ReganTesla_ Profile Banner
M.D (πŸ…¨) Profile
M.D (πŸ…¨)

@ReganTesla_

Followers
114K
Following
140K
Media
3K
Statuses
99K

M.D & Life Coach 🌳 ✊🏿GOD 1st https://t.co/gGPpFQh0et 🏚️ APPLIANCES STORE. GENUINE PRODUCTS. TV, FRIDGE, AC, SOUNDBAR & ....... πŸ“ž 0716006808

Joined July 2020
Don't wanna be here? Send us removal request.
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 years
Formula ya maisha yangu ipo hivi!. -Kila kitu kwenye maisha nimemkabidhi Mungu.-Naepuka hasira kwa gharama yoyote.-Sipendi kumuona mtu anaumia au kusononeka.-Sijiwekei matarajio makubwa.-Sina marafiki (Nina watu wakaribu).-Sikai na chuki dhidi ya mtu.-Kwangu pesa ni baada ya utu.
110
668
2K
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
34 minutes
Kumbe Tanganyika Packers ndo imebadilishwa kuwa sehemu ya Mwamposa? πŸ₯Ί.
6
5
57
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
1 hour
Sawa Magufuli alikosea kuwekeza kule Chato. πŸ€” Hivi hakukuwa na namna yoyote Serikali ikafanya Mkakati katika kuendeleza ili kuzalisha kupitia ile miradi kuliko kuiacha iwe hasara moja kwa moja?. Maana miradi mingi ilikuwa imeshafikia asilimia kubwa.
11
6
71
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
2 hours
Chelsea wapo semi final huku na wakubwa wenzao. Baada ya utata mwingi sasa hapa anatafutwa Bingwa wa Dunia yaani Bingwa wa mabara yote chini ya jua. πŸ˜… Kuna watu wataanza kusema mashindano haya ni madogo.
Tweet media one
7
3
26
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
2 hours
RT @MudiMabiriani: Jumapili kimetoka πŸ˜‹.Huduma mwisho late night . ☎️ +255719068333 . πŸ“Sinza Branch [ FRANCHISE ].Mudi Mabiriani Dar es Sala….
0
19
0
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
2 hours
Nimeambiwa na Njiwa nishare nikuokoe wewe na Mhalifu mwenzako πŸ˜…πŸ˜….
@NjiwaFLow
James Munisi
8 hours
πŸ’¨ Mtu akikuazima simu yako umekwisha. WhatsApp walileta hii feature ili kuwasaidia watu wanaohitaji kujibiwa messages zao na watu waliowaunganishia linked devices. Lakini siku hizi baadhi wanatumia upenyo huu kuingilia kwa siri mawasiliano ya wapenzi wao πŸ‘‡
0
0
1
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
3 hours
RT @VannesserMalick: The strongest actions for a woman is to love herself, be herself, and shine amongst those who never believed she could….
0
4
0
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
3 hours
Kwa kijana wa Umri wako kununua hii TV mpaka sasa nawaza au umekuwa Freemason kijana wangu?? πŸ˜…
Tweet media one
@CantarianM
Cantarian mc
3 hours
Ningesema nitoke leo lakini hapana wacha nitulie na hii TV yangu mpya LG inch 55 ultra 4k niliyonunua kwa hela yangu mwenyewe kwa @ReganTesla_.
2
0
9
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
3 hours
Huwezi kuingiza barabara kwenye upande wa hasara hata ingejengwa huko kijijini ndani ndani kabisa. Halafu wengi mnaona point yangu kama namlaumu kujenga nyumbani ila mimi sipo huko. Shida yangu ni kwanini awekeze sehemu ambapo sio productive?. Mfano angejenga Mwanza bado ni.
@binancewakala
Bwakala Reddio (✸,✸)
3 hours
@ReganTesla_ Ni kwel! Nimezaliwa chato na kusomea chato primary! . Rami ya kwanza imejengwa chato mwaka 1999! . Chato ikiwa kijiji! . Imekuwa wilaya chato magufuli hajawa raisi (2007). Asilimia 60 ya barabara za rami za mtaani zimejengwa kipind yeye ni mbuge na waziri!. Taja vyako!.
2
0
6
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
3 hours
Ndio maana kila Rais alipomaliza Mhula mmoja tu aliomba kupumzika.
@swahilitimes
Swahili Times
1 day
Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maridhiano na Amani Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Mohamed Mawinda amesema jukumu la Watanzania ni kumwombea Rais Samia Suluhu na si kumpinga kwa kuwa kazi anayoifanya ni kubwa.
2
0
8
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 hours
Hii barua yako ingekuwa na maana sana kama ungeelekeza nguvu zako katika kushukuru tu bila kutaja majina ya Taasisi au watu kwa ubaya. Dr. kushindwa kutatua tatizo lako haimaanishi kuwa sio mzuri, hicho unachoita nonsense wamefanyiwa wengi na wamepona. JITAFAKARI WEWE JAMAA.
@Bm3gh
Bernard Kojo Morrison
8 hours
THANK YOU!!!πŸ™
Tweet media one
Tweet media two
Tweet media three
4
0
2
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 hours
I'm glad that they didn't call that "Tent" a Church. .
1
0
10
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 hours
Ndoa nyingi zinakufa kwa sisi Wanaume kushindwa kutekeleza Wajibu wetu ndani huku tukitekeleza nje kwa ufanisi mkubwa. Mbaya zaidi ikitokea Mke akianza kutafuta majawabu nje sisi ndio wakwanza kuhukumu. Hata kama Mke wako anakosea huwezi kumkomoa kwa kutokumtimizia haja zake. .
4
6
69
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 hours
Nikumuangalia huyu ni Mtanzania. Nikiangalia maneno yake mpaka ujasiri wake ni kutokana na nguo alizovaa. Mamlaka zisipochukulia haya mambo hatua Itakuwa utamadunia sasa mtu akitaka kuzungumza au kutenda jambo baya avae tu nguo za kijani na kofia yenye picha ya Rais.
@godbless_lema
Godbless E.J. Lema
23 hours
Pokeeni USHAURI
3
5
23
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
4 hours
Fuatilia vizuri shughuli nyingi za Vyama vya siasa zinaendeshwa kwa fedha nyingi sana kushinda vyanzo halali vya mapato. Hakuna mwenye Mamlaka anaehoji kwa sababu either ni mnufaika au kwa sababu hakuna anaejali.
2
4
85
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
5 hours
Kila nikijaribu kumuona Magufuli kama Goat pale Ikulu nakumbuka ule mradi wake wa Chato naishiwa nguvu. Ule Mradi ni moja ya hasara kubwa sana Nchi hii.
37
25
357
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
5 hours
Na sisi leo tunafayakazi nusu siku kaa Waliojipata. Call/Whatsapp 0716006808
Tweet media one
1
4
11
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
6 hours
Huyu ukimwambia aue mtu unadhani atawaza mara mbili?.
@Apollo_Boniface
𝐀𝐩𝐨π₯π₯𝐨
1 day
"@TunduALissu anyongwe, watanzania tupo milioni 63, akitoka mmoja kuna hasara gani." Kijana wa CCM. Huku ndipo tulipofika kama Taifa.
3
2
16
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
7 hours
NO REFORMS NO ELECTION itafsiriwe kama BILA USAWA HAKUNA HAKI. Tafsiri nyingine zozote zile ni Siasa za kitapeli tu.
3
22
197
@ReganTesla_
M.D (πŸ…¨)
7 hours
Football nimecheza mara chache nikilinganiasha na basketball. Ni kweli basketball kuna time outs ila udogo wa pitch ya basketball na speed ya uchezaji wake unachoka zaidi. Kumbuka bball unamkaba mtu akiwa na πŸ€ au akiwa hana. Kuna muda game inawaka moto unachoka mpaka unatamani.
@BillyTronix1
Billy
20 hours
Basketball ndio wanapumzika kila saa kuna time outs . unaweza tolewa ukarudi tena. avarage footballer wanakimbia 9-12 km kila mechi na sio mbio za kawaida ni speed kali.
3
0
30