy….
0
325
0
RT @HecheJohn: Afrika ni masikini sio kwasababu hatuna rasimali. Afrika ni masikini kwasababu inaongozwa na watu wasiokuwa na uwezo hata k….
0
256
0
"Huyu anayefunga makanisa yanapomwambia acha kuteka watu kwanini tumuonee aibu na kumwogopa, mimi Heche sitamwogopa na tutasonga mbele." Mhe. @HecheJohn
16
123
510
"Huko mbele tutatoa muelekeo mgumu zaidi kwenye No Reforms No Election na tunajua wananchi watatuunga mkono" - Mhe. @HecheJohn
4
37
144
Wanawake wote wa kikurya nimewawakilisha kwa kula cake ya birthday ya kaka yetu leo. Happy birthday kaka @HecheJohn
10
47
318
Tulipata wasaa wa kukata cake na Mhe. @HecheJohn na kutakiana kheri katika siku yake muhimu ya leo. Happy birthday kiongozi wetu.
4
25
141
Happy Birthday Mhe. @HecheJohn Mungu akutunze kwa kazi njema unayofanya kwa maslahi ya Chama na Taifa letu.
6
23
94
Taarifa kwa umma juu ya kushikiliwa kwa Mkurugenzi wa Mawasiliano Mhe. @BrendaRupia na Jeshi la Polisi.
0
20
92
TAARIFA KWA UMMA. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa CHADEMA @BrendaRupia amekamatwa na maofisa wa Uhamiaji akiwa ofisi za Uhamiaji katika mpaka wa Namanga wakati anafanya process ili aweze kusafari kuelekea nchini Kenya. Maofisa wa Uhamiaji wanasema kwamba wamepewa maelekezo kwamba
13
57
250
Mzozo waibuka Askari Magereza wakimzuia Mhe. @TunduALissu kuzungumza na Mawakili wake. "Hili ni la kufunguliwa kesi, hatuwezi tukachezeana namna hii." Mhe. @TunduALissu
0
15
55
Siku ya leo wanachama mbalimbali wakiwa wamefika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kusikiliza maamuzi madogo ya kesi ya Mdude yanayopangwa kuamuliwa leo, chini ya Jaji Mh. Kalunde. Mawakili wa Utetezi wanaongozwa na Adv. @Mwabuk2Boniface na Adv. Hekima Mwasipu.
2
28
164