
Mlangi
@TMlangi
Followers
1K
Following
1K
Media
98
Statuses
1K
Application of physics to medicine , improving radiation therapy and imaging techniques
Tanzania
Joined February 2023
Fanya ibada, Tafuta fedha zako, Samehe waliokukwaza, Tunza afya yako, Na ishi maisha yako.
4
43
209
Bidhaa adimu zaidi kwenye soko sasa hivi ni Wazo bora la biashara..!
10
37
342
Kila mtu anapitia mengi, tafadhali usilete mengi yako kwenye mengi yangu🤝
4
6
17
Hakuna Kitu Kinaumiza Kama Kuona Umri Ukizidi Kukimbia, Na Hakuna Maendeleo Yoyote Kwenye Maisha Yako. Hii mbaya sana ..
17
51
249
Changamoto unazopitia sasa ni msingi wa ushuhuda wako wa baadaye, Endelea kumuamini Mungu,hata hatua moja tu kila siku Inatosha.
4
8
60
Hebu leo tukumbushane mambo kadhaa naona mnajisahau makazini: 1. HR is not there for you, HR is there for the company. 2. Document everything and put everything in writing (anything that is not written, doesn't exist) 3. Your coworkers are not your friends. Usijisahau. 4.
17
132
517
Dear Nyerere, wajukuu zako huku siku hizi badala ya kupokea ushauri kutoka kwa watu wazima wenyewe wanalala nao!
13
38
112
Kila mtu yupo busy na maisha yake, hivyo akitokea mtu akaonesha juhudi kukufanya utabasam, jaribu kumthamini🤞🏿
16
55
130
Utasoma na kusikia maelezo mengi, hatimaye, mafanikio ya kila mtu yanategemea mambo matatu: Karama yake, Kadri yake na Kudra yake." Togolani Mavura 2018
3
34
275
Moja ya Kitu cha Muhimu Zaidi kwa Mwanaume ni: “Kuzoea UPWEKE” Kuna Stage kwenye Maisha Hutohitaji Mtu yeyote Zaidi Yako Mwenyewe Zoea Kutumia Muda Mwingi Peke yako Kuna stage Wanawake kwako ni DISTRACTION Tu Kama una Ndoto Kubwa—Hii Stage Haiepukiki
24
136
627
Sifa 4 za Watu Wakimya. 1. Wana marafiki wachache sana. 2. Wakikuzoea ni waongeaji mno 3. Wana hasira sana. 4. Kuna mengi yanaongea vichwani mwao. Uonapo mtu mkimya anazungumza sana na wewe, usiseme ni muongeaji ati kwa sababu anaongea sana kwako.
31
81
285
Mambo ya kuzingatia mara tu unapoingiza pesa 1. Lipa kesho yako kwanza kabla ya kutumia pesa yako 2. Weka sehemu ya kujiendeleza 3. Fatilia kinakokwenda (track expenses) 4. Ishi kwenye bajeti yako. Zingatia No. 1 ndio inayonunua uhuru wako wa kesho.
0
7
22
Ukipata nafasi nyingine ya kubadili maisha yako ambayo tayari yalianza kwenda kombo, aisee usirudie same,same ways ambazo zilikupa your downfall. Njia hazidanganyi.
5
99
556
Ukimya, upole, huruma na ustaarabu sio udhaifu. Ni nguvu ya ndani, hekima na ukomavu wa nafsi. Udhaifu wa kweli ni kushindwa kujidhibiti na kuheshimu wengine.
2
65
396